Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,925
- 110,241
Sisi tunaoijuwa vizuri kibaha ngoja tukuelimishe wakazi wa kibaha ni watu gani,Wabunge wa viti maalum kutoka mkoa wa Pwani Muro na Mollel.
Kule Morogoro napo kuna mbunge wa viti maalum kutoka Morogoro mh. Devota Minja
Kaskazini oyeeeee.
Kibaha inakaliwa na Wazaramo, Wakwere, Wamasai, Wamang'ati wasukuma na wanyamwezi.
Usije ukawa unapita tu na gari kibaha ukiwa unaenda morogoro ukadhani unaijuwa kibaha.
Kibaha si tu maili moja, picha ya ndege, kongowe, Misugusugu, Mlandizi, Ruvu na Vigwaza, wengi mnajidanganya, Kibaha ni kubwa zaidi ya maeneo hayo ya Main road na ndio maana ina wabunge wawili wa majimbo. Kuna watu humu ni wapuuzi sana mnahitaji kuelimishwa.