Wabaguzi bwanaNdio ujinga wa CDM wabunge wa kuteuliwa wote wanatoka kaskazini....alafu huyo mwenyekiti wa Pwani Baraka Mwago amewekewa mwenyekiti mwengine kutoka kaskazini Frederick Sumaye
Wewe mpuuzi sana huma tofauti na mwenyekiti wako taifa, kaskazini iko nchi gani mpuuzi mkubwa wewe?!!Ndio ujinga wa CDM wabunge wa kuteuliwa wote wanatoka kaskazini....alafu huyo mwenyekiti wa Pwani Baraka Mwago amewekewa mwenyekiti mwengine kutoka kaskazini Frederick Sumaye
Huo upuuzi wenu wa kibaguzi bakini nao huko kwenu, kwahiyo nchi hii ukiwa asili yako siyo sehemu fulani basi huna haki ya kutumikia watu?Dahh!! Hao wabunge viti maalum mkoa wa Pwani nilitegemea majina ya Mwajuma Ndala Ndefu,Maimuna,Sikudhani,Chausiku ila kumbe ni wa Kaskazini akina Muro na Mollel. Shenzy type.
Ukiwa na sifa za kiuongozi masuala ya ukabila, udini na ukanda hayana nafasi ndani ya ChademaKibaya Zaid uongoz na wanachama wamekaa kimya kabsa...watu weng hatuipend ccm lakn linapofka swala la cdm na utawala wake unaona n bora uwape mafsad wa kitaifa nchi hii...
Kwa nn hawayafanyii kaz mambo ya ukanda... Haya maswala tangu Enzi za khabour mpaka leo...daaah any way wacha tuone mwisho wake
Chadema ni taasisi ya Watanzania wote kwa ujumla wake, hayo mawazo yako baki nayo mwenyewe maana ujinga hupofusha mtu katika kufikiriMm naamn cku mbowe aki step down chadema inaweza anguka vibaya sana...Vijana wa Kanda maalum wameshajiamnisha kuwa n chama chao.. Sasa kama akitokea mwenyekit atakae taka kukiondoa chama mikononi mwao cpat picha na sereka Lake...watu watatoana dam..mbowe alikosea sana kuunda msing wa kikanda ndan ya chama...
Nani alikudanganya uongozi sifa zake kuu ni ukabila, ukanda na udini?!! Kwani hao vipngozi huenda kutumikia makabila yao?!Mkuu jaribu kuwaza kidogo..Kwan hapo pwan hawapo wazawa...? Kwa nn wasiamn Katka ushirikiano wa kikanda...? Does it make sense kuruhusu utawala. Wa kikanda wakat taifa Lina kila cfa na hak ya kutawaliwa na watu kutoka sehem tofaut tofaut...?
Wewe Bashite lete vyeti vyako halali acha kujificha nyuma ya mihadaratiAcha kufananisha wakuu wa mikoa na wabunge ma babies.
Sio kweli!Mollel na Muro hawa ndio Pwani, ukija Moro unapewa Minja, CDM oneni hata aibu basi, hapa ndio wengine wanasema bora ya shetani tunayemjua.
Halafu huyu Ruth Mollel alikuwa katiba mkuu wa wizara mojawapo ya JK hadi anapewa mchongo wa huu bado alikuwa katiba mkuu na kadi CCM anayo, Magu yupo sahihi kuchora mstari, hataki unafiki wa aina hii ya kina Mollel.
Acha kufikiri kwa kufuata hisia za makalio yako mkuuWewe mpuuzi sana huma tofauti na mwenyekiti wako taifa, kaskazini iko nchi gani mpuuzi mkubwa wewe?!!
Hawana tofauti na yule wa wa magogoni na teuzi zake....wanaleta ukanda na ukabila..hovyo kabisa.Dahh!! Hao wabunge viti maalum mkoa wa Pwani nilitegemea majina ya Mwajuma Ndala Ndefu,Maimuna,Sikudhani,Chausiku ila kumbe ni wa Kaskazini akina Muro na Mollel. Shenzy type.
Swadakta mkuu, maana wengi wakisikia kibaha au pwani au morogoro..hudhani wakazi wake waluguru tu au wazaramo au wakwere. kumbe kuna watanzania wa kila kabilaSisi tunaoijuwa vizuri kibaha ngoja tukuelimishe wakazi wa kibaha ni watu gani,
Kibaha inakaliwa na Wazaramo, Wakwere, Wamasai, Wamang'ati wasukuma na wanyamwezi.
Usije ukawa unapita tu na gari kibaha ukiwa unaenda morogoro ukadhani unaijuwa kibaha.
Kibaha si tu maili moja, picha ya ndege, kongowe, Misugusugu, Mlandizi, Ruvu na Vigwaza, wengi mnajidanganya, Kibaha ni kubwa zaidi ya maeneo hayo ya Main road na ndio maana ina wabunge wawili wa majimbo. Kuna watu humu ni wapuuzi sana mnahitaji kuelimishwa.
Nawaasa tu wahakikishe wanafuata taratibu zote za kisheria na kuhusu uhalali Wa kiwanja na waeende mipango mini wawape plan ya hilo eneo coz CCM hawataweza Fanya chochote kama hawatafuata taratibu. Mnakumbuka mambo ya gambo arushaCHADEMA PWANI KUJENGA GHOROFA OFISI ZA MKOA
Tarehe 14.03.2017 kikao cha baraza la uongozi Mkoa wa Pwani. Pamoja na masuala mengine yaliyojadiliwa na kupangwa tumepitia na kuidhinisha michoro ya jengo la ofisi ya CHADEMA mkoa wa Pwani ambapo ujenzi wake unatarajiwa kuanza hivi karibuni.
Ofisi hizo zitajengwa Kibaha kwa Mathiasi zitatumika na Mkoa pamoja na Wilaya ya Kibaha.
Shukrani kwa waheshimiwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Pwani Mh.Mary Muro na Mh. Ruth Mollel kwa kushirikiana na uongozi wa mkoa kufanikisha hatua ya sasa.
Pwani inajengwa kwa maono na mikakati. CHADEMA inasukwa Pwani
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Pwani
Baraka Mwago
View attachment 481119
View attachment 481120
Ni kweli kwamba mkoa wa Pwani kuna watu wenye asili lkn tujue pia kwamba mkoa huo kutokana na ukaribu na DSM watu kutoka sehemu mbalimbali za T Z wamehamia na wakati Fulani ni chachu ya maendeleo kwa wenyeji. Tukumbuke pia kuwa vyeo au majukumu hutolewa kwa kufuata uwezo si kumpa kila MTU kama pipiMkuu jaribu kuwaza kidogo..Kwan hapo pwan hawapo wazawa...? Kwa nn wasiamn Katka ushirikiano wa kikanda...? Does it make sense kuruhusu utawala. Wa kikanda wakat taifa Lina kila cfa na hak ya kutawaliwa na watu kutoka sehem tofaut tofaut...?
Kibaya Zaid uongoz na wanachama wamekaa kimya kabsa...watu weng hatuipend ccm lakn linapofka swala la cdm na utawala wake unaona n bora uwape mafsad wa kitaifa nchi hii...
Kwa nn hawayafanyii kaz mambo ya ukanda... Haya maswala tangu Enzi za khabour mpaka leo...daaah any way wacha tuone mwisho wake
Acha ubaguzi, mbunge wa Kibaha ambaye ni CCM ana asili ya wapi, hebu tuanzie hapo.Ndio ujinga wa CDM wabunge wa kuteuliwa wote wanatoka kaskazini....alafu huyo mwenyekiti wa Pwani Baraka Mwago amewekewa mwenyekiti mwengine kutoka kaskazini Frederick Sumaye