Chadema njooni mchukue kadi yenu

Chadema njooni mchukue kadi yenu

Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Mods ninaomba kwenye registration yawepo maswali ambayo yatapima IQ za watu. Vinginevyo mtakuwa mnaregister watu pentium 1 alafu tunakuja kupata kadhia kama hii.
 
Irudishe nikaichukue mimi, watu tunazitafuta kadi za cdm hatuzipati' embu niambie ulipo nije kuichukua.
 
Nimecheka sana leo, duh kazi kweli kweli natamani watu kama nyie waganga njaa muondoke wote ili ibaki cream ya kimapinduzi hata ikichukua miaka 50 ijayo
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

pole ndugu yangu, umeathiriwa na Ufisadi na rushwa inayotolewa na magamba kwa vijana!

Si kazi ya chama kugawa pesa kwa vijana. Pesa inayogawiwa kutoka kwa magamba ni ile iliyopokwa kutoka kwa wananchi wewe ukiwa mmoja wapo. serikali makini itatumia rasilimali za nchi kuwapa vijana fursa na ajira na kuwafanya wajitegemee.

serikali makini itahakikisha upatikanaji wa huduma muhimu kwa wote.

serikali makini itajenga miundombinu bora kwa manufaa ya wananchi wake

serikali makini italinda usalama wa kila raia bila ubaguzi

kuna mambo mengi ambayo serikali makini inaweza kuyafanya kwa wananchi wake kwa kutumia rasilimali za nchi kama vile kuwasaidia kujenga nyumba bora, kuwapa huduma kama za maji na umeme kwa bei nafuu nk

Sasa ndugu yangu kama haya unayapata kutoka serikali ya magamba, basi fanya maamuzi unayodhani yanakufaa
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Kaka achana na bangi hazina faida kwa afya yako ndio umejiunga juzi tu leo hii Mapovuuu humu ndani ya JF Lol.
 
Jinga limeanzisha thread ya kijinga nasi kutwa nzima tumeshinda tunaijadili. Wachangiaji tumeonekana wajinga woote loh!!
 
Kwa taarifa yako, nayo cdm haikuhitaji wala kukupenda. Nenda kafie Dodoma na ukazikwe na vuvuzela ccm nape.
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Mkuu sijaelewa..unasema CHADEMA waichukue kadi huku ukiwa umeshaichoma? Unamaanisha majivu au?..Kwani Wao walikuletea uhapo ulipo hadi waifuate?

Kuna maandamano mengine yanakuja?..It's narrow minded thinking kufikiri M4C Italeta unafuu wa maisha!
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Siamini kama wewe ni mwanachama wa CDM. Kwani haujui zilipo ofisi za CDM uipeleke! Au kwani lazima utangaze kwamba unaichoma? Njia rahisi ipeleke kwa katibu mwenezi wa chama unachotaka kuhamia, maana siku hizi inaonekana kama ka fashioni fulani kutangaza kwamba wanachama kadhaa wamaerudisha kadi za chama fulani kwetu, siasa za kijinga!

Siku hizi hata fedha zinatengenezwa feki, sembuse kadi za chama zisizotumia technologia ya kiwango cha juu kama cha fedha!

Mbwembwe za hovyo, hizo, unataka ufikie senior member haraka hapa janvini kwa ku-post post tu!
 
Huyu Omusumbi si ni Kaptai John Komba wa kule ToT-Plus; yeye na CHADEMA wapi na wapi hata akapewa kadi ya chama chetu hiki - thubutu!!!!!!!!!!!!!!!
 
watanzania tusiwe na mawazo mgando. tuheshimu mawazo ya mtu hasa uhuru wa kutoa maoni yake.
kama anaona chadema haimfai ni mawazo yake kama vile wewe unavyo ona ccm haifai haipaswi kumshambulia.
nilitegemea kuona wanachama wa chadema wanatumia nafasi hii kujifunza kwanini chama chao kinaonekana hakifai badala ya kuzomea na kumtukana mwenzenu.
 
Acha kusumbua watu au unadhani hujulikani? Wewe ni kada wa Chama Cha Magamba tangu zamani labda kama umehamia CHADEMA juzi.Nakushauri uachane na hizi siasa za maji taka kwani unaweza kuweka uzi kuhusu namna ya kuboresha kilimo,ujasiriamali na ufundi ili kupanua misingi ya ajira kwa vijana kuliko kupiga domo dhidi ya upinzani.
 
Wakati unajiunga ulikuja kutupigia kelele hapa jamvini? Si ungeirudisha kimyakimya. Sitashangaa nkigundua kuwa watu km nyie hamna hata kadi, kelele tu!
 
Katika wajinga wewe ni kiongozi wao, ni heri kuwa mjinga wa mwisho kuliko kuwa mjinga wa kwanza. Ushindwe na ulegezwe malinda yako yote ya nyuma
 
Ila Mungu anakazi sasa hata ww alikuumba? Yaani wewe sawa na jamaa mmoja alikuwa anapigwa na mwenzie halafu anapiga kelele jamani naua njooni muugombelezee, CDM MBOVU WEWE INAKUSHUGHULISHA NINI? Tanzania ina vyama zaidi ya 15 Cdm umeionaje kwa nini usiseme CHAUSA? Ujinga mzigo.
 
Du!!! Topic za udaku unapenda kweli maana kuna wakati ikiwepo mijadala ya maana yenye kuhusu takwimu, Elimu, Uchumi, n.k. hupotea ghafula. Ila kwenye upuuzi kama huu, du ni mstari kwa mstari haupitwi maana umekunwa kwenyewe, ebu zidi kushusha umbea wako tuzidi ku-enjoy bure. Najua kiboko yako ni kupost maswala ya kisomi utatoweka ghaafla humu, shukuru vilaza wenzio wenye kukupostia udakuvinginevyo ungesahau hadi user ID yako.

Hakuna tatizo mbona Dr Slaa alikuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maskofu Tanzania na sasa hivi ni kiongozi wa Chadema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom