Chadema njooni mchukue kadi yenu

Chadema njooni mchukue kadi yenu

Sitafuti kazi kupitia CDM nilipata kazi kabla makani hajawa mwenyekiti cdm! Nape ndo nani tena hapa mjini?
kweli shida mwanaharamu,kakwambia nani kuwa ukimiliki kadi ya chama cha siasa ndio umepata ajira?
 
Huna lolote unapima upepo unasema umechoma ss waje kuchukua nini kafie mbali
 
Sasa kama umeshaichoma unataka waje kuchukua majivu? bangi nyingine bana
 
mzimu wa ccm unakutafuna sasa, hizo pesa zao ulichukua za nini? Au ulijiunga uje kuvuna baba huku sio kama kwenye magamba kwenye tope la rushwa bali ni cdm lengo lake ni kumkomboa mwananchi
 
acha taarabu wewe... ulipost jF wakati unachukua hiyo kadi? mbona sasa wapayukapayuka tu...
 
[h=5]ITV Tanzania
[/h][h=5]Breaking News:Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima Charles Jacob amejeruhiwa vibaya baada ya kugongwa kwa makusudi na gari wakati akifuatilia malori aina ya Fuso 12 yaliyokuwa yanavusha Sukari katika Barabara ya RUA Rombo Mkoani Kilimanjaro.[/h]

 
Mbona povu limekutoka sana we mchaga nini na ndoto za mzee mtei zinayeyuka poleni chadomo
Chadema njooni mchukue kadi yenu, na wiki iliyopita nimeichoma kadi ya Cdm sasa unataka waje wachukue kadi ipi? Mbwa pori wewe kalalwe huko
 
mzimu wa ccm unakutafuna sasa, hizo pesa zao ulichukua za nini? Au ulijiunga uje kuvuna baba huku sio kama kwenye magamba kwenye tope la rushwa bali ni cdm lengo lake ni kumkomboa mwananchi

kukomboa nchi ipi! kama ni ukombozi mkawasaidie Seria sio bongo .hapa tuko huru tuna-deal na changamoto za kimaendeleo!
 
labda ya kudeki chooni kwa Nape, lakini ofisi yenye watu makini hawawezi kuajiri kilaza kama wewe

ndo taaluma yenu, matusi tu! mie kama hiyo kazi inalipa nitafanya .
 
hakuna lolote unalojua wewe, ukitaka kujua uelewa wa mtu upo juu au chini ni kwa hoja mbovu kama hii ya kwako wala huitaji kumjua mtu uelewa unaweza pimwa kwa njia kama hiyo

ni mtazamo wako pia huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom