EMMANUEL NSAMBI
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 402
- 83
Kwani nchi zilizoendelea huwa wanawapa watu wao chakula?Cdm ikikamata nchi itatoa ajira kuliko ilivyo sasa.
Viwanda kama Kiltex, General tyre, Kilimanjaro Machine tools vingefufuliwa hivi unajua ni watu wangapi watafaidika
na hilo?
Mfano:Wafanyakazi watanunua chakula kwa mama ntilie,mama ntilie atanunua bidhaa toka sokoni na madukani,
sokoni watanunua toka kwa mkulima. Hapo ni mfano mdogo tu kukuonyesha jinsi ajira moja inavyowanufaisha wengi.