CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

Uharo mtupu! Zito? labda ungeniambia lema, Msigwa au Mnyika ningekuelewa! Huyu ndumi la kuwili na kuwadi ndio awe CHADEMA? Wewe kweli ni TASA WA AKILI.
 
Mkuu nakuunga mkono kwa hoja yako kabisa , walikataa kuwa Zitto chama kitaporomoka, tizama sasa aibu tunayoipata... Wamuangukie Zitto wamuombe msamaha yaoshe, dr. Kitila na Mwigamba warudi then yaishe tusonge mbele
 
Analysis ndogo tu ya mtoto wa std one. mafanikio ya CDM baada ya kutolewa zitto na kabla yalikuwaje?
 
BC: Vifaranga na misukule yote ya Ufipa ikiongozwa na viranja wao Yericko Nyerere,Ben Saanane
 
Kwakua umetumiwa na zzk na umefikia pahala pa kuona bila zzk maisha yako hayawezekani, basi umedanganyika na kudhani kuwa bila zzk chadema haiwezekani.
 
Sikutegemea,nilijua angebabaika,angetetemeka na kumung'unyamung'unya maneno wakati wa kusoma sehemu ya Rasimu ya Katiba inayohusu muundo wa muungano.Hakutetereka wala kusita,alikiutaja mbuyu moja kwa moja bila kuuzunguka,alisema maoni na matakwa ya wananchi kuhusu muundo wa muungano kuwa ni serikali 3!!

Na wao walijua angesita na kulinda maslahi ya chama,wakapigwa na bumbuwazi kuona mzee akiusema ukweli bila kumtizama mtu usoni kwa haya,alikuwa mkavu,uso wa mbuzi. Aliwapa makavu laivu.

Mzee Warioba alinikonga sana aisee,alinifanya nielewe maana ya kuwa Mzee mwenye hekima.Nilielewa kua mzee mwenye hekima ni yule tu ambaye anapaswa kuumia anapogundua kuwa UKWELI hausemwi kama unavyotakiwa,hivyo,anajitahidi kutumia fursa yoyote ili auseme UKWELI kabla hajatwaliwa na kifo.Mzee mwenye hekima na busara ni yule anayejua kuwa yeye ni hazina na rejea ya mambo ya msingi kwa jamii yake na yupo tayari kusema ukweli wakati wowote.Mzee mwenye hekima na busara anatambua kuwa hana maisha ya kupoteza hapo baadae.

Kama Nyerere,Warioba amenifanya nizidi kumuomba Mungu anifikishe uzeeni nikiwa na ujasiri na mwenye kutegemeka na jamii yangu.

CCM msimchukie mzee huyu,ila mjifunze kutoka kwake
 
Majata, jina lako lina-sound kama Majitaka....
a coincidence or?
 
eeebwana umeongea ukwel hasa lkn kwa vile wajunga wemelisha maneno ya uongo ni shida tupu
 
Amekueleza pia kuwa ameomba msamaha akakataliwa? Au ni haya tu?

ZZK alikutumuhumu wewe kuwa ndio uliyetumika kuandaa waraka wa kumchafua, umefaidika nini mpaka sasa? Mbona hukuandaa waraka kama huo kuonesha jinsi Mbowe alivyopokea hela kwa Mkono ili hasipige kampeni jimboni kwake na Mkono apite bila kupingwa?

Husije ukasema ni uwongo maana Mbowe mwenyewe aipohojiwa na gazeti la Mwananchi hakukanusha ila alisema kuchukua hela sio tatizo la tatizo ni kwamba unazitumiaje.
Wanafiki wakubwa nyie, CDM imepoteza credibility na ushahidi ni chaguzi za hivi karibuni, huko Chalinze mtavuna aibu na aibu kubwa zaidi ni uchaguzi mkuu 2015!
Mtajuta kumjua Zitto!
 
Mada hii ingekuwa inamkosoa Zitto ingeshatolewa saa nyingi sana, lakini kwakuwa mada inajaribu kuzoa maji tena maji taka basi itaendelea kuwepo tu.

Unamwita ZZK maji taka, unaweza kulinganisha credibility yako na ya ZZK? Pamoja na fitna na kutumia helikopta 3 kuzunguka nchi nzima kumchafua lakini ZZK is still a high profile person. Wewe Yericko ni nani anayekufahamu nje ya JF. Najua kutumia lugha chafu ndio style ya CDM lakini sikutegemea hata wewe ukose busara kiasi hiki
 
Hakuna tabu mkuu kwa hiyo na kule ambako CCM hakumshinda kwa hiyo nyie ndiye demu wa CDM? Katika ushindani ni lazima apatikane mshindi. Kalenga na Chalinze ni stronghold ya CCM ila CDM ni lazima iingie ili ipime ukuaji wake. Kalenga 2010 CDM walipata kura 900 leo wamepata 5,800 na ushee. Kuna improvement kubwa. In the next years to come ni lazima kuchuana kabisa kama hali itakuwa hivyo, hopeful.
Khaa!!! Analysis ya kitoto sana hii. Hizi kura ni za CDM au za huyu mama?? Kura zaCDM zingepatikana kwa mgombea wao aliyeshinda kura za maoni. Huyu mama alipata kura ngapi 2010?? Acha ujin ga
 
Amekueleza pia kuwa ameomba msamaha akakataliwa? Au ni haya tu?

Nchi hii huwa inanishangaza mtu kama wewe unayemwagia watu tindikali bado una post JF. Kama China ungeshanyongwa. Any way, naomba na wewe utuambie kwa nini uliamua kuoa used ya DJ NELLY wa Clouds wakati wasichana wako wengi!! Au kwa vile wewe Mario unapenda kulelewa?
 
Amekueleza pia kuwa ameomba msamaha akakataliwa? Au ni haya tu?

Zitto ninayemjua mimi tangu enzi zetu za Chuo Kikuu hawezi kuthubutu kuomba msamaha wazee wa tindikali! Unafikiri yeye hajui Chadema walichomfanyia Wangwe? Team Zitto tunajua mnatafuta kuwa karibu yake kwa nia ya kumuua. Tahadhari zote zilishachukuliwa.
 
Ashton jiulize iwapo kweli Chadema ni Zitto, iweje Kigoma CDM wana mbunge 1 na Madiwani 2? NCCR wana wabunge 4 Kigoma. Acha kumtukana Henry Kileo. Jibu hoja yangu. Pili ule ushahidi wa Mwigulu wa Duniani na Mbinguni umeishia wapi? Magaidi (Green Guards) yalikuwa Kalenga yakisimamiwa na Gaidi No.1 Mwigulu na Jesca Msamatavanga. Upo Bongo au Ughaibuni?
 
Ashton jiulize iwapo kweli Chadema ni Zitto, iweje Kigoma CDM wana mbunge 1 na Madiwani 2? NCCR wana wabunge 4 Kigoma. Acha kumtukana Henry Kileo. Jibu hoja yangu. Pili ule ushahidi wa Mwigulu wa Duniani na Mbinguni umeishia wapi? Magaidi (Green Guards) yalikuwa Kalenga yakisimamiwa na Gaidi No.1 Mwigulu na Jesca Msamatavanga. Upo Bongo au Ughaibuni?

Kwa taarifa yako ni Zitto pekee Tanzania hii anayeweza kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Kigoma nzima. Hilo ni jambo lisilo na mjadala. Suala la kua na madiwani wachache siyo suala la Zitto ila ni suala la Chadema ambao wamekua wakiingilia maamuzi ya wananchi. Nafikiri unakumbuka kilichotokea hivi juzi Kalenga. Wana Kalenga wamechagua mtu wao lakini walipokutana Wachaga wenye Chama wakawabadilishia. Matokeo yake si umeyaona? Nimemtukana wapi Kileo? Ukweli ni kwamba Kileo ameoa USED na ni Mzee wa TINDIKALI! Sasa nimemsingizia nini? Nyekundu lazima iitwe nyekundu na si nyeupe.
 
Khaa!!! Analysis ya kitoto sana hii. Hizi kura ni za CDM au za huyu mama?? Kura zaCDM zingepatikana kwa mgombea wao aliyeshinda kura za maoni. Huyu mama alipata kura ngapi 2010?? Acha ujin ga

Mkuu Rohombaya!!! CDM ilipata kura ngapi 2010? Je hizi za juzi kalenga 5,800 na ushee ni pungufu au zaidi ya zile CDM ilipata 2010? Usiite wenzio wajinga kama hujui ujinga wao. Just do a little assignment na kuja na hoja kuliko kutukana. Sema ID yenyewe ni rohombaya. Binafsi nachunga sana kutoa neno la damage ya personality ya member hapa JF!!! Mimi niko na wanasiasa zaidi kuliko kumdhalilisha member hapa. Thanks.
 
Back
Top Bottom