CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

Sioni mchango wa cdm kitaifa wameshindwa kutatua migogoro ndani ya chama hawatufai, hata siasa taka wanazo endekeza zimewashinda wamebaki maneno tuu.Chama cha ukweli lazma kitangulize maslai ya taifa kwanza, hawa cdm wamediliki kutetea serikali tatu kwenye rasmu ya katiba mpya ambayo haiwezi kudumisha muungano endapo ikipita. Ni dhahili hiki chama hakina nia yadhati kumkomboa munyonge nabadara yake kinataka kumtumia kama ngazi kupandia kushika dola kitu ambacho kimesha shindikana poleni cdm mumeshapoteza nafasi.
 
mwenye akili timamu haambiwi ona. inawezekana kunaunachokiambulia ktk saccos hii CHADEMA.
 
Inaonekana MASALIA na Wasaliti mmepata pigo la Mwaka baada ya Msaliti, Kisebengo Zitto kutupwa nje ya ulingo...endelea kumlilia ...Hata M/Kiti wa CCM alimlilia sana... CDM ni Safi salama bila wasaliti ...
 
watanzania wana matatizo mengi hawana muda wa kumjadili huyu kidampa tu,vichwa vyetu vinawaza katiba ambayo ni zaidi ya zito na cdm yake
katiba hata iwe nzuri namna gani kama hamna viongozi wazuri ni bure tu.ili katiba mpya iwe na weledi lazima viongozi wenye upeo mkubwa kama zitto waandaliwe kuchukua madaraka.hivyo hata chadema lazima iwe na viongozi makini.kwa hiyo acha woga unaposikia jina la zitto likitajwa ni mwiba kwenu.
 
Zito ameondolewa kimizengwe.
Na mizengwe ilikuja tangu alipotaka kugombea uenyekiti kama haki yake kikatiba.
Kuanzia hapo wale tusio na vyama tukaona udhaifu wa kimikakati wa CDM na uwezekano finyu wa kushika dola.
Kwa mtizamo wangu hata kama Zito kabwe angegimbea na Mbowe bado Mbowe angeibuka mshindi.Tena ushindi wake ungekua halali na wala Zito asingeweka hisia za kuonewa.Mizengwe ya Mtei ndiyo ameikopi toka CCM na Nyerere jambo linalotunyima Viongozi bora.
Haya ya CDM kufukuzana yanawanyima wanachama hai toka nje ya mashabiki.Siwezi kujitoa mhanga wa kupambana na Shetani mkuu CCM wakati ukifika Kule CDM ulipodhani ni Peponi utafukuzwa baada tu ya uchaguzi kupita.
Kwa nini hawa CDM hawatambui kwamba hata wale wasaliti wakitumika vizuri wanatija ndani ya chama kuliko kuwafukuza? Mfano tu ni John Shibuda ni Mbunge wa Chadema japo kauli zake ni za CCM lakini kitendo cha kupeperusha bendera ya CDM ni faida kubwa ya kisiasa kwa baadae ktk kuvuruga ngome dhalimu ya CCM.Wengine waliopo ndani ya CCM wanabomoa wakiamini kuna pa kukimbilia.Wakati huo CDM inajijenga kiutawala wa dola sio kichama tu.
 
Nyie jitoeni ufahamu lakin mkae mkijua viongozi wetu wa chama wamepungukiwa busara za ki uongozi zitakazokigharimu chama.

Binafsi nimevunjika moyo na siasa taka za kibongo...
Kuliko kuipigia kura chadema au ccm bora nikakae baa napata povu.
Tamaa za kung'ang'ania madaraka zimewazidi.
 
viongozi wa siasa kigoma i dont understand them
zito
kafulila
kaborou
 
Viongozi kutoka kigoma ni wapambanaji hawapendi kuburuzwa
 
mjomba jiandae kisaikolojia , ZITTO AMEKWENDA NA HATORUDI TENA KWENYE SIASA ZA NCHI , UMASIKINI WAKE UMEMPONZA , atabaki Mwandiga tu , kama mimi nilivyo na jina kubwa kwetu KYELA .

Hivi wewe mbu rula bado upo hewani.
 
Back
Top Bottom