CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

Strong Mind people, discuss Issues, But week minded people discuss people. Hii ndio namna ya kufikiri kwetu. Taasisi iwe mtu!! Endelea kupigia debe hoja zilizopitwa, leo watu wanajadili jambo nyeti kwa Taifa, Katiba ya Nchi. wewe akili zako bado unajadili zitto (mtu). ukipevuka utabadilika. currently your suffering psychosis of Immaturity Thinking ruled by emotions rather than facts.
 
Nakumbuka Zitto alisema huwezi kumgusa zitto ukaicha chadema salama.

Kweli chadema bila zitto haiwezekani.

Chadema watajuta kwa kitendo walicho fanya.
 
wewe unaye msifia ZZK nina mashaka na wewe,hata kiakili hujitambui,mtabaki kumpa umaarufu hata usio faa,CDM bila ZZK inawezekana kama wewe unafaya utafiti wako kwa matokeo ya uchaguzi wa udiwani na kule kalenga ubunge bac umepotea na usipotoshe watu,kwanza ZZK wako toka mwaka 008 alikuwa hashiriki na hata arumeru hakwenda na CDM ilishinda.
 
Nakumbuka Zitto alisema huwezi kumgusa zitto ukaicha chadema salama.

Kweli chadema bila zitto haiwezekani.

Chadema watajuta kwa kitendo walicho fanya.
CDM haijuti hata siku moja kwa kuchukua hatua za msaliti zzk kwanza nikiwa mwanachama naupongeza uongozi kwa kuchukua hatua za haraka maana angetuharibia sana kwa uroho wake wa pessa na madaraka,bora kaenda kuanzisha shirika la kidini kule kgm ACT kwa kuwadanganya wabembe wa kgm.zzk ni bonge la mnafiki na nimhafidhina wa kwanza.
 
Umaarufu wa chadema unazidi kuporomoka Baada ya Kumtungia Tuhuma zisizo za kweli Mh zitto kabwe, lengo kuu lilikuwa ni kuhakikisha Hapati uwenyekiti na anapotea kisiasa kabisa, waasisi wa jambo hili ovu hawakujua kwamba wanaharibu Mzizi mkuu kabisa wa chama ambao kama ukikatika jumla utapelekea chama chote kuangukia pua, Leo Hii kunawatu ambao hawawezi kumuangalia zitto usoni walitarajia kwamba atashindwa kwa kashfa zao za kutunga.


Zitto ni Hazina ya uongozi wa taifa hili na sio mburu....kenge, mhuni na jambazi wa magari wa Arusha ambae kwa bahati mbaya alipewa ubunge, kitu ambacho jamii nzima ya arusha ukiondoa wavuta bange na unga wanajutia. Hakuna siku aliongea na jamii ikaelewa kwamba kunajambo la kujenga jamii kaongea, badala yake kila aongeapo ni kuchochea uvunjifu wa amani tu.


Bilashaka Siku itakuja tutaona Chadema wakitaka maridhiano na Kamanda wa Ukweli zitto zuberi Kabwe, wataomba msamaha tu na wataomba waende pamoja kwa lengo la kutokudhuru chama zaidi ila zitto akili yake sio chadema, zitto akili yake ni watanzania wasonge mbele kimaendeleo kwa hiyo atasimamia msimamo wake Huo.


Jamii inajua msingi wa kumchafua zitto kuwa ni:

Msimamo wake Kuhusu Posho za wabunge ( kero kubwa kwa jambazi wa magari arusha).
Uenyekiti wa chama( ugomvi na Mbowe)
Msimamo wake kuhusu ukaguzi wa mahesabu ya vyama ( Mbowe, slaa, na team yao ya wizi).


Lakini majibu Kamili Chama kimeishapata kutoka kwa wananchi baada ya dharau waliyomfanyia Mh Zitto na Bado mpaka wamuelewe zitto!



Zitto kajielewa ndio maana anapingana na wanaotaka kuifanya chadema Kampuni ya wachaga.

CC: Mbowe
Slaa
Mnyika.
Lema.
TunDu.
Msigwa.
Sugu.
Zitto.
Sasa ni mwenyekiti kivuli wa CHAUMA na ACT - chama cha wahutu.. umefurahi?
 
tendo alifan ywa harafu akajibalaguza kwa wanaarusha kwa kwenda na picha mkutanoni eti ni uongo aonewe huruma, nchi yetu Tanzania ushoga ni mwiko na hatutaki tabia za kishoga.
Inaelekea wewe ni bingwa wa kugawa segerea.
 
Hivi ameondoka kwenye chama chake cha CCM anapandishwa vyeo vya kila sampuri bunge la katiba yeye mama yake mzazi girlfriend wote ndani bado atakuwa mwandishi wa jakaya kabla hajaondoka mwakani October lazima atinge ikulu kabla yakuowa mwanaasha babu anaoa katoto
 
Hizi kauli zenu za kabla ya uchaguzi tumeshazizoea, Hata Kalenga mlisema mtashinda kwa kishindo lakini mkaambulia aibu ya mwaka! Baada ya uchaguzi mnakuja na visingizio kibao!
wenykiti wa CC M atatnga the Hague soon and very soon platform aloiseti ya kuuwa watu na demokrasia na kuwadharilisha huku akicheka jino pembe kuna malipo
 
Si muhame nae ACT?? Maana juzi juzi wamepata aibu Mwanza.
 
zito angefanya kampeni kalenga chadema ingepata ushindi wa kishindo
 
Uharo mtupu! Zito? labda ungeniambia lema, Msigwa au Mnyika ningekuelewa! Huyu ndumi la kuwili na kuwadi ndio awe CHADEMA? Wewe kweli ni TASA WA AKILI.
 
Back
Top Bottom