CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

Hivi kwanini mnatukanana kwa ajili ya Mtu au Chama? Hivi kazi za kufanya zimeisha? Watanzania wenzangu hebu tuwe wastaarabu.

hakuna matusi mjomba , hizi zinaitwa LUGHA KALI ZA KUFUNDISHIA .
 
ImageUploadedByJamiiForums1395243111.894762.jpg
 
cdm madkteta tu,uliona kalenga yule aliyepita kwenye kura za maon alivyo pigwa kapun kwa sabab za uongo na kwel? je na yy alikuwa msalit km zitto?

2010 Iringa mjin Ccm Alipta Mwakalebera ila Akapewa Monica Mbega hyo hukuona?kaz kushadadia ya wenzenu
 
ChadeMU ni Demu wa CCM si umeona Kalenga?.

Hakuna tabu mkuu kwa hiyo na kule ambako CCM hakumshinda kwa hiyo nyie ndiye demu wa CDM? Katika ushindani ni lazima apatikane mshindi. Kalenga na Chalinze ni stronghold ya CCM ila CDM ni lazima iingie ili ipime ukuaji wake. Kalenga 2010 CDM walipata kura 900 leo wamepata 5,800 na ushee. Kuna improvement kubwa. In the next years to come ni lazima kuchuana kabisa kama hali itakuwa hivyo, hopeful.
 
watu wenye akili timamu hawawezi.kumuheshimu taahira kama wewe, we unaheshimika kwa wavuta bangi.wenzio.tu

Bahati nzuri nimepata malezi bora kwa wazazi wangu (R.I.P my dad) na bado mama ananipa malezi na utu uzima huu. Kwetu huwa hatuna matusi. Ungekuwa wewe si taahira usingeandika ulichokiandika hapa. Kama naheshimika kwa wavuta bangi haina tabu nao ni watu tu. Wote ni watanzania na chama chako ndicho kimeendelea kutuzalishiwa wavuta bangi, madawa ya kulevya, majangili, majambazi, mafisadi and the like. Nikuulize, zile ajira mlizoahidi za vijana ziko wapi? Hawana cha kufanya na ile hela ya J.K fund wanasiasa walirudi kuzichukua, hakuna ajira wala maisha bora kwa kila mtanzania!!! Dhaifu na legelege at work.
 
Naona mada nyingine hazina kichwa wala miguu,kwahiyo unatulazimisha tukubali kuwa chadema ni zitto?haya mimi nimekubali chadema ni zitto lakini ndiyo hivyo tumemfukuza!una lingine la kusema?
 
majata hivi ni lini zito amrshiriki kwenye kampeni au uimarishaji wa chama kama wenzie. Lakini kwa nini mpate taabu si kuna act si tuone umaarufu wake huko.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni kweli yule jamaa yetu wa arusha huwa anafanyiwa ile kitu mbaya, mwenye ile video jaman atusaidie kuiweka hapa ili tujue sasa manake hichi chama kinakoelekea mungu anajua.
 
Naona mada nyingine hazina kichwa wala miguu,kwahiyo unatulazimisha tukubali kuwa chadema ni zitto?haya mimi nimekubali chadema ni zitto lakini ndiyo hivyo tumemfukuza!una lingine la kusema?

ndio mtaisoma namba chama kinapukutika na nyie waganga njaa kwenye mitandao mtakosa malipo yenu.
 
Hivi ni kweli yule jamaa yetu wa arusha huwa anafanyiwa ile kitu mbaya, mwenye ile video jaman atusaidie kuiweka hapa ili tujue sasa manake hichi chama kinakoelekea mungu anajua.

tendo alifan ywa harafu akajibalaguza kwa wanaarusha kwa kwenda na picha mkutanoni eti ni uongo aonewe huruma, nchi yetu Tanzania ushoga ni mwiko na hatutaki tabia za kishoga.
 
Zitto baada ya kutoka JKT kabadilika ghafla...mpaka alipokuja kuingia kwenye migogoro na chama..naamini ana mipango yake anaendelea nayo na mojawapo ni kuisambaratisha cdm...hata mzee mtei kashtukia hilo na ametoa onyo kwa viongozi top wa chama..
 
Back
Top Bottom