CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

alishindwa nini kupata madiwani wengi kwenye jimbo lake??????
Upo too low!
[TABLE="class: arc90_altrows-Blue, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]KILIMANJARO
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]WILAYA YA HAI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]HAI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Political Party
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]MBOWE FREEMAN AIKAEL[/TD]
[TD="width: 20%"]
CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 20%"]28,585[/TD]
[TD="width: 15%"]51.63[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]FUYA GODWIN KIMBITA[/TD]
[TD="width: 20%"]
CCM
[/TD]
[TD="width: 20%"]23,349[/TD]
[TD="width: 15%"]42.17[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]HAWA HENRY KIHOGO[/TD]
[TD="width: 20%"]
UDP
[/TD]
[TD="width: 20%"]258[/TD]
[TD="width: 15%"]0.47[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]KISSIMBO IBRAHIM PETRO[/TD]
[TD="width: 20%"]
TLP
[/TD]
[TD="width: 20%"]135[/TD]
[TD="width: 15%"]0.24[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 5%"] [/TD]
[TD="width: 15%"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 20%"]3,043[/TD]
[TD="width: 15%"]5.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 20%"]55,370[/TD]
[TD="width: 15%"]100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 5%"] [/TD]
[TD="width: 15%"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Umaarufu wa chadema unazidi kuporomoka Baada ya Kumtungia Tuhuma zisizo za kweli Mh zitto kabwe, lengo kuu lilikuwa ni kuhakikisha Hapati uwenyekiti na anapotea kisiasa kabisa, waasisi wa jambo hili ovu hawakujua kwamba wanaharibu Mzizi mkuu kabisa wa chama ambao kama ukikatika jumla utapelekea chama chote kuangukia pua, Leo Hii kunawatu ambao hawawezi kumuangalia zitto usoni walitarajia kwamba atashindwa kwa kashfa zao za kutunga. Zitto ni Hazina ya uongozi wa taifa hili na sio mburu....kenge, mhuni na jambazi wa magari wa Arusha ambae kwa bahati mbaya alipewa ubunge, kitu ambacho jamii nzima ya arusha ukiondoa wavuta bange na unga wanajutia. Hakuna siku aliongea na jamii ikaelewa kwamba kunajambo la kujenga jamii kaongea, badala yake kila aongeapo ni kuchochea uvunjifu wa amani tu. Bilashaka Siku itakuja tutaona Chadema wakitaka maridhiano na Kamanda wa Ukweli zitto zuberi Kabwe, wataomba msamaha tu na wataomba waende pamoja kwa lengo la kutokudhuru chama zaidi. mbona nyerere kafa na ccm inazidi kupaa?
 
Zitto ninayemjua mimi tangu enzi zetu za Chuo Kikuu hawezi kuthubutu kuomba msamaha wazee wa tindikali! Unafikiri yeye hajui Chadema walichomfanyia Wangwe? Team Zitto tunajua mnatafuta kuwa karibu yake kwa nia ya kumuua. Tahadhari zote zilishachukuliwa.

kwa mfano ukiambiwa ionyeshe dunia hicho ambacho cdm ilimfanyia wangwe utakuwa tayari ? Tunasubiri jibu lako ili tuwasiliane na viongozi wa jf ili kuwezesha huu mchakato .
 
kwa mfano ukiambiwa ionyeshe dunia hicho ambacho cdm ilimfanyia wangwe utakuwa tayari ? Tunasubiri jibu lako ili tuwasiliane na viongozi wa jf ili kuwezesha huu mchakato .

muulize mbowe na deus mallya wana majibu
 
chadema ilikuwepo hata kabla mpenda umaarufu hajajulikani
chadema itabaki kama chadema wala haimtegemee huyu kibaka wa ccm
kama yeye anaushawishi inakuwaje awe na diwani moja wa chama ktk jimbo lake
 
Mkuu kahtaan

Njoo umeone mwanao wa kufikia huku anavyoweweseka

Lin utampatia rijali wa kumfanyia nikaha huyu apate utulivu??

Banati ana shida huyu

Nakusoma mkuu THE BIG SHOW.

Huyu mwana wa kufikia Matola ni najisi kuanzia kichwani mpaka kunako nanihii!

Nimemnunulia sabuni ya omo ajiswafishe lkn laana ni laana tu!

Mwana huyu haogi mpaka apigwe mvua kama wale panya buku!

Niombee Subira kaka, manake ulezi huu wa laana ni tabu mno tena hasa ukioa mke kama mama Matola! Akiwa na mwae.
 
Last edited by a moderator:
Ujinga kama huu muupelekeni huko kwenye chama chenu ACT ambacho hakina nidhamu tuone mtafanya nini? sisi tutaendelea kuiamini chadema na hata huyo Zito hajawahi kushiriki uchaguzi wowote mdogo tangia mara ya mwisho Biharamulo na tulishindwa , lakini tumeshinda Arumeru bila ushiriki wake mbona hamsemi hilo. kama ana huo uwezo aupeleke kwenye chama chenu cha wasaliti
 
Aya yaya! Tatizo la wazee na vijana wanaoishabikia Chadema, huwa hawapendi kuambiwa ukweli..cjui kwanini wakiambiwa ukweli wanakasirika utadhani wametiwa vibunzi mata...koni. Ukweli Chadema bila Zito haiwezekani!
 
Kama unampenda sana Zitto nenda kampe basi ili kudhihirsha mapenzi yako kwake, angekuwa mzizi wa chadema mkoani kwake wangepatikana wabunge wengi wa chadema, paka we
 
Lakini kama zitto anakipenda Chadema kwa nini mnamzuia? Kwa nini zitto awe zitto kila kukicha? Hakika bwana zitto unanguvu.potelea mbali madai yako ya madiwani kupungua jimboni mwako.

Nakushauri Zitto tulia, kama tofauti zenu zemekwisha fanyeni siasa kwa amani na sura ya upendo ni hayo tu ndugu zangu.
 
Akili za kuwaza ukiwa na matatizo yako binafsi.......changanya na za jirani. Kama Chadema kuna demokrasia ionyesheni iko wapi!!!! Msiwe kama....kuleeee..... mtu ana agenda ya siri ita kikao aiseme uadharani usipofanya hivyo umemuogopa yeye na hasa hoja yenyew....wewe hufai kuwa kiongozi.....mwisho utatumia njia mkato zenye gharama ambayo huwezi himili....Hoja za Zitto na wenzake (Kama ni kweli zipo) ndo mwongozo wa Chadema huru kinyume cha hapo kila kitu ni kama Comedy.......
 
Kama unampenda sana Zitto nenda kampe basi ili kudhihirsha mapenzi yako kwake, angekuwa mzizi wa chadema mkoani kwake wangepatikana wabunge wengi wa chadema, paka we

tumewazoea nyie kupeana kwenu ni simple tu na ndio hasa mkiwazacho kwani hata yule mbunge wenu kule Arusha ni mgawaji sana na ndio maana hadi chopa anapewa baada ya kuwapa wakubwa zake, hili sio siri tena picha zake akinanihiwa zipo au hujaziona tuzibandike humu?.
 
mdini mkubwa huyo wewe ndio unamwita mbeba chama Agenda ya udini aliyopewa na CCM aisimamie ndio unamwita...............mbeba chadema



kama anaujasiri aje aongee na watanzania tumuone
 
Back
Top Bottom