Wa kumuomba msamaha mwezie ni nani? Acheni uzushi nyie BAVICHA, badala ya kukaa chini na kutafakari wapi mlipokosea mpaka SACCOS inayoyoma, nyie mmekalia majungu. fitna, uzushi, uzandiki na kila aina ya ubaya! Muombeni msamaha Zitto haraka iwezekanavyo! mambo hayaendi vizuri kwa upande wenu!
ndio mazoea yako hayo bro na jamaa yako wa arusha alishapelekewa mtalimbo na picha alipigwa, teh teh teheeeee!
cdm madkteta tu,uliona kalenga yule aliyepita kwenye kura za maon alivyo pigwa kapun kwa sabab za uongo na kwel? je na yy alikuwa msalit km zitto?
Kwa sasa zito hakamatiki ona hapa anatoka na gari la chikawe wakati chadema wanamtafuta kwenye gari lake.
Kwa sasa zito hakamatiki ona hapa anatoka na gari la chikawe wakati chadema wanamtafuta kwenye gari lake.
hivi kwanini umasikini wa kipato unasababisha pia umasikini wa akili ?
Mjomba itathmini chadema baada ya zito.
usimezeshwe maneno bila kutafakari, zitto nii bora kuliko mbowe, slaa na lema. Hili hata wewe unajua ila unajilidhisha tu mkubwa.
utapasuka MDOMO KWA MAYOWE LAKINI ZITTO KWAHERI , NJAA NA TAMAA KALI KUSHINDA YA FISI VIMEMPONZA ! KAMA MNAMUONA MALI MPELEKENI ARUSHA AKAOKOE CCM , AU HAMUONI AIBU MTUKUFU PROPHET MH LEMA ANAVYOWADHALILISHA NYINYI NA WAZAZI WENU ? KUNA TAARIFA KWAMBA MWAKA HUU HAMTAAMBULIA HATA KITI KIMOJA CHA SERIKALI ZA MITAA , MAFISADI WAKUBWA NYIE !
Acha hiyo lift ya Chikawe,hata angeondoka na Freelander aliyopewa na Mkono wala haina shida maana sio siri tena. Au jamaa wale wa TISS waliompa kazi iliyoshindwa wakileta magari ya msafara wake haisumbui.
Hivi mke ukimuacha kutokana na uzinzi na ukahaba wake ukimuona kakumbatiwa utahamaki? Sii ushamuacha? Hata ukimkuta kawapanga mstari magume anagawa utamu wala roho haishtuki maana hicho ndicho kilichokufanya umuache.
Sent from my iPad using JamiiForums
Pia unasababisha upungufu katika kujitambua. Hao jamaa ukiwaonyesha mshiko na kuwaambia wakulambe miguu utashangaa watakavyogombania nafasi hiyo.
Sent from my iPad using JamiiForums