CHADEMA ni msingi yazua balaa na kizaazaa

CHADEMA ni msingi yazua balaa na kizaazaa

Dr.mbasa angetakiwa avae gloves..maana kushika kitambaa cha magamba ni kushika dhambi.
 
tupo uwanja wa posta ya zamani ngara,ccm ndo inakata roho mdogo mdogo,watu ni wengi balaa dr:mbasa akifunga furushi la dhambi hapa uwanja wa zamani wa posta jioni hii,tuko na dr kabangira, kadi za miccm zinavunwa kama njugu mawe hapa ngara uwanja wa posta ya zamani.

kamanda , kwa haya mapicha uliyoyatupia humu , mimi na familia yangu tunakushukuru sana , hatuna cha kukulipa bali tunaamini m/mungu atakurudishia ulichopunguza , ubarikiwe sana .
 
Ningependa kuona maoni ya ritz,simiyu,katiba,ifw,chris,faiza
 
Hebu tuseme sote ''CHADEMA NI MSINGI''

Heko makamanda!
 
Hata kama LB7FC wakiongozwa na Daktari ZeMarcopolo wanajifanya hawaoni lakini kwa mwendo huu watafumbua macho tu.

Baada ya kuwashikisha adabu wasaliti sasa kilichobaki ni kazi moja tu, Chadema ni msingi ili tuanze rasmi safari ya kuingia magogoni 2015 ccm lazima tuwakumbe kama kimbunga kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli tu, kwa jinsi ulivyoficha macho yako, ni wazi huwezi kuziona kadi za ccm..... ha ha, mtalinywa tu, chade4ma wanachanja mbuga!

Mkuu nipo haba Ngara, Viwanja vya posta na kweli kuna Kadi kadhaa za NCCR na bendera zimekusanywa hapa
 
Back
Top Bottom