Du! Pole sana kwa kujifariji.Yaani Ccm ife! Chadema iwe haijazikwa turn? Ccm tunashuhudia kifo na mazishi ya chadema
. Ccm ndio Baba la siasa. Tulieni mjifunze, acheni kulia.

kwani kadi ndio kupiga kura hahaha ngojeni uchaguzi
chadema ni chama cha MUNGU
Buku saba hawachelewi kusema hizi kadi ni za 2010 kwenye uchaguzi.
Kuna Tetesi zilizokuwa zinasema Zitto atahutbia Tabora leo,mwenye kujua kinachoendelea huko naomba atujuze.
akafie mbali...
hahaaaaaa CCM hoyeeeee, kigumu chama Cha Mizigo