CHADEMA ni msingi yazua balaa na kizaazaa

Yaani Ccm ife! Chadema iwe haijazikwa turn? Ccm tunashuhudia kifo na mazishi ya chadema
. Ccm ndio Baba la siasa. Tulieni mjifunze, acheni kulia.

Vp mkuu naona mzee wako anazidi kufirisika hata Lodge yenu nasikia mnataka kuiuza pole, lakin endeleeni kuiunga ccm mkono mtapewa hata kamkopo si haba mtajipanga upya. Msalimie mzee mwamlima hapo maskani
 
Wanajamvi mi ndo nimeingia kwa mara ya kwanza jamii forum kuongeza timu ya wapambanaji. Kila mwananchi anayeipenda nchi hii kama sio jangili au mng'oa kucha anapaswa kujiunga na hawa makamanda walioamua kuvaa ngwanda. Tulianza na Bwana na tunamaliza mwaka kwa ushindi mkubwa.
 
Kuna mijitu humu yaani haielewi kabisa utazani walinyeswa damu ya ccm

usishangae ndugu yangu kuna kundi la watu nchi hii wanaipenda ccm kuliko Tanzania. how can one justify unyama waliofanyiwa ndugu zetu kurushwa vichura huku wakipigwa mijeredi ndani ya nchi hii hata makaburu wa africa kusini hawakufanya unyama huu uliofanywa na serikali ya CCM.
 
Wewe ulitaka majangili wapewe nini?zabibu?
 
Wanajamvi mi ndo nimeingia kwa mara ya kwanza jamii forum kuongeza timu ya wapambanaji. Kila mwananchi anayeipenda nchi hii kama sio jangili au mng'oa kucha anapaswa kujiunga na hawa makamanda walioamua kuvaa ngwanda. Tulianza na Bwana na tunamaliza mwaka kwa ushindi mkubwa.
Karibu Jf ila usiwe jangiri, mng'oa kucha, mbakaji hii namaanisha usiwe liccm.....
 
Mbona kadi mpya sana? Hao wanachama wa CCM,NCCR na CUF wamejiunga jana na leo wamehamia chadema????

Mkuu kadi ya chama kwani ni ya benki? Inachafukaje? Mimi ninayo ya CDM tokea 1998 mpaka leo ukiiona utadhani nilipewa leo! We ni Mzigo kweli kama chama chako
 
Wanajamvi mi ndo nimeingia kwa mara ya kwanza jamii forum kuongeza timu ya wapambanaji. Kila mwananchi anayeipenda nchi hii kama sio jangili au mng'oa kucha anapaswa kujiunga na hawa makamanda walioamua kuvaa ngwanda. Tulianza na Bwana na tunamaliza mwaka kwa ushindi mkubwa.

Karibu sana, mapambano yanaendelea
 
Hongera kamanda Mbasa fanya kazi ya kujenga chama kwa ajili ya Ukombozi wakati yule Msaliti mkuu wa ukombozi akiendelea ku-compromise kwa cheap politics za kuzuia watu eti wasivae sare za vyama.
Viva Mkmda viva Chadema
 
Teh teh, ngara hiyooo to chadema! Naomba chadema ni msingi iimarishwe huku kusini pia!
 
Back
Top Bottom