'Chadema ni mpango wa Mungu', 'Mungu ibariki Chadema'; ndo kauli pekee zilizobaki za kujifariji wanachadema! Hakuna jingine teeena!

Ndo ukweli!
Kwa sasa hakuna hoja tena, ni kujifariji na kujifariji na kujisariji na kujifariji kwa kutumia mgongo wa Mungu.

Ukiuliza tundu lissu anafanya nini ughaibuni? Utasikia 'chadema mpango wa mungu'

Ukiuliza ilikuaje lowassa akagombea kupitia cdm? Utasikia, 'chadema mpango wa Mungu'

Ukiuliza utofauti wenu na cuf au act ambazo mnakesha kuwashambulia na kuwaita ccm b ni nini ilhali nanyi mnatoa watu huko kwenda kuitumikia ccm? Hamuoni kwamba huo ni unafiki wa kiwango cha sgr? Utawasikia, 'chadema mpango wa Mungu'.

Ukiuliza vp kuhusu ofisi? Utasikia 'chadema mpango wa Mungu'

Ukiwaonyesha picha ya ikulu, tena kwa kuwaoffer na miwani kabisa wale wenye matatizo ya macho, ili wamuone vizuri mwamba mbowe na wenzake wakitoka kupiga juice na chai. Utawasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'

Ukihoji uhalisia wa demokrasia ipiganiwayo huko; utasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'

Ukihoji mbona matusi mengi sana? Utasikia 'chadema ni mpango wa Mungu!'

Ukihoji kwani Mungu huyu mnayemtania hivi ni babu yenu au? Utawasikia, 'Mungu ibariki chadema'.
Hata pale unapouliza kuhusu ruzuku, utasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'.

Ukiuliza, 'hivi kwanini zitto anaonekana ana akili kuliko nyie nyote?! Utasikia, 'chadema ni mpango wa Mungu!'

N.k. Yaani cdm ya sasa zaidi ya sentensi hizo walizoamua kujifariji nazo, hakuna kingine tena! Juu ya hapo wanakabiliwa na matatizo mengine makuu mawili au matatu;
1. Wivu
2. Majungu
3. Ujuaji mwingi

Warning!
Mungu hadhihakiwi. Hataniwi!
Mungu ibariki CHADEMA... Mungu wabariki wote wanaoichukia CHADEMA
 
Kunywa maji kwanza. Maana mimba ya mwendazake inakutesa sana
 
Back
Top Bottom