Chadema ni chama hatari sana kiogopeni kama ukoma.


eeeti na wewe nikiongozi ndani ya serikali dhaifu!
Tatizo jk aliwachagua rafiki zake kuwa viongozi ambao ni vilaza kama yeye!
Eeeti mmekaa kinywa na haya mauaji mnayoyafanya!?
Mkuu ccm ni chama changu ila kwa ukilaza kama wako ptuuuuuuuu!
Badilikeni bado tunanafasi wakuu! Tunanafasi za kuludisha uaminifu wetu kwa watz!
Mambo ya kulazimisha hoja tuache kwani hv ninyi mnaishi wapi hamjui yanayoendelea mitaani tumewachoka!
 
Werevu ni kushabikia CHADEMA?
 
Tatizo ni michezo michafu inayofanywa makusudi kwa kuwatumia
wanaCDM walioko maofisini kukwamisha Mipango ya serikali.
 
Ni utoto tu,, akikua ataacha,anafikiria kwa kutumia masaburi
Ahsante ndugu yangu ambaye unafikiria kwa kutumia kichwa
Lakini umeshindwa kuona Kabisa UOZO uliopo ndani ya CDM
Tumia vizuri kichwa chako huo ni UOZO
 
kwani mtoa mada hana undugu na manyanya au njemba maana walioko madarakani ni ccm na sio chadema kwani mtu kudai haki yake ni haramu au kutaka maslai ni haramu sasa kama maslai madogo usiseme kwakuwa ukisema utakuwa umetumwa na chadema kwaiyo wanaodai maslai wote ni chadema basi kazi hipo kwaiyo nyinyi ccm mnavyoona maisha ni mazuri kwa wananchi sana kwaiyo mtoa mada ujue kuwa chadema wanapenda mabadiriko katika maisha ya watanzania ndiomana wanasema mabaya yote kama wangekuwa hawasemi leo hii sijui kama neno epa dowans na mengineyo ungeyajua hayo
 
Padre ni Baba = Sasa wewe jiulize, kanisani hawa mababa hawaruhusiwi kuoa ni ma baba wa nini? Unaejifanya ni intellectual nipe jibu.

Usitake kuzungusha maneno rikodi yake inaonesha ni kwanini aliondoka upadri.

Nilikwambia hujui maana ya Padre, so umethibitisha kwa vitendo ignorance yako. Hutaki kujifunza, and that is idiocy. Go on with your chosen idiocy, I can't stoop so low to argue with an old fool!
 
Nilikwambia hujui maana ya Padre, so umethibitisha kwa vitendo ignorance yako. Hutaki kujifunza, and that is idiocy. Go on with your chosen idiocy, I can't stoop so low to argue with an old fool!

[h=2]English[/h]
[h=3]Etymology[/h] From Italian, Spanish, Portuguese padre ("priest"), from Latin pater ("father"), from Proto-Indo-European *ph₂tḗr.

[h=3]Noun[/h] padre (plural padres)

  1. A military clergyman.
  2. A Roman Catholic priest.

[h=3]Etymology[/h] Latin pater
[h=3]Noun[/h] padre (plural padres)

  1. father
[h=4]Synonyms[/h]

[h=2]Italian[/h]
[h=3]Noun[/h] padre m (plural padri)

  1. father

[h=2]Spanish[/h]
[h=3]Etymology[/h] From Latin pater, patris.
[h=3]Noun[/h] padre m (plural padres)

  1. father

Source:
padre - Wiktionary

Shall I continue? or you have learned your lesson? fool from an uneducated school
 
Si ajabu kusikia huyu ni katibu wa nanihii CHADEMA
maana hizi ndio hoja zao wanazoita za nguvu.

Vijisenti, tatizo lenu ni kuwa kila mwenye mawazo tufauti na ccm ni chadema, mimi sina chama mkuu, ni mwananchi wa kawaida niliyechoka na maisha haya yaliyasababishwa na watu kama nyie mnaolipwa kutetea wanowatesa watanzania.

Nina hakika hali ya nchi unaiona vizuri sana na hata unachokitetea wala hukiamini kwa moyo wako, jamani muogopeni mungu Tanzania ni yetu wote.

Mungu husikiliza kilio cha wengi na amini usiamini atajibu maombi, watanzania wameshalia sana.
 
Last edited by a moderator:
Mie Chadema wanachonishangaza mpaka leo kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Rais halafu wanakubali matokeo ya Ubunge na Udiwani... Vijisenti endelea kutoa elimu ya uraia.
 
Last edited by a moderator:
WEWE UJE NIKUPE POLITAL SCIENCE SIO UPUUZI ULIOSOMEA KIVUKONI MNAWADANGANYA WAIOJUA LOLOTE MBONA UNANIKIMBIA KILA WAKATI NILIKUPA NO YANGU HUKUPIGA OTE=Ritz;4252201]Mie Chadema wanachonishangaza mpaka leo kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Rais halafu wanakubali matokeo ya Ubunge na Udiwani... Vijisenti endelea kutoa elimu ya uraia.[/QUOTE]
 
The thing that you dont know, watu hawapendi waheshimiwa watu wanasikiliza
nini CDM wanasema, Slaa, Mbowe, Zitto sio issue watu wanaangalia nini kinachosemwa na hwa watu!

Yaani baada ya kuyafanyia kazi yanayosemwa, mnaanza ku attack mtu mzinifu,
hv South Africa si inaongozwa na mzinifu tu, wapi umeshawi kusikia hyo tatizo kwa nchi yao?

Richmond, EPA, Kiwira, City Water, BOT Renovation, Radar, UDA nimechoka kutaja...hivi
vyote sio hatari ila hatari ni Slaa kuzini!

Somo dogo tu, kuna baadhi ya sehemu CDM wameweka watu wa
kawaida sana lakini walishinda uchaguzi uliopita........

Sasa ukiona mpaka watu wako radhi kupigia kura jiwe kuliko binadamu wa CCM,
jiandaeni kushambulia mawe na sio mzinifu tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…