CHADEMA ni chachu tu, haiwezi kuikomboa Tanzania

Slaa ni Katibu Mkuu wa CDM, Mke wake ni mbunge mteule!, hawara ake anataka kugombea ubunge Ubungo na ni kada wa cdm!, Mtei ni mwanzilishi na mlezi wa CDM, Mkwe wake Mbowe ni Mwenyekiti wa chama!, Ndesamburo ni muasisi wa CDM na Mbunge wa M.Mjini, mtoto wake ni mbunge wa CDM!

Sasa ukiacha mbali udini uliopo CDM kwa Mapadre na Maaskofu kuipigia debe uchaguzi 2010! kumbuka Askofu Kakobe!
Ukanda na ukabila ndio kama huo wa CDM kuongozwa na familia za kichagga!

Kikwete M/kiti ccm
Salma kikwete ni mjumbe wa H/kuu kutoka lindi
Ridhiwani Kikwete ni mjumbe uvccm pwani
Yusufu Makamba toka ingia J. Makamba
Mwinyi toka ingia Huseni Mwinyi
Karume toka ingia Karume mtoto

Hiki ni chama tawala ni chama cha kisulutani
 
Sasa mbona kama chama hamkumkanya na kuupinga udini wa mzee Edwin MTEI ili sisi raia wengine tuone kuwa you are not supporting the same. Mashaka yangu ni kuwa mnafuata mtindo ule ule wa zidumu fikra za m/kiti! Mlezi siku zote ana influence na ku shape your way of thinking! Ulikuwa hujui? Waulize wazee watakwambia.
Wazee waliobaki ni walio CC Majambazi siwezi kuwauliza lolote!! sana sana watanifundisha wizi!!
 
Kwa hiyo Bayana ni Gamba! nimepoteza muda kumjibu! vizuri anajitahidi kutafuta visingizio vya kitoto!!

Mangi mimi sio gamba ila ni raia mwema wa TZ anayepinga ubaguzi wa aina yoyote ile nchini hata kama anayeuanzisha ni ni mtu wangu wa karibu.

Niliuliza maswali haya:

1) Unajua CDM ilianzishwa mwaka gani? 2) Ilipata nguvu za kuwa chama cha upinzani mwaka gani? 3) Ni kwa nini iwe mwaka huo? Utajifunza kitu very tangible hapa ili uweze kufikiri sawasawa?
 
Ukisema kurekebisha nitakuelewa!! lakini ukija na hoja dhaifu kuwa tuanzishe sijui kikundi sijui chama hujatatua Uzushi wa = CCmajambazi.
Hayo ya mtei ni maoni yake binafsi na siyo uunganishe kila hoja na kila maneno ya wanachama wa CDM na CDM! Ni uonevu!!
Bayana fikra zako ni mgando, si kwamba nakutusi lakini kwa Tanzania ilivyo ndivyo unavyoonekana..

Kumuita Edwin Mtei ni mdini inaonyesha jinsi usivyoijua nchi yako.. kila kunapofanyika uteuzi (mawaziri, wakuu wa miko, wilaya nk) kumekuwa na kuwianisha swala la dini kama huamini fanya utafiti.

Hoja ya Mtei hapa ni matumizi ya kanuni hiyo hayakuzingatiwa.. hasa ukizingatia uwakilishi wa Bara na Visiwani, mbona hilo limesemwa na wengi na si yeye peke yake? Pia kama wewe ni muelewa hakuna ubishi kauli ya kwamba madhehebu ya dini yana-influence sana katika siasa za nchi yetu kama hujui fanya utafiti utagundua hilo, na kama ukiligundua hilo usiwe mnafiki kuwa mkweli kwa nafsi yako na utujulishe athari za kuwa na uwakilishi usio na uwiano ni zipi.. maana zipo!

Halafu mwisho hebu thibitisha hoja ya ukanda, la sivyo hata wewe ni sehemu ya mkakati wa kudhoofisha upinzani maana kati ya mbinu zinazotumika ni pamoja na propaganda za udini, ukabila na kuanzisha chama kingine na wewe umejikita nazo.
 
Kikwete M/kiti ccm
Salma kikwete ni mjumbe wa H/kuu kutoka lindi
Ridhiwani Kikwete ni mjumbe uvccm pwani
Yusufu Makamba toka ingia J. Makamba
Mwinyi toka ingia Huseni Mwinyi
Karume toka ingia Karume mtoto

Hiki ni chama tawala ni chama cha kisulutani

- Ndesamburo na mtoto wake na mkwe wake, Lissu na Dada yake Christina, Zitto na Mchumba wake, Mtei na Mkwe wake, Slaa na mke wake!! HEBU ONDOA BORITI KWENYE JICHO LAKO KWANZA NDIO UNAWEZA KUTUFUNDISHA CCM!!

KIDUMU CCM!1

Le Mutuz!!
 
Ndugu yangu inawezekana wewe ni mwana ccm, na hivyo unahofu kubwa CHADEMA ikichukua madaraka huna chako. Na kama siyo muumini wa ccm, basi mafisadi wamekupa sehemu ili kukichafua Chama ambacho wengi tunaona ndiyo mkombozi wetu pekee aliyebaki. Hivyo kama unaona huna cha maana cha kuleta hapa, basi kula hiyo posho uliyopewa na hao mafisadi then tulia. CHADEMA ni moto mkali ndiyo maana mna makelele yasiypkoma, joto linawakolea saaaaaaaaafi sana.
 
- Ndesamburo na mtoto wake na mkwe wake, Lissu na Dada yake Christina, Zitto na Mchumba wake, Mtei na Mkwe wake, Slaa na mke wake!! HEBU ONDOA BORITI KWENYE JICHO LAKO KWANZA NDIO UNAWEZA KUTUFUNDISHA CCM!!

KIDUMU CCM!1

Le Mutuz!!

Is this true wana CDM? Sasa tofauti yenu na hawa jamaa wa CCM ni ipi? Hapa bado uongozi wa nchi haujapatikana, ukipatikana si itakuwa balaa? Ikulu mtajazana wana familia? Tuamkeni jamani tupate mabadiliko ya kweli. Hatuwezi kwenda namna hii tukafika acheni mzaha.
 
- Ndesamburo na mtoto wake na mkwe wake, Lissu na Dada yake Christina, Zitto na Mchumba wake, Mtei na Mkwe wake, Slaa na mke wake!! HEBU ONDOA BORITI KWENYE JICHO LAKO KWANZA NDIO UNAWEZA KUTUFUNDISHA CCM!!

KIDUMU CCM!1

Le Mutuz!!
John Samwel Malecela na William Malecella!!
 
- Ndesamburo na mtoto wake na mkwe wake, Lissu na Dada yake Christina, Zitto na Mchumba wake, Mtei na Mkwe wake, Slaa na mke wake!! HEBU ONDOA BORITI KWENYE JICHO LAKO KWANZA NDIO UNAWEZA KUTUFUNDISHA CCM!!

KIDUMU CCM!1

Le Mutuz!!

sio tu usultani kwenye siasa, usultani hadi kwenye taasisi za umma.kila kigogo amechomeka mtoto pale BOT (kwenye kihenge cha taifa) ila hatujajua sheikh Jumanne(aka John) Malechela kama naye yuko kwenye timu ya masultan.

Bali yuko kwenye makampuni yasiyolipa kodi kifisadi mfano VODACOM na tiGO.
 
Chadema sio chama cha siasa hawawezi kuwakomboa Watanzania ni chama ambacho hakina misingi ya utaifa ni chama cha kikanda. Kimsingi Chadema ni kikundi cha watu kutoka kaskazini ya Tanzania ambacho wanatumia siasa kama njia ya kufanikisha mambo yao.
 
Kweli najiamini nimeelimika sana,tofauti na bati lililoleta thread hii

Nyie ndio wale zamani mlio kuwa mkisema 'CCM imenilea' sasa hivi ndio wapinzani wenye akili kuliko wengine!

Baada ya muda mtakuja na wimbo mwingine. Amka hivi vyama watu wamevifanya kama NGO zao za kupatia ulaji, wana mageuzi wa kweli waliojiunga navyo baada ya muda wanaahwa kwenye mataa. Angalia baada ya Zitto kusema atagombea urais, CDM walivyokuja juu! Hata nyie mashabiki wa CDM humu ndani JF mnamwita pandikizi la chama tawala/ gamba. Jiulize!? Kwanini iwe hivyo? Sio wapinzani wa kweli ni walafi tu ambao mkiguswa kwenye maslahi yenu hamkubali.
 
I dont want to be personal. Katibu wenu sawa ni msomi ni DR wa nini na ameipata wapi? Maana kusema kweli sijui. Mbowe ana elimu gani? Hata hivyo bado sio tatizo kubwa sana, tatizo ni hizo propaganda nyingine ambazo walio wengi wanaziamini na zinaathiri ukuaji wa chama!

gamba la kobe wewe na kwa taarifa yako CHADEMA hamtaiweza kamwe hasa kwa propaganda zako hizi finyu.
 
Mkuu Bayana Imarisha ADC naona inakufa kabla haijaanza Kutambaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom