Hili ni pigo la kwanza kwa CDM. Ikiwa mlezi ana mawazo mabovu unahisi mtoto atakuzwa katika misingi ya tabia njema? In short mtoto huchukua tabia za mlezi wake! Unajitetea vipi hapo?
Usitutoe kwenye ukweli kuhusu our public enemy number one, ni ujambazi wa mali ya umma ambao muasisi ni CCM. Ukanda na ukabila is not our concern for now kwa sababu sisi tunaishi kwa amani na dini na makabila yetu.
Ni wizi wa CCM ndio tunataka tuung'oe through a ballot box. Usifikiri sisi watoto kututoa kwenye ajenda yetu ambayo ni wizi unaosababisha umaskini.