- Thread starter
- #21
Kwanza huyo jamaa mimi namuona yeye ndiyo mbaguzi kwa nini aseme kianzishwe chama cha wasomi ina maana wasio wasomi hawana nafasi ya kuchangia mabadiliko wakiwa wanachama??? Nadhani hata uelewa wake una kasoro na kama kapita shule basi alinunua mitihani kwa kutumia pesa ya ada ya shule au pocket money alopewa na wazazi wake shame on him/her
Uelewa wangu kutofautiana na wa kwako ni natural wala sio dhambi na watu hawawezi kuwa sawa.
Wasomi kuanzisha haina maana kitakuwa cha wasomi peke yao ila wao ni dira ya mabadiliko.