Kaka asante. Ama kweli hili ni "jeshi la akiba". Vijana wenye ari na moyo wa kuona mabadiliko na mwamko mpya katika taifa letu. Mabadiliko duniani kote huletwa na vijana na sio maveteran kama wale tuliowaona kule Singida na kwingineko kwenye mikutano ya wavua magamba. Bravo Vijana wa Tanzania, Bravo wapenda maendeleo wote wa Tanzania. Udumu Uzalendo wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.