Chadema ndani ya mji mdogo wa Katoro/Buseresere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema ndani ya mji mdogo wa Katoro/Buseresere

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtemiwao, Mar 4, 2011.

 1. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau wapenda maendeleo nipo ktk mji mdogo wa katoro mpakani mwanza na kagera hali ni ya mashamsham utafikiri anakuja cjui nani maana hata rais huwa cio hivi,muda mfupi ujao kutakuwa na maandamano na mkutano wa hadhara,hii ni wakeup cal kwa cheyo,wasira, nk wanaowatia hofu wtz,kwa hali ilivyo naomba serkali ifate ushauri wa kuwakamata ili iwe rahisi kuiondoa madarakani.pipooos pr ni noma
   
 2. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  vivaaaaaaaaaaa!!!!
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Picha basii
   
 4. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Inaonesha Mkutano utakuwa mzuri sana kwani maandalizi mazuri yamefanyika.Baadhi ya Wabunge tuko hapa Twiga Lodge tunasubiri muda ufike.Jana nako Chato mambo yalikuwa mazuri sana.
   
 5. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  watachanganyikiwa sana mwaka huu huo ni mwanzo more rally to come
   
 6. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Jamani 2mesikia kikosi kinarudi dar au wameamua kuendelea?
   
 7. F

  FredKavishe Verified User

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hahahahaha sasa sijui watatokea wapi mwaka huo'
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  tunawatakia kila la kheri, Mungu awabariki sana. msisahau kwenda na kule Tanga pia, hasa Lushoto maeneo ya Mlalo, natarajia kuwa mbunge wa jimbo la Mlalo Lushoto 2015 kupitia CDM
   
 9. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mama .

  Nyie wabunge mkiwa Bungeni mnalipwa posha kila siku. Je huko anawalipa nani Posho? na vipi hao wnaowahamasisha wanalipwa na nani? au ndio kuwadanganya watu wakati nyie mpo kazini?
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  anawalipa Mungu.
   
 11. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Haijalishi kama kuna posha au la...uhai wa chama kwanza mengine baadae
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Una akili fifu sana!
   
 13. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  CCM wapeleke hoja Bungeni ya kufuta ruzuku ya vyama vya siasa hata kama na wao wataathirika. Inaelekea CDM hawafanyi kosa na ruzuku yao; ruzuku inatumika kuibomoa CCM kisawasawa. Dawa ya kukomesha haya maandamano na mikutano ya CDM isiyosha ni kuwaondolea uwezo wa mapato. CCM wao si wana vyanzo vingine vya mapato kama viwanja vya mipira na majengo!!!!
   
 14. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wajinga ndio waliwao. Poleni sana huko Buseresere, Bwanga, katoro mpaka kule butundwe.
   
 15. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hivi mh.regia, kuna uwezekano wowote mkapishana njiani na msafara wa PM, Pinda? Cpati picha jinsi wananchi walivyowakubali halafu itokee mpishane nae, maana kaamriwa na jk awafuate huko huko ili awadhibiti msiendelee kutia mchanga kitumbua chake. Sijui ataficha wapi uso wake, maskini mtoto wa mkulima!
   
 16. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Tusiwe waongo. Chadema wanapata ruzuku zaidi toka rome
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  wAKIondoa ruzuku tutachanga cash!..habari ndiyo hiyo
   
 18. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Kama ndio hivyo kwanini wasizitoe zile posho zao kule Bungeni kuelekeza kwenye chama hususan matawi yenu ya kule vijijini.
   
 19. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Makanisa hayapati kitu toka Roma sembuse Chama cha Siasa!!! wewe ndio mwongo kupita waongo wote ninaowafahamu
   
 20. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Watakao changa Cash, TRA watawapelekea assessment ya kodi kubwa ili kuwapunguzia huo uwezo wa kuchangia CDM
   
Loading...