Mundali
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 749
- 164
Mtu aliyebobea kwenye history utamjua tu. Kwa akili ndogo za huyu mshauri wa rais (via CCM), CDM walipita wakigawa hela kwa wapiga kura kama wafanyavyo wao. Kama ni hivyo waliacha neema Igunga, Tshs. 3,000,000,000/= kwa kura 25,000 ni sawa na Tshs. 120,000/- kwa kura moja. Arumeru Mashariki mmetayarisha ngapi?