Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,035
- 134,287
Hapo kwa binti peneza umenikunaBila picha ya Upendo Peneza na Ester Matiko uzi umekuwa batili..
Mke wa Daudi Kafulila,anagombea Iramba.Huyo wa kwanza anapatikana wapi?
Aisee, i'll find connection
Hahahaaa..... Yamekaa kishetani shetaniHawa kama wakaanga sumuView attachment 1567161
Mwenyekiti kazalisha mara mbili huyo wa katikati Joyce Mukya.Wanajitambua sana hawa warembo sio kama wale wakata viuno wa upande was pili na wabong'okaji