Wewe unazeeka vibayaKama hao wananchi hawakufunga macho 2015 jipeni moyo tu kuwa ati watafunga macho 2020! shauri lenu.

Sijui hawa jamaa wana mkakati gani na uchaguzi mkuu wa 2020 hususan kwenye upande wa wabunge.
Kulialia kuhusu sheria mbaya hakutobadilisha sheria mbaya kuwa sheria nzuri.
CHADEMA kama kweli wapo serious basi wangeanza sasa kuwaandaa watu wa kugombea ubunge kwenye majimbo yote ya Tanzania.
Mambo ya kuwaachia wagombea wa CCM wapite bila kupingwa halafu mnakuja kulialia baadaye kuwa eti sheria ni mbaya na mnamwomba Magufuli abadili sheria [wakati Magufuli hatungi hizo sheria] ni utoto wa kisiasa.
Anzeni sasa kuwa groom wagombea ubunge na muweke wagombea wenye sifa kwenye kila jimbo.
Msipoweka wagombea mnakosa kabisa hata nafasi ya kushinda. Uchaguzi ulopita kuna majimbo hamkuwa na wagombea ubunge. Aibu.
Msiwaze urais tu. Bunge nalo ni la msingi.
Hilo la kusema sijui mikutano ya wazi ya vyama vya upinzani imepigwa marufuku or whatever ni lame excuse tu.
They need to be creative.
They can use subterfuge to get around it.
Nadhani utakuwa ushausikia huu wimbo wa 'We Miss You Manelo'.
Ukisikiliza kwa makini utajua kuwa walikuwa wanasema 'we miss you Mandela'.
Lakini kwa vile serikali ya Kikaburu ilikuwa imepiga marufuku hayo mambo ya kumtukuza Mandela jamaa ikabidi waje na 'we miss you Manelo'.
Upinzani wa Tanazania nao inabidi wawe creative aisee. La sivyo watakuwa ni wapinzani daima na hawatokuja kushika madaraka...iwe bungeni au ikulu.
Wenyewe wanasema eti "Chadema wana gain kila uchaguzi." Na pia hawana "hofu they will make it."Aisee, sidhani kama Chadema wana mkakati wowote ule wa uchaguzi mwaka 2020.
Ni hatari sana.
Chadema wana gain kila uchaguzi. Sina hofu they will make it.
Hivi unaweza kutusaidia uchaguzi wa 2020 ni wabunge wangapi wa CCM walipita bila kupingwa?Sijui hawa jamaa wana mkakati gani na uchaguzi mkuu wa 2020 hususan kwenye upande wa wabunge.
Kulialia kuhusu sheria mbaya hakutobadilisha sheria mbaya kuwa sheria nzuri.
CHADEMA kama kweli wapo serious basi wangeanza sasa kuwaandaa watu wa kugombea ubunge kwenye majimbo yote ya Tanzania.
Mambo ya kuwaachia wagombea wa CCM wapite bila kupingwa halafu mnakuja kulialia baadaye kuwa eti sheria ni mbaya na mnamwomba Magufuli abadili sheria [wakati Magufuli hatungi hizo sheria] ni utoto wa kisiasa.
Anzeni sasa kuwa groom wagombea ubunge na muweke wagombea wenye sifa kwenye kila jimbo.
Msipoweka wagombea mnakosa kabisa hata nafasi ya kushinda. Uchaguzi ulopita kuna majimbo hamkuwa na wagombea ubunge. Aibu.
Msiwaze urais tu. Bunge nalo ni la msingi.
Hivi unaweza kutusaidia uchaguzi wa 2020 ni wabunge wangapi wa CCM walipita bila kupingwa?
Hahahaa Ruta bana.
Naona wewe mwenzetu tayari ushafika na kuvuka hata hiyo 2020.
You're funny.
“Chama kitaendelea kupokea michango kutoka kwa matajiri wanaotaka kukiunga mkono kwenye miradi na shughuli mbalimbali,” alisema Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole katika mahojiano maalumu na waandishi wa Gazeti la Mwananchi.
“Marafiki wa CCM bado wapo na wataendelea kukisaidia chama, ila sasa ni lazima tujiridhishe kwamba si wakwepa kodi, hawauzi unga na wanafanya biashara halali.
Polepole pia alisema CCM itataka kujihakikishia kuwa misaada ya wafadhili hao haikigawi chama.
CCM imekuwa ikisemekana kutegemea kwa kiasi kikubwa michango ya wafadhili kujiendesha, hasa inapotaka kuitisha vikao vyake vya juu kama Mkutano Mkuu na Halmashauri Kuu.
Nadhani wanatii sheria bila shuruti ya agizo la Ngosha Mkulu: Siasa ni mpaka 2020Sijui hawa jamaa wana mkakati gani na uchaguzi mkuu wa 2020 hususan kwenye upande wa wabunge.
Kulialia kuhusu sheria mbaya hakutobadilisha sheria mbaya kuwa sheria nzuri.
CHADEMA kama kweli wapo serious basi wangeanza sasa kuwaandaa watu wa kugombea ubunge kwenye majimbo yote ya Tanzania.
Mambo ya kuwaachia wagombea wa CCM wapite bila kupingwa halafu mnakuja kulialia baadaye kuwa eti sheria ni mbaya na mnamwomba Magufuli abadili sheria [wakati Magufuli hatungi hizo sheria] ni utoto wa kisiasa.
Anzeni sasa kuwa groom wagombea ubunge na muweke wagombea wenye sifa kwenye kila jimbo.
Msipoweka wagombea mnakosa kabisa hata nafasi ya kushinda. Uchaguzi ulopita kuna majimbo hamkuwa na wagombea ubunge. Aibu.
Msiwaze urais tu. Bunge nalo ni la msingi.
Umeongea PointGombea CCM upite bila kupingwa
Nadhani wanatii sheria bila shuruti ya agizo la Ngosha Mkulu: Siasa ni mpaka 2020
Mkuu tayari wana wagombea ubunge wao ,orodha anayo mwenyekiti Mbowe kim Il Sung kama humlambi viatu sahau ubunge kupitia Chadema,akina Sepetunga nao sijui tayari wameshatumikishwa ,Chadema ina mwenyewe ,wengine wote ni akina pangu pakavu tia mchuziSijui hawa jamaa wana mkakati gani na uchaguzi mkuu wa 2020 hususan kwenye upande wa wabunge.
Kulialia kuhusu sheria mbaya hakutobadilisha sheria mbaya kuwa sheria nzuri.
CHADEMA kama kweli wapo serious basi wangeanza sasa kuwaandaa watu wa kugombea ubunge kwenye majimbo yote ya Tanzania.
Mambo ya kuwaachia wagombea wa CCM wapite bila kupingwa halafu mnakuja kulialia baadaye kuwa eti sheria ni mbaya na mnamwomba Magufuli abadili sheria [wakati Magufuli hatungi hizo sheria] ni utoto wa kisiasa.
Anzeni sasa kuwa groom wagombea ubunge na muweke wagombea wenye sifa kwenye kila jimbo.
Msipoweka wagombea mnakosa kabisa hata nafasi ya kushinda. Uchaguzi ulopita kuna majimbo hamkuwa na wagombea ubunge. Aibu.
Msiwaze urais tu. Bunge nalo ni la msingi.
Mi navyoona mambo yanavyokwenda, hakuna wa kuitoa CCM madarakani... labda CCM ipasuke vipande viwili.Kama ni hivyo ndo basi tena!
Imagine kama kina Mandela nao wangesalimu amri kule AK....
Akili zako za usiku kama ya young deeIdadi ya wabunge wa upinzani itakuwa kidogo 2020 ukilinganisha na 2015.