Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,496
- 119,401
Sijui hawa jamaa wana mkakati gani na uchaguzi mkuu wa 2020 hususan kwenye upande wa wabunge.
Kulialia kuhusu sheria mbaya hakutobadilisha sheria mbaya kuwa sheria nzuri.
CHADEMA kama kweli wapo serious basi wangeanza sasa kuwaandaa watu wa kugombea ubunge kwenye majimbo yote ya Tanzania.
Mambo ya kuwaachia wagombea wa CCM wapite bila kupingwa halafu mnakuja kulialia baadaye kuwa eti sheria ni mbaya na mnamwomba Magufuli abadili sheria [wakati Magufuli hatungi hizo sheria] ni utoto wa kisiasa.
Anzeni sasa kuwa groom wagombea ubunge na muweke wagombea wenye sifa kwenye kila jimbo.
Msipoweka wagombea mnakosa kabisa hata nafasi ya kushinda. Uchaguzi ulopita kuna majimbo hamkuwa na wagombea ubunge. Aibu.
Msiwaze urais tu. Bunge nalo ni la msingi.