CHADEMA na ubunge 2020

CHADEMA na ubunge 2020

Mkuu tayari wana wagombea ubunge wao ,orodha anayo mwenyekiti Mbowe kim Il Sung kama humlambi viatu sahau ubunge kupitia Chadema,akina Sepetunga nao sijui tayari wameshatumikishwa ,Chadema ina mwenyewe ,wengine wote ni akina pangu pakavu tia mchuzi
Usipayuke sana nenda kasome kwanza taratibu mpya za chama chenu cha ndio. CCM ina mwenyewe.
 
Wenyewe wanasema "Chadema wana gain kila uchaguzi." Na pia hawana "hofu they will make it."

Ninaambatanisha ushahidi toka kwa Waterloo hapa chini.
2005 CCM 80%, 2010 CCM 61%, 2015 CCM 54%, 2020 CCM .....load..
NB. Haya ni matokeo baada ya kamati za ufundi za ccm ikiwepo tume ya taifa ya uchaguzi.
 
2005 CCM 80%, 2010 CCM 61%, 2015 CCM 54%, 2020 CCM .....load..
NB. Haya ni matokeo baada ya kamati za ufundi za ccm ikiwepo tume ya taifa ya uchaguzi.
Haya, shauri yako.
 
Sijui hawa jamaa wana mkakati gani na uchaguzi mkuu wa 2020 hususan kwenye upande wa wabunge.

Kulialia kuhusu sheria mbaya hakutobadilisha sheria mbaya kuwa sheria nzuri.

CHADEMA kama kweli wapo serious basi wangeanza sasa kuwaandaa watu wa kugombea ubunge kwenye majimbo yote ya Tanzania.

Mambo ya kuwaachia wagombea wa CCM wapite bila kupingwa halafu mnakuja kulialia baadaye kuwa eti sheria ni mbaya na mnamwomba Magufuli abadili sheria [wakati Magufuli hatungi hizo sheria] ni utoto wa kisiasa.

Anzeni sasa kuwa groom wagombea ubunge na muweke wagombea wenye sifa kwenye kila jimbo.

Msipoweka wagombea mnakosa kabisa hata nafasi ya kushinda. Uchaguzi ulopita kuna majimbo hamkuwa na wagombea ubunge. Aibu.

Msiwaze urais tu. Bunge nalo ni la msingi.
Umesema vizuri kabisa. Magufuli aliteua makada kushika nafasi za ukurugenzi wa Halmashauri ukifika uchaguzi akatangazwa ambaye hajashinda wataanza kulalamika eti wasimamizi ni makada. Wakati mwingine sielewi huu upinzani. Uchaguzi ujao A kutoka upinzani anashinda anatangazwa B wa CCM sasa andamana kumjaribu hapo ndo utajua.
 
Hatutishiki maana hizi dalili zinaletwa na vijana wa Lumumba. Adui yako muombee njaa.
Chadema inachana mawimbi tusikimbiane tu hapa hiyo 2020
nakupa heko kwa huo moyo wa chuma
 
Wanasubir ikifika 2019 ndio waanze sijui sheria na wagombea Wa kuungaunga
 
Sijui hawa jamaa wana mkakati gani na uchaguzi mkuu wa 2020 hususan kwenye upande wa wabunge.

Kulialia kuhusu sheria mbaya hakutobadilisha sheria mbaya kuwa sheria nzuri.

CHADEMA kama kweli wapo serious basi wangeanza sasa kuwaandaa watu wa kugombea ubunge kwenye majimbo yote ya Tanzania.

Mambo ya kuwaachia wagombea wa CCM wapite bila kupingwa halafu mnakuja kulialia baadaye kuwa eti sheria ni mbaya na mnamwomba Magufuli abadili sheria [wakati Magufuli hatungi hizo sheria] ni utoto wa kisiasa.

Anzeni sasa kuwa groom wagombea ubunge na muweke wagombea wenye sifa kwenye kila jimbo.

Msipoweka wagombea mnakosa kabisa hata nafasi ya kushinda. Uchaguzi ulopita kuna majimbo hamkuwa na wagombea ubunge. Aibu.

Msiwaze urais tu. Bunge nalo ni la msingi.
Bunge lipi? Bunge la wengi wape. Hovyo! Wewe CHADEMA iache tu. Pilipili usoila yakuwashia nini?
 
Mi navyoona mambo yanavyokwenda, hakuna wa kuitoa CCM madarakani... labda CCM ipasuke vipande viwili.

Wamemiliki kila kitu kinachoweza kuwapa ushindi wa haki au wa wizi.

Kwa mfumo huu, CDM na ndugu zao wote, watasubiri sana kuwatoa hawa wezi madarakani.

Hitimisho zuri sana kwenye Nchi inayo jinadi kuwa ni ya kidemokrasia..
 
2005 CCM 80%, 2010 CCM 61%, 2015 CCM 54%, 2020 CCM .....load..
NB. Haya ni matokeo baada ya kamati za ufundi za ccm ikiwepo tume ya taifa ya uchaguzi.

Na Geshi ra Porisi..
 
Umesema vizuri kabisa. Magufuli aliteua makada kushika nafasi za ukurugenzi wa Halmashauri ukifika uchaguzi akatangazwa ambaye hajashinda wataanza kulalamika eti wasimamizi ni makada. Wakati mwingine sielewi huu upinzani. Uchaguzi ujao A kutoka upinzani anashinda anatangazwa B wa CCM sasa andamana kumjaribu hapo ndo utajua.
Hii ni challenge na wapinzani wasipodai katiba mpya 2020 kuna uwezekano tusipate hta diwani mmoja nchi nzima
 
Mambo kama haya CDM hawapendi kuambiwa, hauna ofisi za kueleweka na resources zinatumika ovyo kununuliwa Tshirt za 120,000/Tsh unategemea nini?
Unataka kuingia Ikulu huku ukiwa na wabunge 40, ni wazi hata ikitokea miujiza ukaingia Ikulu, waziri mkuu na Spika bado watatoka CCM sababu ndio watakuwa na wabunge wengi bungeni, na wao ndio wataamua wamuondoe lini Rais sababu uwezo na nguvu hizo wanazo.
Mnazunguka sana shida ni katiba kwa 2015 tulikuwa na uwezo kupata wabunge wengi sana hta hao 45 walipita kwa nguvu ya umma tu tusingeambulia hata mmoja
 
Mzee Mwanakijiji hawa watu hawasaidiki tena kwa sasa, Majimbo mengi walishinda kutokana na kura za chuki dhidi ya CCM na si ubora wa wagombea wao, ila upepo umeshabadilika, EL alikuwa na pesa ndefu ya kufanya hamasa na amsha amsha, kwa 2020 hakuna mfanyabiashara atakayeweka pesa yake kwa EL au CDM sababu ni wazi hawana uwezo tena wa kumtoa Magu.
Shida rasimu ya warioba na ilizuiwa na magamba ssa mlitaka wapinzani wafanyeje??? Washikw mitutu??? Hata kma tutamsimaisha magufuli wenu kma mgombea wa UKAWA 2020 hawezi shinda nakuhakikishia!!! Shida ya upinzani sio sera wala ofisi shida ni TUME ....... mana hta 2015 tulikuwa na kila kitu cha kutuwezesha kushinda ila tukaanguka sembuse 2020?? Shida sio ofisi sijui nini mambo yote rasimu ya warioba ambayo ilizuiwa na maccm wenzio
 
Ni mara nyingi sana Chadema wamekuwa wanapewa ushauri wa kuimarisha majimbo ya uchaguzi kama vile kuwa na ofisi za maana kwenye kata, tarafa, wilaya na mikoa, hata na makao makuu yenyewe.

Kukiwa na ofisi za maana na zikasimamiwa na watu makini inakuwa ni rahisi kazi za chama kuendelea kufanyika hata kama siyo vipindi vya uchaguzi, na ni katika harakati za namna hii unaweza ukaspoti potentials kwenye nafasi kama wenyeviti wa vijiji, madiwani na wabunge. Siyo kusubiria kina Bulaya, Lembeli na CCM washindwe ndo wahamie kugombea kupitia CDM.

Na hili likifanyika ki-ufasaha ni rahisi kuongeza idadi kubwa ya wabunge ambao wanaweza kuleta impact hata kwenye kuzipitisha hizo sheria.

Mpaka tutakapokuwa na idadi ya wabunge pinzani yenye kumiliki kura bungeni ndipo tutaweza kuufikiria Urais, maana kwa hii katiba ambayo refa ni wa CCM, kamisaa na vibendera ni CCM, uwanja ni wa CCM hatuwezi kushinda mechi ya fainali.
Hayawezekanu bila katiba mpya...... hta tusimamishe malaika huwezi fikisha wabunge 100 ccm anakuangalia tu!!! Tusidanganyane hapa....... kelele ziwe tume huru na rasimu ya warioba ila ofisi sijui wagombea hata tukiwapata bado hawawezi tangazwa mshindi
 
..kwa maoni yako unadhani ni fikra/jambo gani ambalo CDM wanatakiwa kupambana nalo sasa hivi?

Hapo nina mawazo yangu; lakini nawaachia wao kujibu hasa. Nadhani ni fikra zinazotakiwa kuwa forward looking.

..my observation ni kwamba Mzee haamini ktk demokrasia ya vyama vingi. Haamini ktk uhuru wa mawazo. Hapendi uhuru wa wananchi kukusanyika freely au kuji express kwa njia ya maandamano.

Chukulia kuwa hilo ni kweli; kama upinzani wanaitikiaje? Hapa ndipo ilipo changamoto.
 
Upinzani wa Tanazania nao inabidi wawe creative aisee. La sivyo watakuwa ni wapinzani daima na hawatokuja kushika madaraka...iwe bungeni au ikulu.

You nailed it! its about creativity. Angalia wanavyofanya Bungeni na reaction yao. Yaani vitu vile vile vinawavuruga kirahisi, majibizano yale yale na hujasikia wabunge wa upinzani wanafanya nini kwenye majimbo yao ukiondoa occasional misaada ya ambulances, vitu abmavyo hata wabunge wa CCM huwa wanavifanya.
 
Shida rasimu ya warioba na ilizuiwa na magamba ssa mlitaka wapinzani wafanyeje??? Washikw mitutu??? Hata kma tutamsimaisha magufuli wenu kma mgombea wa UKAWA 2020 hawezi shinda nakuhakikishia!!! Shida ya upinzani sio sera wala ofisi shida ni TUME ....... mana hta 2015 tulikuwa na kila kitu cha kutuwezesha kushinda ila tukaanguka sembuse 2020?? Shida sio ofisi sijui nini mambo yote rasimu ya warioba ambayo ilizuiwa na maccm wenzio
Rasimu ya Warioba ilitokana na mchakato haramu ulioanzishwa ndani ya CCM. Ilikuwaje wapinzani walidandia kitu amabcho kilikuwa wazi - kwa baadhi yetu - kuwa hakiendi popote?
 
Rasimu ya Warioba ilitokana na mchakato haramu ulioanzishwa ndani ya CCM. Ilikuwaje wapinzani walidandia kitu amabcho kilikuwa wazi - kwa baadhi yetu - kuwa hakiendi popote?
Mkuu upinzani ulidai katiba 2010 na kikwete hakuwa ameweka kwenye ilani ya ccm!! Ssa huo mchakato vp ulikuwa wa ccm?? Mbona tume ya warioba ilikuwa imejaa wazalendo wa akina kabudi polepole (kabla ya uteuzi) baregu ramadhan n.k na walifanya kazi ya kukusanya maoni ya wananchi ssa ulitaka wapinzani wasiunge mkono wakato tume ilikuwa huru kabisa!!!!

Mkuu shida ni hawa ma-ccm yanafanya kila nia usiku na mchana upinzani usifanikiwe. Ndio maana nikasema sahvi katiba mpya kwanza ifumue limfumo lao la chama dola ndio tuanze kufikiria hta kufikisha wabunge 150 wa majimboni maana hayo unayosema 2015 yalikuwepo yote we had money,people,capacity,resources,support and numbers kwa ufupi we wea perfect to go 100% ila mbona bado ccm ilitangazwa????

Mchawi sio chadema au sera cjui mgombea urais MCHAWI NI KATIBA...... wote tudai hilo sio ofisi wala mgombea urais wala wabunge
 
Back
Top Bottom