CHADEMA na ubunge 2020

CHADEMA na ubunge 2020

Jimbo la Buyungu linaloshikiliwa na CDM Kakonko, kigoma lazima linarudi CCM 2020

Msakila KABENDE yuko sawa!!!
 
Ni mara nyingi sana Chadema wamekuwa wanapewa ushauri wa kuimarisha majimbo ya uchaguzi kama vile kuwa na ofisi za maana kwenye kata, tarafa, wilaya na mikoa, hata na makao makuu yenyewe.

Kukiwa na ofisi za maana na zikasimamiwa na watu makini inakuwa ni rahisi kazi za chama kuendelea kufanyika hata kama siyo vipindi vya uchaguzi, na ni katika harakati za namna hii unaweza ukaspoti potentials kwenye nafasi kama wenyeviti wa vijiji, madiwani na wabunge. Siyo kusubiria kina Bulaya, Lembeli na CCM washindwe ndo wahamie kugombea kupitia CDM.

Na hili likifanyika ki-ufasaha ni rahisi kuongeza idadi kubwa ya wabunge ambao wanaweza kuleta impact hata kwenye kuzipitisha hizo sheria.

Mpaka tutakapokuwa na idadi ya wabunge pinzani yenye kumiliki kura bungeni ndipo tutaweza kuufikiria Urais, maana kwa hii katiba ambayo refa ni wa CCM, kamisaa na vibendera ni CCM, uwanja ni wa CCM hatuwezi kushinda mechi ya fainali.
Hizi ofisi za maana za kata zinajengwa na nini, hela itatoka wapi?
Hauitaji majengo makubwa ya Matofali kujenga chama, tena kipindi hichi cha teknologia ya Habari na mawasiliano. Ofisi ndogo sana Wilayani zinatosha.
Ni vigumu CDM kushika dola, sababu kuu ni wa TZ kutojiamini. Hata ukimkukimkuta Prof nae hajiamini anaona bila chama tawala hawezi kuishi, na kweli akitoka chama tawala anakufa njaa. Watu wengi sana ambao wamesoma wanaishi kwa kutegemea chama tawala.
Katika mfumo wetu wa elimu tunafundishwa kwa kutishwa, tunafundishwa kutii na tunafundishwa kutokuhoji vitu. Hii inawaondolea watanzania uthubutu na kujiamini. Kama haujiamini na hauna uthubutu basi automatically unakuwa hauna fighting spirit. Kwa ajili hatuna uthubutu na hatujiamini, hii inapelekea kufanya vibaya kwenye siasa, biashara, michezo, kwenye kazi za local na kimataifa and many more. Watu ambao utawaona credible hawajitokezi wanaogoma watapoteza Mkate wao. Hii inapelekea kuchukua watu waliotoka ccm.
Kutokana na mindset hii ya watanzania CDM wamejitahidi sana kufika hapo walipo. Ha
 
Kwa hiyo hapo panatosha siyo?
 
Kwa hiyo hapo panatosha siyo?
Hapatoshi, cdm needs to work even harder.
Embu fikiria mtu amekutawala for more than 55 years na Maendeleo kiduchu. Kama uduni wa maisha haukushawishi kupigia kuna chama kingine, what else would? Embu fikiria yanayotokea Leo kwa mwenyekiti wa act, ni chamgamoto Kubwa sana..... inabidi wapambane na Unafiki all the time.
 
Back
Top Bottom