the boss13
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 422
- 215
kubwa jinga toto la nje
Sihusiki na hisia zako, huu ndio ukweli Chama makini kingejadili kuwatumikia watu badala ya kupoteza siku nzima mnajadili jambo lisilowezekana
Nape nawe kweli unamuchia mwigulu amalize chama? Msipo angalia mwigulu atawamaliza
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!
Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!
Sasa mkuu Nape, ulikuwa wapi kuongea wakati wa uchaguzi wa huyo meya wako! Uliona kanuni zikikiukwa na ukawa kimya! Mnaharibu taifa letu kwa mambo yenu ya hovyo.leo hii unazijua kanuni! Siku itafika ambapo raia wataziweka hizo kanuni zenu pembeni
Hivi Nape ndugu yangu mmekosa sera ya kuwaambia wananchi? Maana kila siku mnajibu hoja na mitazamo ya CHADEMA kweli CCM imekosa dereva mmebaki kama wafamaji yaani mnasubiri CDM waseme kitu nyie mjibu. Anzisheni hoja acheni kujidhalilisha hata kama ukweli ni kuwa mnakufa lakini jitaidini kujikakamua.Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!
Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!
Tatizo ni dogo sana umechanganya uongo na ukweli pamoja ndo maana hauliki! Ni kweli kuwa mie muumini wa uimara wa upinzani kuisaidia CCM kufanya vizuri zaidi.Na imani hii siisemei chumbani naisema hadharani. Mengine ni hisia zako ambazo hazinihusu!
WE BWABWAJA SAANA LOWASA ANAKUJA KUIONGOZA CCM FUFUA KADI YAKO YA CCJ WACHA LONGOLONGO HILO TUMBO LA MIMBA ZA KULA SANA INABIDI UHAME MJI KWI KWI KWI
Msimlaumu sana jamani masai anamchanganya.