Mimi nimekuelewa sana le mutuz kama chadema/ukawa wangesimama kuuliza kutokana na kifungu fulani,hukuruhusiwa kugombea uspika,na kutokana na muda mfupi wa uanachama wako huruhusiwi kugombea unaibu,sasa tupe kifungu kilichokuleta hapa,hapo ndo lingekuwa swali
Jamaa wanakurupuka sana.
Wanafata ushabiki wa hoja na wanaacha vitu vya muhimu.
Esther Matiko kapoteza point za muhimu sana katika swali lake.
Na ile zomea zomea iliwafanya ccm washikamane zaidi nyuma ya mgombea wao.
Badala ya kuwapima wagombea kwa uwezo wao binafsi wakajukuta wamejipiga ukuta wa zege la kambi za vyama.