CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

Mbona POVU limekutoka mtu hawezi hata kujielezea shwain
Raisi wetu hapa kaingilia uhuru wa muhimili mmoja nao ni bunge no separation of POWER IN TANZANIA
TULIA KAMA CCM WANGELIKUA WANATUMIA AKILI wasingempa kura ila CCM NI MFU WANOTEMBEA HAWAFIKIRI TENA AKILI ZIMEWARUKA

NIJE KWAKO WE MCHAMBA WIMBA KATIKA SHERIA TUNA AMINI SANA KATIKA MAANDISHI KULIKO VITU VYA KUKARIRI na hakuna bingwa wa sheria mpaka mwisho wa dunia
Tusiandikie MATE
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

Unaelewa maana ya lile swali? Au haukujua kwa nini lilikua gumu kujibu? Dah Tanzania hii wajinga bado wapo wengi sana ebu jifikirie upya alafu rudia kuandika upya unatia kichefuchefu
 
Mtu akikwambia una akili za UKAWA huyo ni wakumfunga na kumpeleka police

Uwe unauliza we mburulaz
JUSSA ISMAILI ni muwakilishi wa mji mkongwe na pia jussa hajawahi kuwa mbunge wa bunge la jamuhuri
Na kuhusu bunge la katiba alikuwepo kisheria kwa maana ya nafasi yake ya uwakilishi ktk baraza la wawakilishi
Vijana tatizo mmeijua siasa kipindi cha uchaguzi
 
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

Hakuna mtu yeyote anayemuogopa Dr.Tulia.Maswali Yale yalilenga kumuonyesha yeye mwenyewe kama Mwanasheria amevunja Katiba na sheria za nchi.Anajua kwa wadhifa wake hakutakuwa kugombea kwa kupitia chama chochote.

Na ndiyo maana wanasheria walipoona qameshachemka haraka haraka walimwambia Mkulu atengue uteuzi wake.Ni bora kama angebaki chuo kikuu akagombe nafasi hiyo.

Kama Mwanasheria ameshajiwekea DOA.kwamba hataweza kutenda haki kwa wapinzani
 
Unaelewa maana ya lile swali? Au haukujua kwa nini lilikua gumu kujibu? Dah Tanzania hii wajinga bado wapo wengi sana ebu jifikirie upya alafu rudia kuandika upya unatia kichefuchefu

- Kwa mfano Lowassa aliingia lini Chadema? lets be serious japo kidogo tu!

le Mutuz
 
Hamy D pili yake ni kwamba hakuna MTU yeyote ambaye alifikiria kwamba Magdalena Sakaya atashinda nafasi ile sababu Upinzani wako wachache kulinganisha na CCM. Kama CCM wangekuwa wazalendo qangeweza kumchukua Sakaya kwa uwezo wake na si kwa sababi ya chama chake.

Hivyo basi utakuwa unadanganya umma ukisema Ukawa wameshindwa na CCM wameshinda na kuchukua nafasi zote za unaibu na Uspika.Hata uenyeviti watachukua CCM.

Kudhani kwetu upinzani ni uadui unatupeleka pabaya sana.
 
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

Sijaishuhudia hii, keep your words.
 
Duh kukrem ni usomi?
Elimu.elimu .elimu
 
Kila uchao ndio tunavyoendelea kujuana reasoning capacity tulizo nazo..
 
Kaka, kwenye mambo yanayohitaji uelewa uwe unakaa mbali. Unajidhalilisha na kujianika kama mwenye umri mkubwa lakini akili ndogo. Pale, paliulizwa suala la mgongano wa kimaslahi kwa maana ya kuwa mtumishi wa serikali kwa ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu hakutarajiwa kujihusisha na siasa kwakuwa alikuwa mtumishi wa wote.

Angekuwa na access na jf angeku block saa mingii saanaa huyo jitu zima hovyoo
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

Maajabu yakwapi sasa unachanganya mtumishi mwandamizi wa serikari na mwanachama wa chama cha siasa
 
- Kwa mfano hasa lusibde ni nini hasa mita 200 za kibanda cha kura or what?? hahahahahahahaha

le Mutuz

kuna mtu humu kasema wewe ni mkubwa kuliko mama yako,mwingine kasema umesoma darasa moja na mizengo pinda...you are too damn old grandpa...act your old age.
 
- hahahahahahha Eti Dunia aliingia lini Chadema? na Lini akawa Makamu wa Lowassa? hahahahahahahah

le Mutuz
 
Lowassa alikuwa mfanyakazi serikalini au alikuwa mwanasiasa aka Cross border tu.

Kwa.nafasi yake hakutakuwa kujihusisha na siasa.Na anajua fika hakutakuwa kujihusisha na siasa.

Kuna mawili ameombwa agombee nafasi hizo na mteuaji wa nafasi nyeti na si kwamba ametaka mwenyewe. Ndiyo maana walipoona wanavunja Sheria haraka wakatengua nafasi yake na kumpa ubunge.

Dr.Tulia angegombea kwa tiketi ya chama kingine cha siasa tofauti na CCM sidhani kama bado angekuwepo huru hilo mnalijua ni ukweli unauma kusikiliza masikioni lakini akubali kuupokea
 
Back
Top Bottom