CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

WILLAM JOHN MALECELA..
Hapa umeonyesha kiwango chako cha IQ..kilivyo cha chini!
.
.
UNAPATA WAPI akili ZA KUFANANISHA MTUMISHI WA UMMA (DAG) na RAIA WA KAWAIDA ASIYE MTUMISHI WA UMMA(DUNI &SIR.LOWASSA).?

UNATUMIA IQ IPI kuafiki kushindwa kwa TULIA kujibu maswali ya wabunge na kuelezea vifungu vya hivyohovyo alivyo jitungia yeye kwa head?

SWALI
*ULISHAWAHI KUWA MTUMISHI WA UMMA...



to be continued...
 
- Owkey kwa mfano nimefungua thread in 1 hour tayari Page 9 na viewers 10,000 inasema nini kuhusu The King Of All Bongo Social Media Network? kuwa serious sicheki sasa U know

le Mutuz
Hiki cheo cha King of All Bongo Social Media kilishachukuliwa na Yericko Nyerere. Waliandika mpaka kwenye magazeti wakati alipofikishwa mahakamani.
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!


Le Mutuz Nation

Strech your brain a little bit more. Usifikiri kwa kutumia kitambi ndugu utadhalilika mbele ya hadhira ya watu.
 
Ila pale wapinzani tumechemka kwa kuanza kumpigia kelele, kaulizwa swali lenye mtiririko mrefu na atajibu husika lilikuwa linakuja kwenye mtitiro ulioendana na swali.

acha unafiki wewe.....wee ni mpinzani tangu lini??
 
- Dr. Tulia ni PhD wewe wachana naye kabisa huyo MWanasheria wako anashindwa mahakamani na Zitto tu itakuwa PhD, hahahahahaha Elimu za kuunga unga kusoma mtumzima Dr. Tulia ni kijana mdogo sana hahahaha

le Mutuz
PINGA KWA HOJA WE MZEE MWENZETU ACHA KUSHINDANISHA VIWANGO VYA ELIMU VYA WENZIO!
UNGEKUWA NA BUSARA UNGEKEMEA UZEMBE WA iq yako maana ina kufanya uanzishe threads za kipuuzi san...
 
Strech your brain a little bit more. Usifikiri kwa kutumia kitambi ndugu utadhalilika mbele ya hadhira ya watu.

- Ok kwa mfano Lowassa alijiunga lini na Chadema na lini akawa mgombea urais wao? hahahahahahahah

le Mutuz
 
- Umeona walivyo panic hahahahahahaha wananishangaza sana hivi hawa ni watu gani wasioweza kufikiri, yaani wanajitekenya na kujicheka wenyewe hahahahahahaha

le Mutuz

Sasa hapa kacheka nani km sio wewe ndio maana wanakuita kubwa jinga a.k.a nyuki wa mashine
 
PINGA KWA HOJA WE MZEE MWENZETU ACHA KUSHINDANISHA VIWANGO VYA ELIMU VYA WENZIO!
UNGEKUWA NA BUSARA UNGEKEMEA UZEMBE WA iq yako maana ina kufanya uanzishe threads za kipuuzi san...

hahahahahahha genous umekuja kujadili thread ya kipuuuzi? mweh! hahahahahahah eti by the way lets be serious Lowassa aliingia lini Chadema na lini akawa Mgombea urais tuwe serious kidogo tu hahahahahahahahha

le Mutuz
 
kumfananisha lissu na dr tulia ni kutukana taaluma nzima ya sheria. Lissu ni kilaza tu ambae hata masters hana...ana gpa ya 2.9....dr tulia amehitimu chuo na gpa ya 4.6. Hii ndio first class kama umewahi kusikia. Wakati dr tulia ni mbobezi wa mambo ya sheria kwa kuwa ana phd. Huyo lissu ana kadegree kamoja tu....alikuwa hapati dili za sheria ndio maana kakimbilia siasa huko ukawa. Wakati dr tulia amepiga dili nyingi na kesi rukuki zikiwemo za serikali na ameshinda kesi nyingi sana. Ya mwisho ni ile aliyomgaragaza kibatala kuhusu mita 200.
akili ndogo siku zote huwa mna fananisha kiwango cha degree ba uwezo wa mtu kutafsiri sheria!
 
Kumfananisha Lissu na Dr Tulia ni kutukana taaluma nzima ya sheria. Lissu ni kilaza tu ambae hata Masters hana...ana GPA ya 2.9....Dr Tulia amehitimu chuo na GPA ya 4.6. Hii ndio first class kama umewahi kusikia. Wakati Dr Tulia ni mbobezi wa mambo ya sheria kwa kuwa ana PhD. Huyo Lissu ana kadegree kamoja tu....alikuwa hapati dili za sheria ndio maana kakimbilia siasa huko UKAWA. Wakati Dr Tulia amepiga dili nyingi na kesi rukuki zikiwemo za serikali na ameshinda kesi nyingi sana. Ya mwisho ni ile aliyomgaragaza Kibatala kuhusu mita 200.
AKILI NDOGO SIKU ZOTE HUWA MNA FANANISHA KIWANGO CHA DEGREE NA UWEZO WA MTU KUTAFSIRI SHERIA,
akili kubwa huwa tunampima mtu kwa hoja zake na uwezo wq kutafsiri sheria.
 
Huyu mama anatosha wajiulize viti maalumu waliochukuliwa ccm walikuwa na kadi no gapi?
 
- hahahahahaha mnanipuuzia na huku wamekutuma kuja mbio kujivua nguo, eti Duni aliingia lini Chadema na je bado ni Mwanachama wa Chadema mpaka leo? hahahahahahahaha

le Mutuz

ukishajua itakusaidia nini?wewe Mungu amekupa mwili mkubwa amekunyima akili .
 
Back
Top Bottom