tatizo hawa wanaachishwa kazi bila kupewa stahiki zao halafu suala la utomvu wa nidhamu ni kutokana na matatizo hayo ya kiafyaNi kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha walishaachishwa kazi. Karibu wote waliachishwa kazi baada ya kupata matatizo ya afya wao wanadai kitaalamu ni batlle confusion, na utovu wa nidhamu.
Wafuasi wa Cdm na wanachama ndio Chadema yenyewe.Weka ushahidi wa Chadema kulihusisha JWTZ na kesi ya Mbowe kinyume cha hivyo moderators futeni hii takataka na pigeni ban huyu mzushi. Uzushi kama huu ndiyo unakaribisha malumbano yanayoshusha hadhi ya JF.
FIKIRI KWANZA KABLA YA KUWEKA POST, JF of GT's SI YA WATOTO WA SEKONDARI.Hata kama kusaka huruma ili mwenyekiti wa chama chenu aachiwe sio kwa namna hii sasa...
Kwa vile kuna wanachama mashoga ndani ya CCM ndiyo kusema CCM ni Chama Cha Mashoga?Wafuasi wa Cdm na wanachama ndio Chadema yenyewe.
Acha upuuzi?Kwa vile kuna wanachama mashoga ndani ya CCM ndiyo kusema CCM ni Chama Cha Mashoga?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mpuuzi ni wewe na hao wanaokulipa kupost upumbavu wako hapa.Acha upuuzi?
Mkuu wewe taaluma yako nini?Kimsingi mpaka sasa kuna ukweli kwamba Mbowe alikuwa na nia ovu ya kupanga na kufanya uharifu kwa kutumia ex-commandos. Inaoneka mawakili wake wanajisahau kwa kutotilia shaka nia hii badala yake kuonesha watuhumiwa "waliteswa" baada ya kukamatwa!
Huyo kiazi taaluma yake ni hiiMkuu wewe taaluma yako nini?