CHADEMA msimamo wenu kwa mashoga ni upi?

Kila mtu apambane na hali yake.yan wew ukafanye fujo kambi ya jeshi AF ukimbilie kwangu namimi nikubali uingie ndan,malizanane hukohuko.
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
Wafuasi wa kijani katika ubora wao,lumumba imejaa wanaume wanaopakatwa
tapatalk_1541403796596.jpg
 
CDM Ni walebelari siku nyingi. Wait Ni free mind for free word. Wana udau na walebelari wa kijerumani. Mbona hii habari sio ngeni.
Chama chenu lumumba kimejaza wangese,uvccm nayo ndio imejaza wangese kibao ujazo wa behewa 2 za treni
tapatalk_1541403809084-1.jpg
 
Nasema hivi, hili suala lina hitaji kupingwa kwa akili sana maana hata mimi nachukizwa mno na tabia hii ovu, kama kikwete alivyotumia lugha murua kuwaambia wazungu na ilitakiwa nao hawa watumie lugha ile ile.
Lifuatalo natoa kama wazo namna ya ku deal na hili tatizo kama wameamua kupambana nalo,ifanyike kampeni ya chini chin huku kwenye serikali za mitaa ingeanza operation ya Wana jamii kupambana na hawa mashoga na serikali ijifanye haijui lolote na ikataze kwa kuzuga, na jamii isemage hawa mashoga wanafanya uovu hadharani sasa watoto wetu unategemea wanajifunza nini? Sisi kama jamii hatupo tayari, hapo serikali itakuwa imenawa mikono.
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
Msimamo wa serikali ni upi?
 
Serikali ya ccm inatetea mashoga kupitia Wizara ya Mambo ya Nje. Kuanzia sasa wale wa Lumumba ukishatokwa mapovuuuu huku, unaenda kuchukua buku7 yako Lumumba lakini kabla ya kuchukua unatekeleza haki ya jinsia moja ndio usempe.
 
Serikali ya ccm iliyopo madarakani ndio ungeiuliza msimamo wake wa mashoga, chadema wakishika dola ndio mtajua wana msimamo gani.
 
Mi nadhan hapa ungeangalia msimamo wako na familia wako.ndo unao matter. Otherwise fuata wa waziri mahiga kama alivyosema kuwa ni wa serikali

Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
 
CHADEMA haijawahi kushika dola. Hii mikataba yenye string attachments zinazotutaka turasimishe ushoga imesainiwa na wale mabwana wanaovaa nguo za kijani. Ushoga ni jambo ambalo halikubaliki kulingana na tamaduni zetu za kiafrika na huwezi kuwaingiza CHADEMA kwenye hii lawama kwamba na wao wanasapoti ushoga. Haya mambo tumejikaanga wenyewe na serikali yetu ya CCM afu leo hii tunajifanya kushtuka kuwa what is happening! Huwezi kusema CHADEMA wana msimamo gani kuhusu hizi mambo wakati hawajakamata dola na hawajawahi kukamata dola.
 
Japo mnaweza mkawa mnawadharau CHADEMA labda kutokana na kuwa ni Chama tu cha Upinzani na kwa bahati mbaya kwa sasa kinapata ' misukosuko ' ya hapa na pale ya Kisiasa ila binafsi najua kuwa kama kuna Chama ambacho kina Watu ' very smart upstairs ' ambao pengine unaweza ukawahesabu na hata kuwapata wachache ndani ya Chama cha Mapinduzi ( CCM ) basi ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) Na sifa yao kubwa ni kwamba huwa ' hawakurupuki ' bali hulikabili jambo kwa Kutulia na kuweka umakini mkubwa. Nawapongeza sana kwa hilo japo Mimi ni Mtani wao wa Kisiasa na nakiri kwamba bila ' Uimara ' wa CHADEMA katika Siasa zake basi huenda leo hii tusingekuwa na CCM yetu hii inayojitahidi kuwa Imara baada ya kuwa katika Kipindi cha ' Makandokando ' yake mengi kwa miaka kadhaa iliyopita.

Umenikumbusha msemo wa Kifaransa" toute la verite n'est pas bonne a dire" nikirejea kwenye mada; nadhani Mh.Makonda amerigharimu taifa kwa kitendo chake kwenda kwenye runinga na kutangaza vita dhidi ya mashoga! Tayari USA wamewatahadharisha raia wake wanao taka kwenda Tz au wano ishi Tz. Ukiangalia media zote za kimataifa zimelichukuliya kwa uzito wako hili swara. Mwisho na cha kushangaza ni jinsi serikali ilivo kuwa kimya hadi maji yamefika shingoni ndipo wanajalipu kupiga mbizi!
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
Msimamo wa serikali ni upi?
 
cha
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
Chadema ipi unayoizungumzia wewe?
 
Chadema kama chama kikuu cha upinzani wananchi wangependa kujua msimamo wenu kuhusu swala la Ushoga na mashoga. Mpaka sasa tumeshasikia misimamo binafsi ya Makonda na Dr Kigwangalla hali kadhalika ule wa serikali.
Je, chama mbadala mna msimamo wowote tofauti?
Wewe punguani Bila kutaja CHADEMA hupati usingizi? Mbona hujataja msimamo wa CCM au UDP?
 
wakati wa Mo kutekwa waliitisha mkutano wa waandishi wa habari kupitia waziri kivuli wa mambo ya ndani ila hili wamekaa kimya marekani misimamo ya vyama kama republican na democratic inajulikana ila hili hawawezi kulitolea ufafanuzi watawaachia wapambe wao wakina fatma karume watoe msimamo

huoni aibu mnahangaika na ishu za mashoga wakati nchi ipo pabaya.tell your chairman that WE NEED THE NEW CONSTITUTION.
 
Ondoa uwongo wako hapa walahi
Chadema kutwa kukurupuka katika matukio, aaahh salaleeeh, vichwa uwiii!

Bado hujatajwa tu katika Kikosi cha ' Mashoga ' wanaotakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda?
 
Back
Top Bottom