CHADEMA mnampuuza Mbowe!

CHADEMA mnampuuza Mbowe!

Ben mbona unatokwa povu kijana?

Relax usije ukadondosha sumu iliyoko mfukoni.

Ushauri sio lazima uufuate ila angalieni msije mkamuuzi tajiri yenu mtalala njaa

Mawazo ya mtu huonyesha tabia yake....mawazo yako haya yanaonyesha wewe ni mtu wa kujipendekeza,mnafiki na unaeweza hata kuwekwa unyumba!
 
Kukujibu Ben nikujidhalilisha! Huna hadhi hiyo!

-Una audacity ipi ya kutoa ushauri kwa CHADEMA wewe?

-Kama CHADEMA kitaathirika kwa namna yoyote kwa mujibu wa mtazamo ulioueleza si ndiyo utafurahi zaidi?Next time ukiandika hapa uwe unafanya hivyo kama msomi.

-Political state ya CHADEMA kama chama cha siasa unaweza vipi kuitofautisha na political activism?Unaweza vipi kui-distinguish kwa kutumia ITIKADI ya chama hiki?

-Next time usiwe unatutia aibu vijana wenzako kwa kuandika andika tu ilimradi uonekane active.

-Hizo siasa za kudhuru watu ni zipi.Ni jambo la ajabu kabisa badala ya kunadi itikadi na sera za chama chako wewe unanadi udaku na majungu.Ndiyo siasa mpya zilizoletwa na vijana huko kwenye chama chako?Usiharibu Taswira ya vijana wa taifa hili kwa uzembe na udhaifu unaouonyesha katika kuitumikia dhamana uliyopewa na chama chako

-Umeachana na mradi wa kuzunguka kumtukana yule waziri mkuu aliyejiuzulu sasa unajaribu kutafuta umaarufu wa bei rahisi kupitia CHADEMA.Najua mfumo wa majimbo ni kitanzi kwenu,mna kazi ngumu sana sana.Get prepared!
 
Tatueni kero za wananchi achaneni na CHADEMA, kila kukicha mwaja na single mpya. Acha utoto Nape ushakuwa mtu mzima, otherwise you will always be a big fat baby!
 
Kukujibu Ben nikujidhalilisha! Huna hadhi hiyo!

Huna cha kumjibu Kamanda Ben, ewe kiongozi wa Stop Ben Saanane(SBS).........watu wiki mzima tunajadili mambo ya bajeti na ripoti za CAG hakuna michango yako, then unatuletea uzi wa kijinga kama huu.
 
Kwa kujua kuwa ulicho-post ni pumba umejiwahi kutaka wachangiaji kupunguza povu na matusi! Hivi NAPE, huwa zinakutosha kweli?!
Hebu tuambie ile KAULI MBIU YA KUMVUA GAMBA CHENGE NA LOWASSA uliisitisha siyo? Ni baada ya kugundua kwamba hao ndiyo CCM au? Nakukumbuka wakati umejifutua kushupalia jengo la UVCCM pale FIRE, ulipozwa kwa ukuu wa wilaya Masasi ukakata domo!
Ulivyofanywa vuvuz,leo unabweka kila kona japo hufanyi tathimini! Kuhusu suala la Mbowe,yeye ni mwananchama wa CHADEMA akiwa na kadi moja kama wengine! Kauli yake siyo ya mwisho. Na huo ni USHAHIDI kwa mavuvuzela waliokuwa wakiamini kwamaba anachokiamua MBOWE na DR.SLAA ndicho kinachofanyika kwamba SIVYO!
Wakati mnasema CHADEMA inaongozwa kidikteta kwa kauli ya Mwenyekiti,LEO unakubali kwamba mwenyekiti wa CHADEMA amekataliwa na wale ULIOWAITA CHADEMA! Kwa hiyo hilo uliweke kwenye fuvu kwamba CHADEMA si MBOWE na MBOWE si CHADEMA ila uwepo wa MBOWE na wanachama wengine ni mwendelezo wa kuwepo kwa CHADEMA!
Mwisho ukumbuke kwamba POLISI wa nchi hii WAMEPUUZA KAULI YA AMIRI JESHI MKUU YA KUWATAKA KUTOTUMIKA KUIBEBA CCM!
Sasa kama mwajiriwa amekiuka agizo la mwajiri na mwajiri hafanyi lolote huoni taabu kwa hilo?!
Kama CCM wamekiuka wito wa mwenyekiti wao kwamba waache kulitegemea jeshi la Polisi lakini ndo kwanza huoni CCM haina mwenyekiti?!
Wakati mwingine nina wasiwasi na mwalimu wako wa FALSAFA-kama kweli ulisoma!
 
Kukujibu Ben nikujidhalilisha! Huna hadhi hiyo!
Mkuu achana na Ben... Tuelimishe sisi ambao tukisikia nyimbo za kizalendo alizozitunga na kuuziimba Brigedia Moses Mnauye tunajihisi amani inatawala ndani ya mioyo yetu! Hivi sasa hivi CCM inafuata sera zipi? Tunafuata Itikadi Ipi?...Mapato na Matumizi ya Ile Kampuni yetu ya CCM ambayo wanasema inahusika na uwindaji na usafirishaji wa vipusa unaweza kutupatia mchanganuo wake?...

Mkuu usipoteze muda kabisa kubishana na hawa watu wenye kuvaa mavazi kama za akina Che Guevara! Dunia imebadilika sasa ni mwendo wa kula bata na kumiliki kila aina ya magari na majumba mazuri mazuri! Uswis umeweka kiasi gani bro? changamka maana hawakawii kukutumia kama Condom hawa watu wa mjini Mkuu...Back kwenye mada... Baelezee ba kuelewe kuwa wewe huwa unaeneza sera zipi? Ilani zitatekelezwa vipi? ni nini msimamo wa CCM kuhusiana na Mirahaba ya 1.2% kwenye madini yetu. Lini tatizo la maji, foleni litaisha jijini Dar es Salaam... Kidumu Chama Chamapunguani oops Sos sorry bro najua hata wewe huwa kunawakati unajisahau kama mimi na kuanza kuinanga CCM!!!! Kidumu Chama Chamapinduzi...
 
Kukujibu Ben nikujidhalilisha! Huna hadhi hiyo!

-What kind of reasoning is this?Inferiority complex,Unasema hujibu wakati huo huo umeninukuu bila kujenga hoja.Ofcourse huna hadhi wala uwezo wa kunijibu na usitafute visingizio kuficha uwezo wako mdogo,Jana ulikuja na ID fake hapa kutusi watu.Hapa sio facebook kaka.grow up.
 
Ahahahahah..Nape anaipenda sana Chadema.Na ile staili yake ya kuongea kama muinjilisti akiwa katibu mwenezi wa Chadema.Safi sana.
 
So zito ka kwambia umuombee radhi,we fanya kazi yako kwenye chama chako cha mafisadi huko na wenzio wakima kinana wang'oa pembe na kucha
-What kind of reasoning is this?Inferiority complex,Unasema hujibu wakati huo huo umeninukuu bila kujenga hoja.Ofcourse huna hadhi wala uwezo wa kunijibu na usitafute visingizio kuficha uwezo wako mdogo,Jana ulikuja na ID fake hapa kutusi watu.Hapa sio facebook kaka.grow up.
 
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.

Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.

Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.

MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.

Nnepi Nauye,

Huna hoja hapa. Hizi lugha za kuwa CHADEMA ni chama cha wana HARAKATI mbona zimezoeleka kwenye masikio ya Watanzania?Hizi ni lugha za chama Twawala, chama cha Mafisadi na Magaidi-CCM kinachoteka,kuumiza na kuwadhuru Watanzania kwa kutaka kuiaminisha jamii ya Watanzania kuwa ni kazi za CHADEMA!!

Bwana Nnepi kiukweli huwezi kuwathibitishia kuwa CDM ni chama cha HARAKATI na huna sababu za msingi za kuthibitisha hilo. Naamini kabisa ndani ya dhamiri yako unajua ukweli kuhusu CHADEMA kuwa si chama cha HARAKATI baali ni chama cha SIASA. kukuthibitishia hilo nakupa mfano ulio hai kuthibitisha kuwa CHADEMA ni chama cha SIASA.Kwa sasa Tanzania tupo kwenye mchakato wa kupata KATIBA MPYA na mchakato huu kubali usikubali UMEANZISHWA NA CHADEMA. Sasa sijui kwa upeo wako finyu bado unaweza kuendelea kung'ang'ania kuwa CDM ni wanaharakati!!!

CHADEMA ni chama cha SIASA kilichosajiliwa kwa mujibu wa sheria na kinafanya kazi za siasa kwa umakini mkubwa kuliko hata CCM yenyewe. Hili liko wazi kabisa hata Bungeni michango ya CHADEMA inaonekana! Ndiyo maana Watanzania wansema kwa sasa Mbunge 1 wa CHADEMA ni sawa na Wabunge 20 wa CCM.

Kinachoonekana hapa ni mkakati uleule wa CCM wa kutaka kuimaliza au kuiua CDM katika miaka 2 kama mlivyotamka kwa kauli zenu wewe,Mwigulu Nchemba na kiongozi wenu mkuu anayejulikana kama Dume la Nyani toka Hifadhi ya Gombe Bwana Steven Masato Wassira. Mmejiwekea makakti huu kwa vile msipoiua na kuimaliza CDM kitawapa shida sana kweny Uchaguzi wa 2015 kama mlivyotolewa kamasi mwaka 2010. Kilichowaokoa ni Tume ya Uchaguzi-NEC na UWT vinginevo CCM msingeliiona Ikulu. Huo ni ukweli mchungu.

Bwana Nnepi hoja zako ni dhaifu sana. Hata hili la kudai CDM inaendeleza uana harakati na kuumiza watu si la kweli hata kidogo. Swala la KUTEKA NA KUUMIZA WATU mnalitengeneza watu wa CCM ukiwemo wewe Nnepi,Mwigulu Nchemba,Steven Wassira mkishirikiana na UWT,kwa maana ua Usalama wa Taifa na siyo Umoja wa Wanawake Tanzania!!

Bwana Nnepi kumbuka kuwa kwa sasa CCM mnapitia wakti mgumu sana katika uhai wenu wa Chama. Hamjawahi kupata challenges(changamoto)katika wakti wowote zaidi ya wakti huu!!Kwamba Watanzania wa sasa siyo wale wa kizazi cha Baba zenu kina Mosses Nauye waliokuwa wakitamba na sera za Chama kimoja. Huo wakti haupo tena. Kwa sasa CCM lazima mjue mna-deal na Watanzania waliokwenda shule na wemye uelewa mkubwa kuliko hata mlioko madarakani!!

Kwa kumaliza niseme kuwa CCM mnapoteza muda wenu kutaka kuichafua CHADEMA. Kinachotokea ni kwamba badala ya kuichafua CDM nyie ndiyo mnazidi kuchafuka zaidi na zaidi. Swala kama la VIDEO YA LWAKATARE LIMEWAACHA UCHI na kujidhalilisha kusikomithilika. Mahakama Kuu juzi imetupilia mbali madai yenu ya Lwakatare wa CHADEMA ni Gaidi wakti nyie na Mwigulu Nchemba mliongea kwa jazba kwenye mikutano na Bungeni huku mkidai kuwa na ushahidi ambao mo tayari kuutoa popote hata Kuzimu(siyo Mbinguni) ikibidi!!!!

Swali langu kwako Bwana Nnepi na Mchembe ni: Je, baada ya Mahakma Kuu kutupilia mbali madai yenu ya Lwakatare kuwa ni gaidi mbona hampeleki huo USHAIHIDI ili kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu???
 
MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.

Tujadili jambo gani mkuu? Katika maelezo yote hayo binafsi sijaona hoja yoyote zaidi ya hadithi tu ambayo kwa kweli ilikuwa nzuri.
Huwezi kutenganisha Siasa na Harakati haswa kwa vyama vya Upinzani vyenye kukandamizwa kwa kila namna na tawala za vyama vilivyoshika hatamu.
Hata nyakati za TANU, ASP, TAA n.k walikuwa wakifanya harakati mbalimbali zilizopelekea kuzaliwa kwa taifa huru.
 
Nape Nnauye always throws punches from behind and hides.Jitokeze basi ujibu hoja like this question..umejisalimisha kwa fisadi lowassa na chenge na jk?mbona umeshindwa kuwavua gamba,kama huendekezi tumbo jitoe ccm kwa kukumbatia wizi..
 
Una serukambwa wewe sio mzima....ulikuwa mwembamba sana kabla ya kuwa mwenezi hivi sasa umenenepeana kichwa kimekuwa na miraba kama pundamilia....umekuwa mwizi tu kama mafisadi wengine ule mkakati wa 30 za kuwafukuza mafisadi ulikwama wapi?...mbwembwe zote zile leo umeishia kuwa kituko unalopoka lopoka tu kama mchawi anae kata roho na division 4 zako za 29 nyambafuuu wewe!
 
Ukamanda ni philosophical term,kama kweli ungeweza ku-fit kifalsafa ni obvious lazima ungekua na busara.Since you're not and you'll never be as long as unaendelea kuwa na mentality hiyo hiyo kwa umri huu,then hilo ni mjadala mwingine wa kusikitisha.

Ben Saanane, una njia mbili moja kumpuuza au mbili kumwanzishia thread tutiririke nae. Saivi tunajadili shuzi la Nape Nnauye....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu achana na Ben... Tuelimishe sisi ambao tukisikia nyimbo za kizalendo alizozitunga na kuuziimba Brigedia Moses Mnauye tunajihisi amani inatawala ndani ya mioyo yetu! Hivi sasa hivi CCM inafuata sera zipi? Tunafuata Itikadi Ipi?...Mapato na Matumizi ya Ile Kampuni yetu ya CCM ambayo wanasema inahusika na uwindaji na usafirishaji wa vipusa unaweza kutupatia mchanganuo wake?...

Mkuu usipoteze muda kabisa kubishana na hawa watu wenye kuvaa mavazi kama za akina Che Guevara! Dunia imebadilika sasa ni mwendo wa kula bata na kumiliki kila aina ya magari na majumba mazuri mazuri! Uswis umeweka kiasi gani bro? changamka maana hawakawii kukutumia kama Condom hawa watu wa mjini Mkuu...Back kwenye mada... Baelezee ba kuelewe kuwa wewe huwa unaeneza sera zipi? Ilani zitatekelezwa vipi? ni nini msimamo wa CCM kuhusiana na Mirahaba ya 1.2% kwenye madini yetu. Lini tatizo la maji, foleni litaisha jijini Dar es Salaam... Kidumu Chama Chamapunguani oops Sos sorry bro najua hata wewe huwa kunawakati unajisahau kama mimi na kuanza kuinanga CCM!!!! Kidumu Chama Chamapinduzi...

ilboru1995,

Umenena. Hakika hapa kinachotakiwa ni Bwana Nepi Naye atuambia nini sera za CCM na serikali yake kuwaondolea Watanzania KERO za maji,umeme,elimu,afya na msongamano wa magari Dar!

Inasikitisha CCM kila siku wanazungumzia CHADEMA na UPINZANI badala ya kuzungumzia MAENDELEO YA WATANZANIA!!!!!Shame on you Nepi,shame on you Kiwete,shame on you Mwigulu Nchemba,shame on you Makinda, Pinda,Lowassa,Wassira and the rest!!!

Ondokeni hatuwatakiiiiiiiiii maana mmeshatuchosha!
 
Akipatikana mwenyekiti na katibu mkuu serious ccm wewe hutaweza pata cheo chochote ndani ya ccm kwa hiyo kaa kimya kula jk unaondoka nae.
 
Back
Top Bottom