CHADEMA mnadanganywa, namba hazidanganyagi

Mkuu kipi ambacho hamuelewi??
2010 kikwete alipata kura 5,276,827 sawa na asilimia 62.83 ILA 2015 John Magufuli mgombea CCM alipata kura 8,882,935 sawa na 58.46. Sasa 58% na 62% ipi ni kubwa huwezi ona ccm 2015 kura zimepungua sana kulinganisha na 2010 which in turn it automatically means kura za upinzani zimeongezeka??? I hope nimeeleweka ssa
Naomba upitie upya Uzi Wang naamn utanielewa kirahisi mkuu
 
Mtoa mada hoja yako ina mapungufu kwasababu umeangalia tu tofauti ya kura bila kuuwianisha na idadi ya wapiga kura. Cjajua ulikuwa unafikiri nini ulipokuwa unaandika huu uzi
Lbd n kweli lakini msingi wa hoja yangu n Je ni kweli upinzn ulipiga hatua uchaguzi Mkuu 2015 au walirudi nyuma zaidi (kitakwimu lakini)
 
Namba zipi hizo
Piga hii hesabu Idadi ya majimbo waliyonayo Chadema baada ya uchaguzi 2015 no asilimia ngp ya majimbo yote AF idadi ya majimbo ya uchaguz 2010 no asilimia ngp ya majimbo Kwa kipindi kile AF njoo tujadili
 
Naomba upitie upya Uzi Wang naamn utanielewa kirahisi mkuu
Nilikuwa nafkiri unajua hesabu za apportionment au za proportion kumbe kujumlisha na kutoa??? Unatuaibisha wasomi kwenye hili jukwaa. Tunachoangalia ni asilimia sio namba jamani coz eti gap la kura ni dogo kuliko sahvi wakati wapiga kura sahvi wameongezeka?? U must be insane.
Nyie ndo mnaoambiwa kikwete alikusanya bilon mia 900 ila magufuli trilion 1+ hivyo mapato yameongezeka na uchumi unakuwa bila ya kuuliza thamani ya shilingi by percentage imeongezeka kwa asilimia ngapi nyie mnabaki kuangalia digits pekee wakati kwenye soko ka fedha pesa ya tz unakuta imeshuka thamani kwa asilimia kadhaa when compared to dollar ya marekani.
Go and revise ur mathematics sio unajidhalilisha hapa wakati kichwani ur dumb hta hesabu hujui shame on u
 
Piga hii hesabu Idadi ya majimbo waliyonayo Chadema baada ya uchaguzi 2015 no asilimia ngp ya majimbo yote AF idadi ya majimbo ya uchaguz 2010 no asilimia ngp ya majimbo Kwa kipindi kile AF njoo tujadili
Ona sasa unajicontradict mwenyewe unasema tofauti ya kura sio percentage kwenye uzi wako alafu hapa unataka mtu akuletee ushahidi wa asilimia??? R u insane??? Hesabu umesomea wapi?? Au ndio zao la BRN haaahaaaaa
 
Matokeo ya uchaguzi Mkuu 2010 yalikua ni haya Kwa kifupi ili twende sawa
CCM Kura5,276,827=61.7%
CHADEMA kura 2,271,941=26.34%
CUF kura 69,5667 =8.06%
UDP kura 13,176
NCCR kura 26,388=0.31%

Hapo nimeweka hivyo vyama vya upinzani vinne na matokeo yake Kwa sababu ndo vyama viliunda UKAWA na kusimamisha mgombea mmoja wa urais 2015 then tuone walipiga hatua kweli au walipotoshwa na wanazidi kupotoshwa twende sawa

Chukua kura za CCM 5,276,827 kisha toa kura za hvyo vyama vinne (CDM,CUF,NCCR,UDP) jumla ni kura 3,007,172 itakua HV
5,276,827-3,007,172=2,269,655 Kwa hyo hii ndo tofauti ya kura kati ya CCM na UKAWA Kwa upande wa uchaguzi Mkuu 2010

Mwaka 2015 Matokeo yakawa hivi
CCM kura 8,882,935
UKAWA kura 6,072,848
Ambapo ukitoa unapata tofauti ya kura
2,810,087 ambapo gap LA uwingi wa kura linaongezeka Kwa kura 540432 Kwa hyo UKAWA 2015 Walipoteza kura 540432 ambazo walizipata 2010 AF bado wanarubuniwa kwamba tulipiga Hatua

Chukua na hii Lowasa chini ya UKAWA 2015(CDM,CUF,NCCR,UDP) Alipata kura 6,072,848 dhidi ya kura 8,882,935 za Magufuli wa CCM tofauti ya kura 2,810,087 wakati Dr Slaa wa CDM pekee 2010 alipata kura 2,271,941 dhidi ya kikwete wa CCM kura 5,276,827 tofauti ya kura 3,005,186 ambapo ukichukua tofauti ya hizi kura kati ya Gap LA kura kati ya Slaa wa CDM pekee 2010 na Lowassa wa UKAWA 2015 unaelewa KBS kwamba huu mchezo Hauhitaji hasira

HUU NI UKWELI MCHUNGU ILA NDO HVYO NAMBA HAZIDANGANYI CDM MJIULIZE UPYA NI KWELI MLICHEZA GAME YA FAIDA AU MNADANGANYWAGA NA WACHACHE NDANI YA CHAMA CHENU
Hesabu umesomea wapi for instance watanzania wote wangekuwa eligible kupiga kura 2020 lets say milion 50 wote afu uchaguzi ukawa kma wa 2015 magufuli apate 30 million kumake 60% na lowassa apate 20 million kumake 40% hya si umeona tofauti ya percent hakuna lakini ukiangalia kura utakuta tofauti ni 10 million je hapo utasema tena wapinzani wameacha mbali sana??? Kwa sababu kura million 10 kwa kutaja zinaonekana nyingi??? So insane huwezi linganisha tofauti ya summations kma total ni tofauti....... nakupa homework kasome kuhusu d'hondt method of proportion uongeze elimu kichwani sio unakija hapa kujidhalilisha kila cku
 
.mbona wa ccm huuoni.
Ikiwa mwenyekiti achaguliwa Bali anapitishwa huoni kama hakuna democracy
Kwenye uozo siku zote huwa tunasema bila kujali ni ccm,CUF wala Chadema. Wengine sisi ni raia tu wa kawaida ambao hatuendeshwi na ulafi wa wanasiasa wengi either wa chama tawala au upinzani. Tunachotaka sisi ni siasa safi na maendeleo ya nchi yetu ili kila mwananchi apate chakula, malazi na maendeleo yake binafsi na familia yake.
 
Matokeo ya uchaguzi Mkuu 2010 yalikua ni haya Kwa kifupi ili twende sawa
CCM Kura5,276,827=61.7%
CHADEMA kura 2,271,941=26.34%
CUF kura 69,5667 =8.06%
UDP kura 13,176
NCCR kura 26,388=0.31%

Hapo nimeweka hivyo vyama vya upinzani vinne na matokeo yake Kwa sababu ndo vyama viliunda UKAWA na kusimamisha mgombea mmoja wa urais 2015 then tuone walipiga hatua kweli au walipotoshwa na wanazidi kupotoshwa twende sawa

Chukua kura za CCM 5,276,827 kisha toa kura za hvyo vyama vinne (CDM,CUF,NCCR,UDP) jumla ni kura 3,007,172 itakua HV
5,276,827-3,007,172=2,269,655 Kwa hyo hii ndo tofauti ya kura kati ya CCM na UKAWA Kwa upande wa uchaguzi Mkuu 2010

Mwaka 2015 Matokeo yakawa hivi
CCM kura 8,882,935
UKAWA kura 6,072,848
Ambapo ukitoa unapata tofauti ya kura
2,810,087 ambapo gap LA uwingi wa kura linaongezeka Kwa kura 540432 Kwa hyo UKAWA 2015 Walipoteza kura 540432 ambazo walizipata 2010 AF bado wanarubuniwa kwamba tulipiga Hatua

Chukua na hii Lowasa chini ya UKAWA 2015(CDM,CUF,NCCR,UDP) Alipata kura 6,072,848 dhidi ya kura 8,882,935 za Magufuli wa CCM tofauti ya kura 2,810,087 wakati Dr Slaa wa CDM pekee 2010 alipata kura 2,271,941 dhidi ya kikwete wa CCM kura 5,276,827 tofauti ya kura 3,005,186 ambapo ukichukua tofauti ya hizi kura kati ya Gap LA kura kati ya Slaa wa CDM pekee 2010 na Lowassa wa UKAWA 2015 unaelewa KBS kwamba huu mchezo Hauhitaji hasira

HUU NI UKWELI MCHUNGU ILA NDO HVYO NAMBA HAZIDANGANYI CDM MJIULIZE UPYA NI KWELI MLICHEZA GAME YA FAIDA AU MNADANGANYWAGA NA WACHACHE NDANI YA CHAMA CHENU
Namba zakuchorwa na Lubuva...Ndo mana wamekuchunia!
 
Endelea kujiaminisha hivyo hivyo, kila anayeona udhaifu wa uongozi wa Chadema na akausema basi yeye ana chama kingine. Uozo wa uongozi upo na lazima usemwe.
Uliwahi kusikia mwenyekiti wa taifa ccm amegombea na kuchaguliwa? Bado hujajua hicho so chama Bali Mali ya wachache
 
Lakini ni kupitia hzo hzo namba ndo mnatunia kuwaaminisha watu kwamba mlipiga hatua katika uchaguz Mkuu 2015 kulinganisha na 2010

Na hapa lengo ni kaungalia je ni kwwli kitakwimu Chadema mmepiga hatua au mmerudi nyuma zaidi

Acha siasa hapa acha namba ziongee mkuu
Hesabu zako hazina tija kwa sasa
 
Matokeo ya uchaguzi Mkuu 2010 yalikua ni haya Kwa kifupi ili twende sawa
CCM Kura5,276,827=61.7%
CHADEMA kura 2,271,941=26.34%
CUF kura 69,5667 =8.06%
UDP kura 13,176
NCCR kura 26,388=0.31%

Hapo nimeweka hivyo vyama vya upinzani vinne na matokeo yake Kwa sababu ndo vyama viliunda UKAWA na kusimamisha mgombea mmoja wa urais 2015 then tuone walipiga hatua kweli au walipotoshwa na wanazidi kupotoshwa twende sawa

Chukua kura za CCM 5,276,827 kisha toa kura za hvyo vyama vinne (CDM,CUF,NCCR,UDP) jumla ni kura 3,007,172 itakua HV
5,276,827-3,007,172=2,269,655 Kwa hyo hii ndo tofauti ya kura kati ya CCM na UKAWA Kwa upande wa uchaguzi Mkuu 2010

Mwaka 2015 Matokeo yakawa hivi
CCM kura 8,882,935
UKAWA kura 6,072,848
Ambapo ukitoa unapata tofauti ya kura
2,810,087 ambapo gap LA uwingi wa kura linaongezeka Kwa kura 540432 Kwa hyo UKAWA 2015 Walipoteza kura 540432 ambazo walizipata 2010 AF bado wanarubuniwa kwamba tulipiga Hatua

Chukua na hii Lowasa chini ya UKAWA 2015(CDM,CUF,NCCR,UDP) Alipata kura 6,072,848 dhidi ya kura 8,882,935 za Magufuli wa CCM tofauti ya kura 2,810,087 wakati Dr Slaa wa CDM pekee 2010 alipata kura 2,271,941 dhidi ya kikwete wa CCM kura 5,276,827 tofauti ya kura 3,005,186 ambapo ukichukua tofauti ya hizi kura kati ya Gap LA kura kati ya Slaa wa CDM pekee 2010 na Lowassa wa UKAWA 2015 unaelewa KBS kwamba huu mchezo Hauhitaji hasira

HUU NI UKWELI MCHUNGU ILA NDO HVYO NAMBA HAZIDANGANYI CDM MJIULIZE UPYA NI KWELI MLICHEZA GAME YA FAIDA AU MNADANGANYWAGA NA WACHACHE NDANI YA CHAMA CHENU
Jitambua acha umbumbu na ukilaza
 
Piga hii hesabu Idadi ya majimbo waliyonayo Chadema baada ya uchaguzi 2015 no asilimia ngp ya majimbo yote AF idadi ya majimbo ya uchaguz 2010 no asilimia ngp ya majimbo Kwa kipindi kile AF njoo tujadili
Chadema ina majimbo 116 kutoka 23
 
Uliwahi kusikia mwenyekiti wa taifa ccm amegombea na kuchaguliwa? Bado hujajua hicho so chama Bali Mali ya wachache
Naweza kukubaliana kabisa na wewe. Ila kwa upande fulani jaribu kuangalia hao wachache wanaobadilishana madaraka kuliko yule mmoja tu aliyekuwa pale miaka nenda miaka rudi. Hii ni aibu kubwa kwa chama ambacho kinajinasibu kwa kupigania democracy nchini. CCM kama chama wako na madudu yao mengi ambayo almost kila siku tunayaimba hapa, lakini je hawa wapinzani ambao wao huwa wako msitari wa mbele kabisa kukosoa serikali ya ccm wao wenyewe wanaipractice democracy? Issue ndio iko hapo.
 
Kwenye uozo siku zote huwa tunasema bila kujali ni ccm,CUF wala Chadema. Wengine sisi ni raia tu wa kawaida ambao hatuendeshwi na ulafi wa wanasiasa wengi either wa chama tawala au upinzani. Tunachotaka sisi ni siasa safi na maendeleo ya nchi yetu ili kila mwananchi apate chakula, malazi na maendeleo yake binafsi na familia yake.
Hiyo siasa safi ungesemea kwa ccm inayobana democracy hata ndani ya ccm yenyewe
 
Lbd n kweli lakini msingi wa hoja yangu n Je ni kweli upinzn ulipiga hatua uchaguzi Mkuu 2015 au walirudi nyuma zaidi (kitakwimu lakini)
Jibu: Ni kweli, jumla ya kura za upinzani imeongezeka sana, na kuhusu ccm kushinda swala ni lile lile kwamba idadi ya kura iliongezeka kwao pia, sasa maongezeko yote hayo yameletwa na ile idadi iliyoongezeka juu ya ile ya 2015
 
Matokeo ya uchaguzi Mkuu 2010 yalikua ni haya Kwa kifupi ili twende sawa
CCM Kura5,276,827=61.7%
CHADEMA kura 2,271,941=26.34%
CUF kura 69,5667 =8.06%
UDP kura 13,176
NCCR kura 26,388=0.31%

Hapo nimeweka hivyo vyama vya upinzani vinne na matokeo yake Kwa sababu ndo vyama viliunda UKAWA na kusimamisha mgombea mmoja wa urais 2015 then tuone walipiga hatua kweli au walipotoshwa na wanazidi kupotoshwa twende sawa

Chukua kura za CCM 5,276,827 kisha toa kura za hvyo vyama vinne (CDM,CUF,NCCR,UDP) jumla ni kura 3,007,172 itakua HV
5,276,827-3,007,172=2,269,655 Kwa hyo hii ndo tofauti ya kura kati ya CCM na UKAWA Kwa upande wa uchaguzi Mkuu 2010

Mwaka 2015 Matokeo yakawa hivi
CCM kura 8,882,935
UKAWA kura 6,072,848
Ambapo ukitoa unapata tofauti ya kura
2,810,087 ambapo gap LA uwingi wa kura linaongezeka Kwa kura 540432 Kwa hyo UKAWA 2015 Walipoteza kura 540432 ambazo walizipata 2010 AF bado wanarubuniwa kwamba tulipiga Hatua

Chukua na hii Lowasa chini ya UKAWA 2015(CDM,CUF,NCCR,UDP) Alipata kura 6,072,848 dhidi ya kura 8,882,935 za Magufuli wa CCM tofauti ya kura 2,810,087 wakati Dr Slaa wa CDM pekee 2010 alipata kura 2,271,941 dhidi ya kikwete wa CCM kura 5,276,827 tofauti ya kura 3,005,186 ambapo ukichukua tofauti ya hizi kura kati ya Gap LA kura kati ya Slaa wa CDM pekee 2010 na Lowassa wa UKAWA 2015 unaelewa KBS kwamba huu mchezo Hauhitaji hasira

HUU NI UKWELI MCHUNGU ILA NDO HVYO NAMBA HAZIDANGANYI CDM MJIULIZE UPYA NI KWELI MLICHEZA GAME YA FAIDA AU MNADANGANYWAGA NA WACHACHE NDANI YA CHAMA CHENU
Porojo za kihayawani na kinyang'au!
Takwimu hizo ni za matokeo yasiyo na uhalisia, za kughushi, zilizotengenezwa na dude mnaloliita TUME!
Hamna hata aibu; Mwenyekiti wa TUME anateuliwa na Mwenyekiti wenu ambaye pia ni mgombeaji, wasaidizi anawateua yeye, anaowashtukia kwamba wanaweza kukataa kutumika kijinai anawabadilisha na kuchomeka vikaragosi wake, vyombo vya usalama vinapotosha matokeo kati ya maeneo kura zilikopigwa na anayopewa Mwenyekiti wa TUME ambaye kwa kweli ni kibaraka anayefanya kazi kama zoba! Akitangaza makosa. Wapinzani wanakataliwa kuthibitisha utofauti wa takwimu!
Mnajitekenya na kucheka, mkivimbiwa mnaimba pambio za kujipongeza! Ukweli ni kwamba CCM hawajapata kushinda bara hadi visiwani tangu 2010!
Kama mnabisha mkubali kuundwa TUME Huru namna hii; Wanasheria waombe kupitia Bunge kazi ya Mwenyekiti wa TUME. Bunge lichambue majina kumi yatakayowasilishwa kwenye jopo la wajumbe toka vyama vyenye wabunge. Kila chama kitoe idadi sawa ya wajumbe watakaomchagua mshindi katika majina yale kumi. Mshindi sherti apate pia angalau nusu ya kura zote za vyama pinzani. Na Mwenyekiti atakayeshinda awekewe kinga ya kutoondolewa na Rais au mtu yoyote na ndiye akabidhiwe jukumu la kuteua na kuwaondoa wajumbe wa kumsaidia.
Kisha twende kwenye kwenye uchaguzi mkishinda titashangilia wote. Vinginevyo kujivunia matokeo ya kutengenezwa Lumumba ni ubadhirifu uliopitiliza!
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom