CHADEMA mnadanganywa, namba hazidanganyagi

Waacha WAISOME number vizuri...NA WATASUBIRI SANA KUITOA CCM madarakani kwa aina ya VIONGOZI WALIOPO SASA NA KIZAZI WANACHOKILEA HUKO CHADEMA KWA AJILI YA KESHO.......
Akili no nywele wewe ukafuga Afro ili use na akili nyingi
 
Hapa sio siasa ni namba ndo ziseme mkuu
Sasa namba hizo wameamua kina januari watupe kura ngapi au umesahau 2010 majimbo kibao yalifanana kura za kikwete yaani mlijichagulia namba then mnataka ssi tuanze kuzifanyia kazi wakati at the sametime tunadai tumeibiwa kura???
 
Unaweza kuweka post yako hapa kwa sababu ya chadema maana chama chako hakitaki post yoyote najua hujitambui
Endelea kujiaminisha hivyo hivyo, kila anayeona udhaifu wa uongozi wa Chadema na akausema basi yeye ana chama kingine. Uozo wa uongozi upo na lazima usemwe.
 
Sasa namba hizo wameamua kina januari watupe kura ngapi au umesahau 2010 majimbo kibao yalifanana kura za kikwete yaani mlijichagulia namba then mnataka ssi tuanze kuzifanyia kazi wakati at the sametime tunadai tumeibiwa kura???
Lakini ni kupitia hzo hzo namba ndo mnatunia kuwaaminisha watu kwamba mlipiga hatua katika uchaguz Mkuu 2015 kulinganisha na 2010

Na hapa lengo ni kaungalia je ni kwwli kitakwimu Chadema mmepiga hatua au mmerudi nyuma zaidi

Acha siasa hapa acha namba ziongee mkuu
 
Duh mkuu of course its obvious mwaka huu mmeiba zaidi ya 2010 so zimeongezeka ndo maana hta mlipoiba mkaacha bado nyingi.
Hao wanaosema zimeongezeka ni kujibu kupitia uelewa wenu coz ndio official results. Ila hapo umedanganya piga hesabu tu magufuli hakufika hta 60% ila kikwete alizidi 60% sasa mpaka hapo huoni zimeongzeka mwaka huu????
 
Mkuu umeelewa ulichopost ??
 
Mtoa mada hoja yako ina mapungufu kwasababu umeangalia tu tofauti ya kura bila kuuwianisha na idadi ya wapiga kura. Cjajua ulikuwa unafikiri nini ulipokuwa unaandika huu uzi
 
Mkuu umeelewa ulichopost ??
Mkuu kipi ambacho hamuelewi??
2010 kikwete alipata kura 5,276,827 sawa na asilimia 62.83 ILA 2015 John Magufuli mgombea CCM alipata kura 8,882,935 sawa na 58.46. Sasa 58% na 62% ipi ni kubwa huwezi ona ccm 2015 kura zimepungua sana kulinganisha na 2010 which in turn it automatically means kura za upinzani zimeongezeka??? I hope nimeeleweka ssa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom