CHADEMA mnadanganywa, namba hazidanganyagi

Pamputi

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Posts
982
Reaction score
724
Matokeo ya uchaguzi Mkuu 2010 yalikua ni haya Kwa kifupi ili twende sawa
CCM Kura5,276,827=61.7%
CHADEMA kura 2,271,941=26.34%
CUF kura 69,5667 =8.06%
UDP kura 13,176
NCCR kura 26,388=0.31%

Hapo nimeweka hivyo vyama vya upinzani vinne na matokeo yake Kwa sababu ndo vyama viliunda UKAWA na kusimamisha mgombea mmoja wa urais 2015 then tuone walipiga hatua kweli au walipotoshwa na wanazidi kupotoshwa twende sawa

Chukua kura za CCM 5,276,827 kisha toa kura za hvyo vyama vinne (CDM,CUF,NCCR,UDP) jumla ni kura 3,007,172 itakua HV
5,276,827-3,007,172=2,269,655 Kwa hyo hii ndo tofauti ya kura kati ya CCM na UKAWA Kwa upande wa uchaguzi Mkuu 2010

Mwaka 2015 Matokeo yakawa hivi
CCM kura 8,882,935
UKAWA kura 6,072,848
Ambapo ukitoa unapata tofauti ya kura
2,810,087 ambapo gap LA uwingi wa kura linaongezeka Kwa kura 540432 Kwa hyo UKAWA 2015 Walipoteza kura 540432 ambazo walizipata 2010 AF bado wanarubuniwa kwamba tulipiga Hatua

Chukua na hii Lowasa chini ya UKAWA 2015(CDM,CUF,NCCR,UDP) Alipata kura 6,072,848 dhidi ya kura 8,882,935 za Magufuli wa CCM tofauti ya kura 2,810,087 wakati Dr Slaa wa CDM pekee 2010 alipata kura 2,271,941 dhidi ya kikwete wa CCM kura 5,276,827 tofauti ya kura 3,005,186 ambapo ukichukua tofauti ya hizi kura kati ya Gap LA kura kati ya Slaa wa CDM pekee 2010 na Lowassa wa UKAWA 2015 unaelewa KBS kwamba huu mchezo Hauhitaji hasira

HUU NI UKWELI MCHUNGU ILA NDO HVYO NAMBA HAZIDANGANYI CDM MJIULIZE UPYA NI KWELI MLICHEZA GAME YA FAIDA AU MNADANGANYWAGA NA WACHACHE NDANI YA CHAMA CHENU
 
Wameingia mitini, njooni mbishie hizi namba tuone
 
Waacha WAISOME number vizuri...NA WATASUBIRI SANA KUITOA CCM madarakani kwa aina ya VIONGOZI WALIOPO SASA NA KIZAZI WANACHOKILEA HUKO CHADEMA KWA AJILI YA KESHO.......
 
Sasa wengi ni wazee wavijiweni
Kudeki Lami hizo watajulia wapi
!!!
Mtaji mkuu wa Ukawa ni watu wasio jitambua
Hawajui no wao ni yes tu!!!
Kwahiyo ningumu kukuelewa hapo.
 
CHADEMA NI KUNDI LA WAFANYA BIASHARA WA SIASA
 
Uweke na zile ambazo NEC walimuongezea Mgombea Wao, kwa mfano Bumbuli na Lushoto! Kura zilizidi wapiga kura, msiwe wepesi
Nadhan we kuna kitu unakijua kuliko me kiweke Kwa faida ya wengi mkuu
 
Chadema hata wakishinda watakaaa kuongoza kwan hawajajipanga kushika nchi...wao wameapa kuwa wapinzani milele
 
Matokeo ya uchaguzi Mkuu 2010 yalikua ni haya Kwa kifupi ili twende sawa
CCM Kura5,276,827=61.7%
CHADEMA kura 2,271,941=26.34%
CUF kura 69,5667 =8.06%
UDP kura 13,176
NCCR kura 26,388=0.31%

Hapo nimeweka hivyo vyama vya upinzani vinne na matokeo yake Kwa sababu ndo vyama viliunda UKAWA na kusimamisha mgombea mmoja wa urais 2015 then tuone walipiga hatua kweli au walipotoshwa na wanazidi kupotoshwa twende sawa

Chukua kura za CCM 5,276,827 kisha toa kura za hvyo vyama vinne (CDM,CUF,NCCR,UDP) jumla ni kura 3,007,172 itakua HV
5,276,827-3,007,172=2,269,655 Kwa hyo hii ndo tofauti ya kura kati ya CCM na UKAWA Kwa upande wa uchaguzi Mkuu 2010

Mwaka 2015 Matokeo yakawa hivi
CCM kura 8,882,935
UKAWA kura 6,072,848
Ambapo ukitoa unapata tofauti ya kura
2,810,087 ambapo gap LA uwingi wa kura linaongezeka Kwa kura 540432 Kwa hyo UKAWA 2015 Walipoteza kura 540432 ambazo walizipata 2010 AF bado wanarubuniwa kwamba tulipiga Hatua

Chukua na hii Lowasa chini ya UKAWA 2015(CDM,CUF,NCCR,UDP) Alipata kura 6,072,848 dhidi ya kura 8,882,935 za Magufuli wa CCM tofauti ya kura 2,810,087 wakati Dr Slaa wa CDM pekee 2010 alipata kura 2,271,941 dhidi ya kikwete wa CCM kura 5,276,827 tofauti ya kura 3,005,186 ambapo ukichukua tofauti ya hizi kura kati ya Gap LA kura kati ya Slaa wa CDM pekee 2010 na Lowassa wa UKAWA 2015 unaelewa KBS kwamba huu mchezo Hauhitaji hasira

HUU NI UKWELI MCHUNGU ILA NDO HVYO NAMBA HAZIDANGANYI CDM MJIULIZE UPYA NI KWELI MLICHEZA GAME YA FAIDA AU MNADANGANYWAGA NA WACHACHE NDANI YA CHAMA CHENU
Jana walifafanuliwa hivyo hivyo ila kwa kutumia hisabati za asilimia ambazo kidogo ni more complicated kuzielewa kwa mtu aliyekimbia hisabati.

Ufafanuzi wako ni mzuri sana na rahisi sana kuelewa. Kama bado watakuwa hawajaelewa basi wakapime Zika. Shida wasomi wote walioko Ukawa ni wasomi wa sanaa tu, kule hakuna hata msomi mmoja wa sayansi na hisabati. Mashinji aliyesomea usingizi ndiye pekee anayeonekana kasoma sayansi. Sasa wasije kulalamika watakapopiga usingizi 2020.
 
Jana walifafanuliwa hivyo hivyo ila kwa kutumia hisabati za asilimia ambazo kidogo ni more complicated kuzielewa kwa mtu aliyekimbia hisabati.

Ufafanuzi wako ni mzuri sana na rahisi sana kuelewa. Kama bado watakuwa hawajaelewa basi wakapime Zika. Shida wasomi wote walioko Ukawa ni wasomi wa sanaa tu, kule hakuna hata msomi mmoja wa sayansi na hisabati. Mashinji aliyesomea usingizi ndiye anayeonekana kasoma sayansi.
Dr akili umeeleweka mkuu
 
Mtoa mada una ujinga mwingi angalia hesabu zako inaelekea ww ni hkl rudi darasani tafadhali
 
Waache waangukie pua tena 2020 wakiwa na zigo lao la ufisadi.Hesabu hizo kwao ni mtihani mkubwa
 
Matokeo ya uchaguzi Mkuu 2010 yalikua ni haya Kwa kifupi ili twende sawa
CCM Kura5,276,827=61.7%
CHADEMA kura 2,271,941=26.34%
CUF kura 69,5667 =8.06%
UDP kura 13,176
NCCR kura 26,388=0.31%

Hapo nimeweka hivyo vyama vya upinzani vinne na matokeo yake Kwa sababu ndo vyama viliunda UKAWA na kusimamisha mgombea mmoja wa urais 2015 then tuone walipiga hatua kweli au walipotoshwa na wanazidi kupotoshwa twende sawa

Chukua kura za CCM 5,276,827 kisha toa kura za hvyo vyama vinne (CDM,CUF,NCCR,UDP) jumla ni kura 3,007,172 itakua HV
5,276,827-3,007,172=2,269,655 Kwa hyo hii ndo tofauti ya kura kati ya CCM na UKAWA Kwa upande wa uchaguzi Mkuu 2010

Mwaka 2015 Matokeo yakawa hivi
CCM kura 8,882,935
UKAWA kura 6,072,848
Ambapo ukitoa unapata tofauti ya kura
2,810,087 ambapo gap LA uwingi wa kura linaongezeka Kwa kura 540432 Kwa hyo UKAWA 2015 Walipoteza kura 540432 ambazo walizipata 2010 AF bado wanarubuniwa kwamba tulipiga Hatua

Chukua na hii Lowasa chini ya UKAWA 2015(CDM,CUF,NCCR,UDP) Alipata kura 6,072,848 dhidi ya kura 8,882,935 za Magufuli wa CCM tofauti ya kura 2,810,087 wakati Dr Slaa wa CDM pekee 2010 alipata kura 2,271,941 dhidi ya kikwete wa CCM kura 5,276,827 tofauti ya kura 3,005,186 ambapo ukichukua tofauti ya hizi kura kati ya Gap LA kura kati ya Slaa wa CDM pekee 2010 na Lowassa wa UKAWA 2015 unaelewa KBS kwamba huu mchezo Hauhitaji hasira

HUU NI UKWELI MCHUNGU ILA NDO HVYO NAMBA HAZIDANGANYI CDM MJIULIZE UPYA NI KWELI MLICHEZA GAME YA FAIDA AU MNADANGANYWAGA NA WACHACHE NDANI YA CHAMA CHENU
Wewe huna akili UDP tangia lini ilikuwa ukawa wewe no mnafiki na umekurupuka fanya utafiti mwingine utapewa cheo cha haraka haraka
 
Wameingia mitini, njooni mbishie hizi namba tuone
Inakera sana mnafanyia kazi namba za Nec wakati mkijua wazi mlifanya uchakachuzi waziwazi ssa mnataka na sisi tubishane na nyie abt numbers ambazo kiukweli ni za kupikwa???
Mna uhakika tulipata kura milion 6 pekee??? Kma una ndugu usalama wa taifa ni heri umtafute akueleze kilichotokea sio kuleta ushabiki.
Kama mngesimamia haki mngeruhusu matokeo yahojiwe mahakamani na tume iwe huru ssa mtu akishinda mnafuta kma maalim thrn mnakuja hapa mnataka tujadili namba hizo hizo za nec?? So annoying ila lazma mjue ya dunia yanapita siku ya kiama mtajutia haya yote mliofanya
 
Wameingia mitini, njooni mbishie hizi namba tuone
Na wewe akili 0 hapo kuna namba gani? Kama Ukawa ilikuwa na wabunge 70+ na sasa ina wabunge 150+ huoni hill ongzeko au mnatafuta uku wa Wilaya kwa nguvu kama polepole
 
Back
Top Bottom