Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 677
- 690
Hawaaminiki ni matapeli hawaWanamatatizo sanaView attachment 1895321View attachment 1895320
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hawaaminiki ni matapeli hawaWanamatatizo sanaView attachment 1895321View attachment 1895320
Kwanza wewe uchangie ulivyo na roho mbaya hivyo!Wewe punguani kweli kwa hiyo Lissu na Lema michango wanayoomba tuwachangie ni ya kwao binasfi.
Unaekewa tofauti ya udhaifu na busara?
Ukiambiwa mwiliwako hauna nguvu, iliuonyeshe kuwa unanguvu unaanza kupiga watu? Kumbe madakitari walikuwa na maana ya nguvu za kuhimili dawa fulani kwenye figo zako. Na hapo ndo utajionyesha kuwa zwazwa.
wakili mbumbumbu kuliko wote tzNdiyo
Nimi wala sijaajiriwa na Serikali nimejiajiri mwenyewe kwa muda mrefu.Vyeti feki mnaliiiiiiaaaa
Mkuu Ritz , uwe unatofautisha kauli/maoni ya mtu binafsi na maoni ya chama. Hayo ni maoni ya Joseph Mbilinyi binafsi na si ya CHADEMA. Usilazimishe mambo. Mwishoni utalazimisha kuwa maoni ya Polepole na Gwajima kuhusu chanjo ya UVIKO ni maoni ya CCM. Tumia akili yako vyema.
Hawajawahi kujua wanasimamia misingi ipiWanaukumbi.
Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
Kuwa dhaifu aimanishi hana busara ya kusuruhusa matatizo ya nyumbani kwakeNakumbuka John Mnyika, wakati wa utawala wa JK aliitisha mkutano na waandishi wa habari anawambia kuwa Tanzania imepata Rais dhaifu kuliko wakati wowote ule, walishindwa kuweka akiba ya maneno.
Mkuu punguza wivu. Hata wewe unaweza kusoma na kuwa Wakili kama mimi. Ila uache kazi ufanye kazi. Kila la heri!wakili mbumbumbu kuliko wote tz
Wanaukumbi.
Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
Naona umenasa kwenye hii propaganda mfu. JK hakuwa mwema kabisa, bali Magufuli alikuwa muovu mno, kiasi kwamba JK akaonekana ana afadhali. Lakini kwa taarifa yako JK ni mnafiki wa kiwango cha juu, na yeye ni sehemu ya huu utawala wa kihuni hapa nchini.JK atusamehe tu tulimkosea sana,ni kama alitudekeza vile.
Mzee Kikwete alituachia uwanja wa wazi wa kufanya Siasa,na kimtazamo naweza kusema aliruhusu Demokrasia.Naona umenasa kwenye hii propaganda mfu. JK hakuwa mwema kabisa, bali Magufuli alikuwa muovu mno, kiasi kwamba JK akaonekana ana afadhali. Lakini kwa taarifa yako JK ni mnafiki wa kiwango cha juu, na yeye ni sehemu ya huu utawala wa kihuni hapa nchini.
Mzee Kikwete alituachia uwanja wa wazi wa kufanya Siasa,na kimtazamo naweza kusema aliruhusu Demokrasia.
Katika kipindi cha Kikwete tulijizolea viti vingi na kuwa na matumaini kuwa tutaitwaa Dola huku tukimdharau kwa kumuita Gaidi na Dhaifu
Sidhani kama atakuja mtawala wa CCM ambae atatuvumilia kama Mzee Jakaya Kikwete
Mnyonge mnyongeni...
AMENHaikuwa hisani bali ni kwa mujibu wa sheria. Viongozi wanavunja sheria mpaka inapotokea anayezitekeleza unahisi ni hisani. Huyo JK watu walitekwa, waliumizwa, nk. Hatuhitaji kuvumiliwa na viongozi wa ccm, bali tunahitaji sheria kufuatwa. Kama ni kuvumiliana basi iwe ni kwa wote na sio hisani ya kiongozi yoyote. Vile viti tulivyopata haikuwa hisani ya JK bali ushawishi wetu kwa umma, kama ni hisani basi ilibidi kila chama cha upinzani kipewe kama hisani.
Leo hii ccm wana viti vyote vya bunge, sio kwasababu wana uhalali wa umma, bali ni kiburi cha madaraka. Usitekwe na matumizi mabaya madaraka, mpaka uone aliyejitahidi ilikuwa ni hisani. Tupambane tupate haki yetu, na sio kutaka hisani. Hata kama watatuumiza hiyo ni kawaida sana kwenye maisha unapodai haki.
Watu dhaifu hwana maana tena? Futeni bunge la ndugai basi1Wanaukumbi.
Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.
Ganda la muwa la jana, chungu kaona kivunoWanaukumbi.