CHADEMA mlimuita Jakaya Kikwete dhaifu, kulikoni tena leo mnamuhitaji?

Na kikao kikafanyika kuwa mnyika apotezwe... JAKAYA ALIVYOJUA HILO,Akamwambia Nape je kweli mm dhaifu Nape kajibu hapana.. jk aakasema Basi MWACHEN kijana akuze jina kisiasa.ila hakikisha unazunguka Tanzania nzima kuonyesha madaraja,shule na mengineyo...siasa za hoja ndo zinahitajika
Nakumbuka John Mnyika, wakati wa utawala wa JK aliitisha mkutano na waandishi wa habari anawambia kuwa Tanzania imepata Rais dhaifu kuliko wakati wowote ule, walishindwa kuweka akiba ya maneno.
 
Unaekewa tofauti ya udhaifu na busara?
Ukiambiwa mwiliwako hauna nguvu, iliuonyeshe kuwa unanguvu unaanza kupiga watu? Kumbe madakitari walikuwa na maana ya nguvu za kuhimili dawa fulani kwenye figo zako. Na hapo ndo utajionyesha kuwa zwazwa.
 
Ukweli mchungu, mzee kikwete ana haki ya kusema kwamba acha tukome, sabb ni ukweli usopingika ktk utawala wake ndo kipindi upinzan ulistawi mnooo, lakin huyu mzee alitukanwa mnooo, hadi alitukaniwa wazaz wake, 2015 siku ya mwisho ya kampen huyu mzee hadi alidondosha machoz akisema, mmeniita mi dhaifu sina maamuzi haya sasa nawaletea mkali na mwenye maamuzi, na kweli ikawa, so acha tupete tu ktk madhila tunopitia na mzee kikwete asitie huruma yake kwetu ili tujifunze kwamba uongoz bora ni wa kidplomasi ambao ndo alokuwa kaubeba jk
 
Wanaukumbi.

Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za kumpeleka Mahakama za Kimataifa kumshtaki leo hii mnamuhitaji daaah siasa hizi.

View attachment 1895277

View attachment 1895281
Siku hizi Katibu umekua na hoja dhaifu sana, si ndio nyie mlisema tujifunze ku-appreciate? Sasa Jogwe kasema hivyo nayo imekua kesi? Mbona hamna jema nyie Walimwengu?
 
Nakumbuka John Mnyika, wakati wa utawala wa JK aliitisha mkutano na waandishi wa habari anawambia kuwa Tanzania imepata Rais dhaifu kuliko wakati wowote ule, walishindwa kuweka akiba ya maneno.
Aliitisha ukumbi gani? Acha uzwazwa
 
Na kikao kikafanyika kuwa mnyika apotezwe... JAKAYA ALIVYOJUA HILO,Akamwambia Nape je kweli mm dhaifu Nape kajibu hapana.. jk aakasema Basi MWACHEN kijana akuze jina kisiasa.ila hakikisha unazunguka Tanzania nzima kuonyesha madaraja,shule na mengineyo...siasa za hoja ndo zinahitajika
Hekima za Jk mzee wa Msoga.
 
CCM mnajidanganya sana yaani ni hivi - Katiba mpya ni lazima !!
 
Na kikao kikafanyika kuwa mnyika apotezwe... JAKAYA ALIVYOJUA HILO,Akamwambia Nape je kweli mm dhaifu Nape kajibu hapana.. jk aakasema Basi MWACHEN kijana akuze jina kisiasa.ila hakikisha unazunguka Tanzania nzima kuonyesha madaraja,shule na mengineyo...siasa za hoja ndo zinahitajika
CHADEMA na Wanaharakati wao wakikutana Space wanashikiana akili wanadanganyana tu huu upuuzi aliongea Lema huko Twita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom