Uchaguzi 2020 CHADEMA mkiweza kulinda kura ambazo Watanzania tutawapigieni, basi Ikulu ni yenu

Kura kutoka wapi? Chadema haiwezi kuchukua nchi kama itashindwa kuchukua majimbo 70% jua kwamba majimbo ambayo ccm imepita bila kupingwa chadema hawana chao.
na hii ndo sababu kuu ya kwa nini chadema na ACT wanatakiwa wajipange na wawajulishe wananchi kuwa ni wajibu wao kulinda kura zao watakazopiga. Kupita bila kupingwa ndo nini kama siyo usanii na uanamke? hii ni moja ya dalili kuu kuwa mpinzani mkuu wa cdm hana uwezo wa kushindana uwanjani bali kuhonga tu marefa na malaizimeni ili apendelewe kwa mpinzani wake kupigiwa filimbi za uongo za ofusaidi; kufurahikia tume ya uchaguzi isiyo huru na kuwadanganya watumishi wa umma wanaolipwa kwa kodi za watanzania wote hasa polisi kuwaumiza wananchi ambao ndo waajiri wao. ndivyo hivyo ilovyokuwa uchaguzi wa serikali za mitaa, ndivyo ilivyokuwa mwaka 2015 ambapo hata mhusika mkuu nape ametangaza hadharani kuwa ccm haikushinda kihalali bali iliiba kura. na mwaka huu pia mwenyekiti wa ccm katangaza hadharani kuwa CCM hata wakishindwa watangazwe kinguvu, haya yote ni ushahidi tosha na inajenga uhalali wa wananchi kulinda kura zao.

CDM ACT na wapimzani wote anzeni na hili kuitaka Tume iwarudishe wagombea wenu wote ili sanduku la kura liamue, msikubali ujinga eti wa kupita bila kupingwa, upuuzi huo, mtu unapita bila kupingwa wee nani wewe?!! umekuwa Mungu wewe? acheni uoga nyie ccm.

Mwaka huu tunataka Mshindi halali tu ndiyo atangazwe awe CCM awe chadema au ACT.
 
CDM mnamuona mshindani wenu alivo muoga kila inapozungumziwa ishu ya wananchi kukataa uchakachuwaji wa kura? mnamuona lakin? hapa ndipo pekee wanapopategemea kwa sasa. CDM ACT mkiachia hili tobo hapa mmekwisha mapema asubuhi.

Ndugu Lisu umesema wananchi wakishapiga kura wasubiri matokeo vituoni, sisitiza hilo kwa nguvu zote kila saa kila siku, ni la muhimu mnooooo.
Haina tabu ilimradi wakichezea kichapo Lisu awe mbele kuwaombea pesa ya matibabu
 
Tuwachague halafu baadae mwende kuunga mkono juhudi sijui za nani, hapo ndo mtatutambua.
 
Hapo nakurekebisha katika dhama hizi za demokrasia huwezi kusema chama Fulani hakina watu si kweli hata kidogo,kuna kutofautiana idadi kabla ya mfumo wa vyama vingi,huwezi kuniambia kwamba idadi ya wapiga kura ni sawa na katika majimbo ni sawa na idadi ya wanaokuja kwenye kampeni,na sio kila anayekuja kwenye mikutano ya kampeni anaweza kukupigia kura na ukiangalia kwa namna mikutano inavyofanyika imetofautishwa kwa makusudi kuna kitu ambacho wengi hawakioni mikutano ya magu inaanzia asubuhi mpaka mwisho SAA kumi na mida hii vijana wengi watafutaji uwa kwenye miangaiko yao ya ridhiki .

chukulia watu wengi jamii ya vijana huwa huko lakini wapo wengi wanaokubali utendaji wa magufuli na wakati huo lisu yeye anaanzia asubuhi kuzunguka na kutoa matangazo alafu mikutano unaanza SAA 10:00 jioni maofisi na sekta binafsi wengi wameshamaliza shughuli zao wamerudi nyumbani na kula chakula alafu wanaelekea kupoteza muda jua lizame na kusikiliza Sera za huyu aliyerudi na bajaji,hivyo watu ambao wako majumbani ni wengi kuliko waliojitokeza kwe mikutano na hali hii huwezi kuitafsili kwamba Fulani ndio ananafasi ya kushinda

Jjambo jingine la kukuweka sawa ni kuwa nchi zote ambazo upinzani ulishinda Dora kwa Mara ya kwanza lazima kuna mazingira ambayo mkono wa nchi za nje,uasi,na kutokuelewana kwa wanaotawala na pia kuungana kwa vyama pinzani sasa hapa ndipo kwenye mtiti lazima ieleweke kuwa uchaguzi umegharamiwa na serikali 100%,hapa huwezi kuleta uchokozi wakati ujaweka hata mia pia wananchi wachache wa miji mijini ndio kwenye ushabiki na ni ngumu kuelewa kama anacho kichinjio au lah,hitimisho ni kuwa walinde kura wasilinde magufuli atashinda kwa 80%.
 
Ili upinzani kukubali matokeo lazma mambo kadhaa yafanyike na Tume:

1: Lazma mawakala wa vyama wshiriki kuhesabu kura pasipo vitisho na mtu ama taasisi yeyote

2: Lazma baada ya kuhesabu kura wapewe nakala ya matokeo ya vituo vyao Mara tu ya baada kumalza kuhesabu na wasaini

3: Baada ya kusaini lazma matokeo yote kwa kila kituo yabandikwe kwenye bodi za vituo ili wapga kura waone matokeo ya Kaz yao.

Hapa kutakua na check and Balance hata Chama kikilalamika kuibiwa kura..vingnevo kuna Chama hakitakubali kushindwa!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app

Sheria ya Uchaguzi ndivyo inavyosema. Lakini kwa vile NECCM Tume ya Uchaguzi ya CCM huwa inapata MAELEKEZO TOKA JUU ndo maana Kuna Ukiukwaji mwingi wa Sheria na Kanuni za Uchaguzi ili KUIBEBA CCM?

Kumbuka ule usemi wa Nnape Nnauye: USHINDI WA GOLI LA MKONO.
 
Na hii ndo sababu kuu ya kwa nini chadema na ACT wanatakiwa wajipange na wawajulishe wananchi kuwa ni wajibu wao kulinda kura zao watakazopiga. Kupita bila kupingwa ndo nini kama siyo usanii na uanamke? hii ni moja ya dalili kuu kuwa mpinzani mkuu wa cdm hana uwezo wa kushindana uwanjani bali kuhonga tu marefa na malaizimeni ili apendelewe kwa mpinzani wake kupigiwa filimbi za uongo za ofusaidi;

kufurahikia tume ya uchaguzi isiyo huru na kuwadanganya watumishi wa umma wanaolipwa kwa kodi za watanzania wote hasa polisi kuwaumiza wananchi ambao ndo waajiri wao. ndivyo hivyo ilovyokuwa uchaguzi wa serikali za mitaa, ndivyo ilivyokuwa mwaka 2015 ambapo hata mhusika mkuu nape ametangaza hadharani kuwa ccm haikushinda kihalali bali iliiba kura. na mwaka huu pia mwenyekiti wa ccm katangaza hadharani kuwa CCM hata wakishindwa watangazwe kinguvu, haya yote ni ushahidi tosha na inajenga uhalali wa wananchi kulinda kura zao.

CDM ACT na wapimzani wote anzeni na hili kuitaka Tume iwarudishe wagombea wenu wote ili sanduku la kura liamue, msikubali ujinga eti wa kupita bila kupingwa, upuuzi huo, mtu unapita bila kupingwa wee nani wewe?!! umekuwa Mungu wewe? acheni uoga nyie ccm.

Mwaka huu tunataka Mshindi halali tu ndiyo atangazwe awe CCM awe chadema au Act.
CCM inapita kihalali, subirini aibu ya karne, tungeogopa kama chadema kungekuwa na akina Marando, Baregu, slaa, pro Kahigi.Lakini hao viongozi wenu wa sasa duu, poleni maana kipigo mtakachopata hamtasahau.By the way hadi sasa ushindi wa ccm ni 85%, tunatafuta only 10%. Round two inakuja kuanzia jana na bado zingine 4rounds.
 
na hii ndo sababu kuu ya kwa nini chadema na ACT wanatakiwa wajipange na wawajulishe wananchi kuwa ni wajibu wao kulinda kura zao watakazopiga. Kupita bila kupingwa ndo nini kama siyo usanii na uanamke? hii ni moja ya dalili kuu kuwa mpinzani mkuu wa cdm hana uwezo wa kushindana uwanjani bali kuhonga tu marefa na malaizimeni ili apendelewe kwa mpinzani wake kupigiwa filimbi za uongo za ofusaidi; kufurahikia tume ya uchaguzi isiyo huru na kuwadanganya watumishi wa umma wanaolipwa kwa kodi za watanzania wote hasa polisi kuwaumiza wananchi ambao ndo waajiri wao. ndivyo hivyo ilovyokuwa uchaguzi wa serikali za mitaa, ndivyo ilivyokuwa mwaka 2015 ambapo hata mhusika mkuu nape ametangaza hadharani kuwa ccm haikushinda kihalali bali iliiba kura. na mwaka huu pia mwenyekiti wa ccm katangaza hadharani kuwa ccm hata wakishindwa watangazwe kinguvu, haya yote ni ushahidi tosha na inajenga uhalali wa wananchi kulinda kura zao.

CDM ACT na wapimzani wote anzeni na hili kuitaka Tume iwarudishe wagombea wenu wote ili sanduku la kura liamue, msikubali ujinga eti wa kupita bila kupingwa, upuuzi huo, mtu unapita bila kupingwa wee nani wewe?!! umekuwa Mungu wewe? acheni uoga nyie ccm.

Mwaka huu tunataka Mshindi halali tu ndiyo atangazwe awe ccm awe chadema au Act.
Kura zinalindwa na wakala wako, wewe nani ulinde kura, kazi yako ni kupiga kura. Mahakama ilishaamua tangu 2015, piga kura nenda kwako.Mwaka huu mtajuta kumfahamu JPM
 
1600175280746.png
 
Tume ya uchaguzi imezidiwa mbinu mpaka na vyama kwa mfano ccm, uwazi walijitaidi kura za maoni. Hii tume zeero
 
HAKI HUINUA TAIFA.

Nimekupa Kazi.
Nimekupa Nyumba.
Nakulipa Mshahara.
Nakulipa posho
Nakupa Mshahara.

Unakwenda kumtangaza mpinzani iii.

"Tunarais wa Ajabu Ajabu Ajabu haijawahi kutokea".
Tundu lissu

Kauli hii ni UKIUKAJI MKUBWA WA HAKI NA MISINGI YA UTAWALA WA SHERIA. Mimi nashauri hivi: KAMA CCM WATASHINDA SAFARI HII BASI VYAMA VYOTE VYA UPINZANI VIFUNGUE KESI YA KUPINGA MATOKEO Nchi nzima na USHAHIDI UWE KAULI HII YA JOHN POMBE MAGUFULI....!!
 
Kauli hii ni UKIUKAJI MKUBWA WA HAKI NA MISINGI YA UTAWALA WA SHERIA. Mimi nashauri hivi: KAMA CCM WATASHINDA SAFARI HII BASI VYAMA VYOTE VYA UPINZANI VIFUNGUE KESI YA KUPINGA MATOKEO Nchi nzima na USHAHIDI UWE KAULI HII YA JOHN POMBE MAGUFULI....!!
Huku Majaji hao hao wa hio mahakama kesi inakopelekwa wakiwa wanalipwa Mshahara,posho,house allowance na huyo huyo Magufuli sio?

Sahau khs haki hapo mzee baba.
 
Kauli hii ni UKIUKAJI MKUBWA WA HAKI NA MISINGI YA UTAWALA WA SHERIA. Mimi nashauri hivi: KAMA CCM WATASHINDA SAFARI HII BASI VYAMA VYOTE VYA UPINZANI VIFUNGUE KESI YA KUPINGA MATOKEO Nchi nzima na USHAHIDI UWE KAULI HII YA JOHN POMBE MAGUFULI....!!
Makamanda mna feli wapi haswa kama mgombea wenu ni mwanasheria, hajawaeleza kuwa matokeo ya urais yakitangazwa na tume ndiyo finito?? poleni, basi habari ndiyo hiyo, kwanza JPM anaibuka na ushindi mnono, kama aliopata kwenye chama chake, tofauti ya huu uchaguzi anakwenda kuibuka na 95% victory pungufu ya 5% ya ushindi ndani ya ccm. Kama wewe ni mpenda maendeleo piga kura yako kwa JPM
 
HAKI HUINUA TAIFA.

Nimekupa Kazi.
Nimekupa Nyumba.
Nakulipa Mshahara.
Nakulipa posho
Nakupa Mshahara.

Unakwenda kumtangaza mpinzani iii.

"Tunarais wa Ajabu Ajabu Ajabu haijawahi kutokea".
Tundu lissu
Ukijua hivyo, kitu gani kinakupelekesha kuingia kwenye uchaguzi,huku hukijua huna nafasi?

Laiti kama wapinzania wangekataa kuingia uchaguzi hadi tume huru imesimikwa.

Lakini wapo waliojitosa kufanya siasa kwenye mazingira machafu wakitegemea miujiza.

Bangi ya ruzuku ndio udhaifu wa opposition.
 
Nafikiri kama tunaunga mkono kuiondoa madarakani CCM hii iliyochakaa, lazima tutambue hii si kazi ya CHADEMA pekee...tutumie wingi wetu, sisi sisi! Tukiiachia Chadema pekee hawataweza.
Kweli, hii ni kazi ya wananchi na sio Chadema kama kweli tunataka kumng'oa shetani na kazi zake zote.
 
Back
Top Bottom