Uchaguzi 2020 CHADEMA mkiweza kulinda kura ambazo Watanzania tutawapigieni, basi Ikulu ni yenu

ahahaaaaaa, uzuri huko Kilimanjaro kuna uhaba mkubwa sana wa mazuzu. huko watu wameanza kukombolewa kielimu enzi za kina Rebmann "anagundua" mlima Kilimanjaro miaka ya 1800 kweusi hukooo, hivi leo uwaletee utopolo wa ccm watakuelewa? mchezo mnaochezewa hapo mazee hamtaamini kwenye sanduku la kura...sera yao huko ni "kula" ccm lakin "kura" kama kawaida...jaza mwenyewe.

wachaga bana hao mangi walishajikomboa kifikra hao, kilichobaki sasa ni wao waungane na watanzania wengine wafanye kazi ya kuwakomboa na ndugu zao watanzania pia kifkira...moja ya faida kubwa ya Dodoma kuwa mji mkuu wa nchi ni kuwa baada ya miaka 5 tu wagogo nao watakuwa kama wazaramo wa dar...sababu jamaa wa migombani washatia timu huko dom kama zoteeeeee....na hao jamaa wa migombani nawaaminia, wakishatua tu mahali ni fayaaaaaaaaa mbaya kabisa..ni maendeleo tu mchakamchaka

Vita ingekuwa nyepesi kama ama wasomi au wafanyabiashara wangeemea upande mmoja, lakini makundi yote muhimu yako upande mmoja.

Kudhani ni kitu kizuri lakini ukweli ni kuwa msaada unahitajika sana sasa kuliko wakati mwingine wowote. Kinyume na haya ni kujidanganya.

Kujitambua ni pamoja na kujua hatari inayokuja mbele na sio kubaki zuzu kwa kushabikiwa.
 
Ila na nyie raia wa kigeni kutoka Ubelgiji mna vituko sana, kwa hiyo wale waangalizi wa kimataifa mliopigia kelele waruhusiwe hamuwaamini tena........
 
Ila na nyie raia wa kigeni kutoka Ubelgiji mna vituko sana, kwa hiyo wale waangalizi wa kimataifa mliopigia kelele waruhusiwe hamuwaamini tena........

Heri ya raia wa kigeni toka Ubelgiji kuliko Raia wa Kigeni toka Rwanda au Burundi.......ni shida!!!Majitu yanafikiri namna ya kutengeneza Genocide nyingine njini Tanzania...,!!!
Hatutakubali this time!
 
Yaani CCM kweli ni MAJAMBAZI...!!
Jamaa wamechukua magari ya Serikali na kuyapaka rangi za NZI WA KIJANI na kubadilisha PLATE NUMBERS yaonekana ni Mali yao!!
Pambaf zao!

Afu mtu anakuja kusema et anatumia pesa ndogo kisha wanatumia magari.....wale kwa siku wanatumia milion kadhaa hapo pole pole hajala
 
CHADEMA, na wapinzani wote kwa ujumla, kila dalili inaonesha nyie ni zaidi, mshindani wenu Mkuu CCM anaonesha kila dali ya uoga, kutokujiamini na kukata tamaa. Hana uwezo tena, anajishika na kila aina ya tawi mpaka matawi wasanii, matawi malori, matrekta, mabasi, kuhonga nauli bali hayo matawi kamwe hayaoneshi kufua dafu popote. Tawi pekee la kuwatisheni CHADEMA ni ile kauli ya mshindani wenu mkuu kuwa "nimekupa cheo mshahara mzuri halafu umtangaze mpinzani?! utanitambua"

CHADEMA ni Hiyo kauli pekee tu ndiyo ya kuishughulikia kwa sasa. Pangeni vizuri ishu za mawakala wenu, zichambueni vilivyo teknikalitizi za ujanja ujanja na wizi wa kura, tumieni kila mbinu halali ndani na hata nje ya nchi, msianzishe fujo lakini kamwe kamwe asilani msikubali tena kugeuza shavu la pili, msikubali tena kumwachia Mungu, watayarisheni vilivyo wapiga kura wote Bara na Visiwani, hata wanaccm ambao dalili zinaonesha wengi wao watakupigieni kura kisirisiri, wajiandae kukataa kura zao kuchakachuliwa na Tume isiyo huru ya uchaguzi. CHADEMA mkiweza hilo historia mpya inakwenda kuandikwa tarehe 24 Oktoba 2020.

Washirikisheni wananchi wote wa Tanzania na Pambaneni mpaka tone la mwisho. Wananchi wa Tanzania wapo nyuma yenu, nyinyi pamoja na ACT Wazalendo (kwa upande wa Zanzibar) ndo tegemeo letu pekee wana wa nchi hii lililobaki, tarehe 24 oktoba ni nafasi ya dhahabu (golden chance), itumieni vema.

Mungu ni mwema Wanamageuzi, kuna kila dalili nchi Itakombolewa Oktoba mwaka 2020.
..................................................................................halafu mkishindwa kwa kura, mkubali matokeo pia bila kuleta vurugu na visingizio vyovyote.
 
Akili inaanza kurudi baada ya kugundua kuwa vijana wa ccm wako wengi sana kuliko chama chetu?

Nafikiri kama tunaunga mkono kuiondoa madarakani CCM hii iliyochakaa, lazima tutambue hii si kazi ya CHADEMA pekee...tutumie wingi wetu, sisi sisi! Tukiiachia Chadema pekee hawataweza.
 
dili zimabana
Hivi mnaposema Chadema ni wapinga maendeleo mnatumia akili au kufuata upepo wa kauli za mropokaji wenu?
Hivi Chadema na CCM nani anawanachama na wafuasi wenye maendeleo binafsi, elimu na ukwasi?
Sasa iweje hao wenye hadhi hizo ndio wawe wapinga maendeleo ndio wenye nafuu ya maisha na hao kondoo wenu masikini ndio wapenda maendeleo?
Jiwe kawafanya wapumbavu sana
 
..................................................................................halafu mkishindwa kwa kura, mkubali matokeo pia bila kuleta vurugu na visingizio vyovyote.
tatizo mnatumia tume isiyo huru kuvuruga uchaguzi, mmeanza na kuwaondoa wagombea wa upinzani na huo unaonekana kuwa mwanzo wa utekelezaji wa amri ya kutowatangaza wapinzani hata wakishinda. kwa hiyo unataka mfanye dhulumu halafu wapinzani watulie tu kama makondoo?
 
Ukitaka kuona nyeti za nyumbu ,subiri upepo upulize hapo October ,28.

Itakuwa fundisho kwa wapinga maendeleo wote.
Mm huwa napata shida kidogo nachofikiri tafsiri ya upinzani kichwani mwa watu wengi wa ccm haija eleweka....

Katika vitu vinavyoleta migogoro katika jamii ambazo watu wake hawana ELIMU nzuri ya URAIA
Ni SIASA NA DINI

Mfano nchi inaongozwa KWA katiba....na viongozi wetu waliopo madarakani wali APA ku ilinda....Katiba ndio msahafu ama biblia pale inapo vunjwa wazi wazi WATU wasihoji?

Quoted from adolf Hitler aliwai kusema Kuna BINADAMU akili Zao hazifanyi Kazi sawa sawa Ni Budi akili kubwa iwasaidie kuwafanyia maamuzi
 
Hivi mnaposema Chadema ni wapinga maendeleo mnatumia akili au kufuata upepo wa kauli za mropokaji wenu?
Hivi Chadema na CCM nani anawanachama na wafuasi wenye maendeleo binafsi, elimu na ukwasi?
Sasa iweje hao wenye hadhi hizo ndio wawe wapinga maendeleo ndio wenye nafuu ya maisha na hao kondoo wenu masikini ndio wapenda maendeleo?
Jiwe kawafanya wapumbavu sana
Kichekesho: Wachaga wasomi na matajiri wamehamia CCM, kuna nini? Hali inayofanya Kushinda hata Udiwani kwa upinzani mwaka huu ni kama haiwezekani achana na ubunge.
 
tatizo mnatumia tume isiyo huru kuvuruga uchaguzi, mmeanza na kuwaondoa wagombea wa upinzani na huo unaonekana kuwa mwanzo wa utekelezaji wa amri ya kutowatangaza wapinzani hata wakishinda. kwa hiyo unataka mfanye dhulumu halafu wapinzani watulie tu kama makondoo?
Tume huru ikoje; umekuwa wimbo sana wa tume huru bila kuwa na definition halisi ya tume huru. Je ni alien fulani kutoka anga za juu ambaye hana uhusiano na mtu yeyote nchini?
 
Tume huru ikoje; umekuwa wimbo sana wa tume huru bila kuwa na definition halisi ya tume huru. Je ni alien fulani kutoka anga za juu ambaye hana uhusiano na mtu yeyote nchini?
sasa mkuu wangu kama hata hujui Tume huru ipoje kuna haja niendelee kujadiliana na wewe kweli?!!! inabidi nijiuñize mara mbilimbili kiwango cha uelewa na elimu yako
 
sasa mkuu wangu kama hata hujui Tume huru ipoje kuna haja niendelee kujadiliana na wewe kweli?!!! inabidi nijiuñize mara mbilimbili kiwango cha uelewa na elimu yako
Nina elimu kubwa sana ndugu yangu; tatizo ni kuwa walalamikaji wengi kama wewe hukimbilia kusema "tume huru" bila kujua maana yake bali kutumia maneno hayo kama scapegoat ya kulalamikia maamuzi ya tume ile. Maana halisi ya tume huru ni kuwa iko pale kwa mujibu wa sheria na inafanya kazi kwa mujibu wa sheria- yaani kuna sheria zinazotawala utendaji kazi wa tume ile. Wanachama wa tume hiyo ni watanzania wenzetu walioteuliwa kuwa kwenye tume hiyo kufuatana na katiba, na wanafanya kazi kwa mujibu wa katiba na sheria zilizopo. Sasa wewe unapoidscredit kuwa siyo tume huru maana yake ni kuwa haikuundwa kwa mujibu wa sheria bali ilindwa na mtu mmoja kwa manufaa yake tu na wala haifuati sheria za nchi. Kuna haja kubwa ya kuelewa unalodai kuliko kudai maneno tu. Kabla ya kufikia madai ya tume huru inabidi pia ufikirie pia kama tuna bunge huru na mahakama huru chini ya definition yako. Conclusion kuwa hatuna tume huru, ni mwendelezo wa kuwa hatuna mahakama huru na hatuna bunge huru, na hapo ndipo unapofikia kisiki; kwani maana yake ni kuwa hakuna structure katika uongozi wa nchi, jambo ambalo binafsi sikubaliani nalo.
 
Back
Top Bottom