CHADEMA mikutano ya hadhara kila siku inakera

Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.

Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.
Jakaya Kikwete wakati wa kampeni zake alitamka haya yafuatayo kwenye uwanja wa Majimaji Songea tarehe 10.10.2010;
1.Msihangaike na vyama vya msimu
2. Msihangaike na Photocopy wakati original ipo.
3.Hivyo ni vyama mnavyoviona wakati wa uchaguzi tu,ukiisha hamtawaona tena.Sisi tupo nanyi
Niulize iweje leo useme mikutano kila siku inachosha?Hivi si vyama vya wakati wa uchaguzi tu usihangaike.
Sisi wengine tunahitaji mikutano hiyo na 2015 tuthudhuria pia.
 
Hili ni gamba na linatokea moshi nafikiri kuna kiasi cha hela analipwa na wakina Nape. Wana bodi samahani kidogo ngoja niongee nae lugha ya jadi (wokya ukou ngilekuwiya iyo nu mtondo sana na ulashikye se mochi fyo ubadilike iwinyi m.k.w e. r. e neche kulya numa) nafikiri atakuwa amenielewa na atabadilika
Ni msisitizo tu!!!!
 
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.

Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.

Ndugu Makupa,

Mikutano ya CHADEMA ina madhumuni ya kueneza chama na misimamo yake nchi nzima ya Tanzania. Kwa hiyo kama wana uwezo wataendelea kila siku hadi mwaka 2015 ili kuweza kufikia vijiji na vitongoji vyote Tanzania. Hii nchi ni kubwa sana.

La muhimu ni kwamba kama wewe Makupa umeshahudhuria, huna haja ya kwenda tena, kama madhumuni ya mkutano hayakutangazwa yamebadilika. Labda kama wewe ni Mwandishi wa habari, basi utahudhuria upate la kuarifu Makao Makuu ya taasisi yako.

Wanaokerwa na mikutano ya CDM ni wale viongozi wa mafisadi na walanchi, kwa vile uovu wao unafichuliwa. Na hii ndiyo njia pekee na halali ya kueneza siasa m'badala katika nchi. WanaCDM wamesema "HAKUNA KULALA, MPAKA KIELEWEKE"!!!!!!!

Mimi nasema haya kwa kujiamini, nikiwa Muasisi wa CDM, Mwenyekiti Taifa mstaafu na Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu
 
Mikutano yenyewe haina jipya kila siku wanazungumza yaleyale ufisadi ufisadi ufisadi mpaka watu wamewachoka...hawana sera nyingine,hawasemi tukiwapa nchi watatusaidia vipi 2pate maendeleo...
Ndio maana mikutano yao inajaa Arusha na Moshi pekee,kwingine huwa wanakosa watu kabisa.

wewe nae hata hujitambui! eti mtoto wakishua?
 
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.

Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.

Ungekosa hamasa na hamu usingepoteza muda kuandika utumbo wooote huu. Sema mikutano ya CDM inatishia usalama wa tumbo lako.

Sasa nikwambie jamb bi shoga; yule mama yenu Hawa aliyekataliwa na watu wa Ubung karibia atawaponza akishirikiana na mahakama. Endapo uchaguzi wa ubung utarudiwa ishu haitakuwa CCM kushindwa tena, hilo ni GIVEN FACT lkn bao mtapigwa kwa kukimbiwa na wanachama. Dr.Slaa hakupata wasaa wa kuhutubia vijana wa Ubungo wakati wa uchaguzi mkuu 2010, sasa ndio mnamkaribisha aje kumwaga sumu. Madiwani na wanachama wooote wenye akili watahamia AIRTEL
 
Hivi CCM leo wanaweza kuitisha mkutano wa hadhara na wapate watu wa kuwasilikiliza?, mwaka huu ni uchaguzi wa ndani kwa CCM hapa ninapoishi fomu za kugombea uongozi kwenye tawi la CCM mpaka siku ya mwisho ya kuchukuwa na kurudisha fomu wagombea wote hawana wapinzani na la kuchekesha zaidi hakuna mgombea aliyejitokeza kugombea nafasi ya ukatibu.

Hivi katika mazingira haya unaweza kusema kwamba CCM bado ni chama? ni kwa nini nafasi zote wagombea hawana wapinzani? hii siyo hadithi ni ukweli wa dhati maana mgombea uenyekiti ni mtu wa viti virefu mwenzangu tumemcheka sana jana na kumkejeri sasa inakuwaje yeye mpaka leo hajui kama CCM ilishakufa?
 
Tanzania ni kubwa sana,CDM wanajitahidi kuwafikia wananchi wote kwa mikutano ya hadhara,maandamano etc,hiki siyo chama cha msimu. M4C daima mbele,
 
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.

Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.

Bora wewe unayechoshwa na mikutamo na kuamua kupost status. Kuliko sie tunaochwa na utawala WA kidhalim, ubadhilifu WA Mali ha uma pamoja na ufisadi uloenea kila nyanja ya uongozi na kila hatua aichkuayo kiongozi WA nchi hii. Safari za kila siki zisizo za msingi, posho za kujinufaisha nakadhalika.
 
Ndugu Makupa,

Mikutano ya CHADEMA ina madhumuni ya kueneza chama na misimamo yake nchi nzima ya Tanzania. Kwa hiyo kama wana uwezo wataendelea kila siku hadi mwaka 2015 ili kuweza kufikia vijiji na vitongoji vyote Tanzania. Hii nchi ni kubwa sana.

La muhimu ni kwamba kama wewe Makupa umeshahudhuria, huna haja ya kwenda tena, kama madhumuni ya mkutano hayakutangazwa yamebadilika. Labda kama wewe ni Mwandishi wa habari, basi utahudhuria upate la kuarifu Makao Makuu ya taasisi yako.

Wanaokerwa na mikutano ya CDM ni wale viongozi wa mafisadi na walanchi, kwa vile uovu wao unafichuliwa. Na hii ndiyo njia pekee na halali ya kueneza siasa m'badala katika nchi. WanaCDM wamesema "HAKUNA KULALA, MPAKA KIELEWEKE"!!!!!!!

Mzee Edwin Mtei,

vipi kuhusu maandamano ya nchi nzima kupinga tume ya katiba kujazwa waislamu tunafanya lini??

Maana MKWEO hadi leo ajazungumza lolote,sasa atujui 'kakupuuza' au vipi.
 
Last edited by a moderator:
Mmmh! Wewe una mtazamo hasi na chama chetu hivyo kama umeshindwa kuendana na kasi yetu ya mabadiliko ni bora uachie ngazi mapemaaaaaaaaa,mabadiliko hayawezi kuja kama utakaa mbali na Umma,achia ngazi wangu!
 
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.

Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.

Je unaelewa maana ya kukijenga na kukiimarisha chama?
 
Wewe inawezekana ni gamba tu. Kama hauko Babati njoo uone hii nyomi ya halaiki ya kihistoria. Wananchi wamekuja toka sehemu mbali mbali za mkoa wa manyara na beyond kuwasikiliza makamanda wa CDM (bila kuletwa na malori). Kama hawa wananchi wangekuwa wanakerwa wasingekuja. Sema unachosema mbele ya hii halaiki wakugawane hadi pasiwepo cha kuweka mahali pema peponi (kama papo kwa watu kama wewe). Njoo hapa babati sasa hivi! Njoo!
 
Wabunge wanawake wa CHADEMA wamelala sana tena usingizi fofofo hawana hata plan ya kuwahamasisha wanawake bora ya Chiku Abwalo huyu kazi zake huko Iringa zinaonekana wengine hamna kitu
sasa ndugu yangu Mende, unayaju ya Chiku kwasababu Iringa ni kwenu,
Ya Musoma utayajilia wapi?
 
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.

Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.
narrow minded.
 
Hujitambui ulipo!

sokwe.jpg

Mzee Edwin Mtei,

vipi kuhusu maandamano ya nchi nzima kupinga tume ya katiba kujazwa waislamu tunafanya lini??

Maana MKWEO hadi leo ajazungumza lolote,sasa atujui 'kakupuuza' au vipi.
 
Siku za hivi karibuni kumejitokeza wimbi la wabunge wa cdm kufanya mikutano ya hadhara sehemu nyingi za nchi, nakubaliana na ukweli ya kwamba cdm imepata umaarufa hasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.

Ninachoaasi viongozi cdm na wafuasi wao ni kwamba binadamu yoyote ana hulka ya kukosa hamasa na kitu chochote hasa baada ya kuwa na mazoe na kitu husika, rai yangu ni kwamba hii mikutano ya hadhara mnayofanya imeanza kuwachosha wananchi na sitashangazwa na cdm kukosa kabisa wasikilizaji ama wahudhuriaji wa mikutano yao 2015.

Uko sahihi kabisa mkuu, I agree 100 %, si unaona jinsi ccm walivyochokwa... miaka 50 si mchezo mkuu.
 
Mzee Edwin Mtei,

vipi kuhusu maandamano ya nchi nzima kupinga tume ya katiba kujazwa waislamu tunafanya lini??

Maana MKWEO hadi leo ajazungumza lolote,sasa atujui 'kakupuuza' au vipi.

Mheshimiwa Judi wa Kishua,

Nakuomba usome tena mchango wangu juu ya Tume ya Katiba. Hakuna mahala popote nimesema CDM wapinge na tuendelee na maandamano, eti kwa vile Tume ina Waislamu wengi.

Nilisisitiza kuwa J.K. alizingatia Katiba ktk kuteua Wajumbe. Katika conclusion nilishauri kuwa hata baada ya kupata Katiba Mpya, itabidi Tanzania iendelee na mjadala ili demokrasia ya kweli iweze kupatikana nchini mwetu. Kuna rafiki yangu mmoja amenipigia simu akisema kwa sasa tutaendelea kuwa na mfumo ambao "The tail wags the dog, rather than the dog wagging the tail".
 
Back
Top Bottom