Chadema (Mbowe): We recognise the president

Chadema (Mbowe): We recognise the president

Lugha ni tatizo, lets try to convey the message as said not otherwise:redfaces:
 
Mimi nadhani hapa ukumbini tunapaswa kuwa tunaleta mada na kuzijadili kwa misingi ya facts na sio ushabiki.

Sijaona tatizo la ujumbe wa Mbowe maana tangu mwanzo walisema "raisi ni raisi maana ameshawekwa madarakani na hawana njia ya kupinga hilo" ila "wanakataa matokeo yaliyomuingiza madarakani" hili ndilo hata Dr Slaa alilisema wazi....njia pekee ya kumkataa "mteule wa CCM na NEC ni kwa stail ya PEPOPLE POWER.

Hivyo basi, sijaona mbowe anapoomba samahani na sitatarajia waombe samahani. Messege is already sent and delivered ndani na nje ya nchi na kwa watu woteeee....

Their walk out was very strategic, i salute them.

LONG LIVE PEOPLEs POWER

Walatini na waroma wansema "Vox pupul vox dei =sauti ya watu sauti ya Mungu!


U said well, people had very hard minds to analyse issues, ulichokisema hapo juu was exactly msimamo wa CHADEMA tangu mwanzo, wanapinga matokeo yaliyomweka JK madarakani na wanataka katiba na NEC ijengwe upya iwe huru, people just rush into title na na hawajui gazeti gani au nani kaweka ile title, watu wengi nashindwa kuelewa hadi sasa hawajajua msimamo wa CDM, na hawa ni washabiki wa CCM wanakurupuka as usual kama viongozi wao wote, they never think....!!! & funny enough even they know the truth wanapindisha ukweli kwa kuongela Udini, au uongo tofauti yaani wana laana kuu CCM, na JK ndio mdini saaaana, na inawafaidi wajinga wengi, & wengi wao walio CCM na wanao support ni wajinga almost all 95% go & search a single day utajua.
 
Jamani watu mtakuja kuwa heart broken... CHADEMA is a Farce..
 
Madai ya CDM hayajawahi kubadilika tangu mwanzo, ila nadhani tunasumbuliwa na uelewa na Tafsiri za maneno. They said from the beginning kuwa:

Hawana mahali pa ku challenge matokeo ya Rais akishatangazwa na hiyo ni katiba ya nchi and therefore wanataka yafutayo
Tume huru ya uchungzu wa uchaguzi wa 2010
Katiba Mpya ya Nchi
Tume huru ya uchaguzi ili makosa haya yasijirudie 2015
Tangu mwanzo haya mambo wameyasimamia nami nawaunga mkono ila sisi tunahangaika na tafsiri za maneno kila siku na kuupotosha Umma
 
Na bado mambo hayajanoga.

Dr wa kweli kashasema bado anajipanga na akija, basi atakuwa kamilikamili.

Atawaonyesha watu wa mataifa yote duniani jinsi wizi ulivyofanyika na sababu hasa ya wao kutoka nje.

Hapo ndiyo itakuwa ni KULIA na KUSAGA MENO. Watu watakuwa hawagusi Ulaya maana huko sasa ni moto.

Waandishi wa habari huko si kama Tanzania ndiyo hawa akina SELEMANI.....

90cart01102006oo6.jpg
 
Madai ya CDM hayajawahi kubadilika tangu mwanzo, ila nadhani tunasumbuliwa na uelewa na Tafsiri za maneno. They said from the beginning kuwa
Hawana mahali pa ku challenge matokeo ya Rais akishatangazwa na hiyo ni katiba ya nchi and therefore wanataka yafutayo
Tume huru ya uchungzu wa uchaguzi wa 2010
Katiba Mpya ya Nchi
Tume huru ya uchaguzi ili makosa haya yasijirudie 2015
Tangu mwanzo haya mambo wameyasimamia nami nawaunga mkono
ila sisi tunahangaika na tafsiri za maneno kila siku na kuupotosha Umma

Hayo mambo ya msingi kabisa, na mimi nawaunga mkono katika madai hayo yote.

Ila, wanapanga kuyadai hayo kivipi? Na walifikiri kutoka bungeni kungewasaidia vipi katika madai haya?
 
Hii habari kwani ni mpya? Kuna mtu alikuwa hajui hayo aliyoongelea Mbowe hapo au ndio mmewaletea hao walioelewa vibaya?
hamna cha kudiscuss hapa....:whoo:
 
Chadema: Tuko tayari kukaa mezani na serikali

Sunday, 21 November 2010

dogombooo.jpg

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe

Mwandishi Wetu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kipo tayari kukutana na serikali, chama au taasisi nyingine yoyote itakayotaka kujadiliana kuhusu hatua yao ya kutoyatambua matokeo ya uchaguzi wa urais na madai yao ya katiba mpya.

Katika tamko ambalo halijawahi kutokea kwenye siasa za Tanzania, Chadema ilitangaza kuwa haitambui matokeo ya uchaguzi wa rais kwa madai kuwa taratibu nyingi zilivurugwa kwa lengo la kumbeba mgombea wa chama tawala na ilidhihirisha msimamo wao wakati wabunge wa chama hicho walipotoka kwenye ukumbi wa Bunge mara baada ya Rais Jakaya Kikwete kuanza kuhutubia.

Lakini jana mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliiambia Mwananchi kuwa wako tayari kukaa meza moja na serikali au taasisi ambayo wataiona kuwa inaweka mbele maslahi ya taifa ili kujadiliana nayo kuhusu msimamo huo wa kwanza kuweka dhidi ya rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Msimamo wa Chadema umetolewa wakati mwandishi msaidizi wa rais, Premi Kibanga akikitaka chama hicho au Mbowe kufuata taratibu zilizopo iwapo wana lengo la kweli la kutaka majadiliano.

Kibanga alisema kuwa Mbowe, kama mwanasiasa na kiongozi wa kitaifa, anazifahamu taratibu na njia za kutumia iwapo anataka kukutana na serikali. Lakini mbunge huyo wa Hai alisisitiza kuwa hawangependa majadiliano yao ya serikali yachukue sura ya kisiasa kwa kuwa kufanya hivyo hakutafanikisha kufikiwa kwa lengo wanalolikusudia. "Lengo letu ni kuhakikisha kuwa tunalifikisha taifa hili mahali ambapo amani na utulivu utaendelea kuwepo.


Kati ya madai yetu yote hakuna jambo ambalo ni kwa ajili ya Chadema... tunayoyadai yatainufaisha CUF, CCM, vyama vingine vya siasa na wananchi wote," alisema. Hata hivyo, Mbowe alionya kuwa mazungumzo hayo yasitawaliwe na aina ya maoni yanayotolewa na viongozi kadhaa wa CCM, yakiwemo ya katibu mkuu wa chama hicho tawala, Yusuf Makamba na katibu wa itikadi na uenezi, John Chiligati. "Hawa wameonekana kuzungumzia suala hili kisiasa zaidi wakati lengo letu sisi si kupiga siasa. Angalia hata mambo wanayosema eti tutaleta hoja ya kuwafukuza Chadema bungeni... hoja kama hiyo haina msingi kwa sababu hawana ubavu kisheria wa kufanya hivyo," alisisitiza.

Alisema mazungumzo wanayoyalenga ni yale yatakayohakikisha kuwa madai yao yanafikiriwa kwa kina huku maslahi ya taifa yakiwekwa mbele. Alisema wanafurahi kuona kuwa kitendo chao cha kutoka bungeni wakati wa hotuba ya Rais Kikwete kimesaidia kuibua mjadala mzito nchini ambao iwapo utapewa nafasi ya kujadiliwa bila kuweka ushabiki wa kisiasa, nchi inaweza kupata mabadiliko makubwa siku za usoni.

Alitoa mfano wa wa watu kama waziri mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba na Jaji Mkuu Augustino Ramadhani ambao walikaririwa wakisema kuwa suala la kuwa na katiba mpya ni muhimu. "Maoni kama haya, ambayo yanatoka kwa watu wazito kama hawa, yanaonyesha kuwa kitendo chetu kimeamsha mjadala wa maana kwa taifa hili," alisema.

Alipoulizwa iwapo kitendo chao cha kutaka kukutana na serikali hakiathiri uamuzi wao wa kutotambua matokeo ya urais, alisema kuwa walishatamka tangu awali kuwa hawakatai kuwa kuna rais ingawa wanachopinga ni jinsi alivyopatikana. "Tunajua kuwa Kikwete ndiye ametangazwa kuwa rais, lakini tunachopingana nacho ni jinsi alivyoelezwa kuwa ameshinda katika uchaguzi... tunachokidai si kuwa uchaguzi urudiwe au kwamba Dk (Willibrod) Slaa atangazwe rais, la hasha. Tunalenga kuwa na mfumo bora siku za usoni ambao hautaacha shaka kwenye matokeo ya urais," alisisitiza.


Alisema ni hatari sana kuwa na sheria ambayo hairuhusu watu kuhoji matokeo ya kura za urais katika mazingira ambamo watu wengi wanaingia kwenye kinyang'anyiro hicho. Alisema kuwa sheria ya kukataza kuhoji matokeo ya urais ilitungwa wakati wa mfumo wa chama kimoja wakati kukiwa hakuna mgombea wa kutoka vyama vya upinzani. "Wakati ule Mwalimu Nyerere ndiye kila mara alikuwa mgombea pekee, alikuwa hashindani na mtu yeyote kwa hiyo hakukuwa na mtu wa kuhoji. Wenzetu hawa wameichukua sheria hiyo na kuileta kwenye mfumo wa vyama vingi. Hauwezi kuitumia sheria hiyo hiyo wakati huu wa ushindani," alisema.


Alisema iwapo matokeo ya uchaguzi wa ubunge na udiwani yanaweza kupingwa mahakamani, hakuna misingi ya kidemokrasia ya kukataza kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais. Alitaka serikali kuiga mfano wa Senegal ambayo ina mahakama ya katiba ambayo moja ya majukumu yake ni kusikiliza malalamiko yote kuhusiana na uchaguzi wa rais na kiongozi mpya wa nchi haapishwi hadi mahakama hiyo imethibitisha matokeo hayo. Alisema pamoja na madai ya katiba mpya, madai yao mengine ambayo wangependa yajadiliwe iwapo watakutana na serikali ni kuundwa kwa tume huru itakayochunguza matukio yote kuhusu uchaguzi wa rais.

Alisema kwa mazingira yaliyopo, tume hiyo inaweza kuundwa na Rais Kikwete lakini kwa kuwachagua watu makini ambao wanaheshimika nchini. "Watu kama hao wapo wengi tu," alisema.

Alionya kuwa si vema tume hiyo ikachukua mrengo wa kisiasa kwani kufanya hivyo kunaweza kupotosha majadiliano. "Kuna nafasi ya Chadema au CCM kuunda tume hiyo, lakini itaonekana kuwa ni ya kichama zaidi. Pia kuna nafasi ya Bunge kuunda tume, lakini Bunge nalo lina wanasiasa ambao wana maslahi kutoka katika vyama vyao. Hii ndiyo maana tunashauri rais anaweza kuunda tume hiyo lakini kwa kuhakikisha kuwa anawateua watu ambao wanaheshimika katika jamii ambao kila mmoja anajua kuwa wanajali zaidi maslahi ya taifa," alisema.
 
"Jasusi, hii barua yako ni FEKI sana maana inamaliza Mjadala ....... " Selemani na Mwiba (CUF, CCM, NCCR etc).
 
Mimi nimesoma magazeti mwananchi, the guardian na daily news nimeshtushwa na kauli ya Mbowe. Mimi nilihisi lazima atakuja kuilemba lemba kitendo cha kutoka nje ya bunge, moja wapo ni maslahi bainafsi na kupenda vya dezo ambayo ni kila nmwanasiasa hata kwa wale wasiona wanasiasa na wale ambao wanajifanya kuwa na misismamo mikali hata pata JF hasa wale wachadema.

Mbowe baada ya kupata habari kuwa CCM itapeleka hoja ya kuwatoa katika uongozi wa upinzani,
  • ameogopa kukosa gari ambalo halina namba limeandika KUB ambalo ni ishara ya 'ukubwa' kila takapo pita
  • pamoja na dereva
  • atakosa ofisi kubwa tu aliyopewa na
  • wafanyakazi na stationaries
Vyote hiyo kwa gharama ya mlipa kodi na marupurupu kibao yanayoendana na nafasi hiyo. Kama ambavyo mawaziri wanavyotanua. Pamoja na kwamba yeye kama F. Mbowe anapesa za kumtosha lakini hana tofauti na wanasiasa wengine wanaopenda ukubwa na marupurupu yake.

Nilijua na niliona ni kiini macho kumkataaa rais wakati unaendelea kutumikia bunge ambalo rais ni mmoja wa wabunge kulingana na katiba ya jamhuri ya muungani wa tanzania,
Unamkataa rais wakati unaendelea kula posho na kuchukua magari ya ubunge. Kweli ilikuwa danganya toto, sasa Mbowe anasema hawamkatai rais ila walitaka tu kupeleka ujumbe basi hivyo wanataka waongee na serikali ya Dr. Jakaya Kikwete wayamalize mapema ili CCM wasije kuwaondoa kwenye uongozi wa upinzani maana tayari mbowe ameunda baraza la mawaziri kivuli anasuburi tu Rais JK atangaze la kwake nayeye afanye mabadiliko kidogo kulingana na Rais JK alivyounda wizara zake.

Ama kweli siasa ni kiini macho kikubwa, wakereketwa wa chadema wenye kupinga kila kitu ambacho hakiendani na chadema ama kinaelekea upande wa ccm baadhi yao hawaamini na watakuja na kauli kali na wale wa kutukana kwa kukosa ustaarabu watatukana ila ukweli ubaki pale pale "never trust a politician" they always change and refine statments to justify their interests and keep on saying " we do not have permanent enemy or friend, "your big enemy in the morning will turn to be a big friend in the afternoon."


Mimi nina uhakika wewe hasa in particular umeelewa statement ya Comred Mbowe. Sioni kasoro yoyote ya kupingana na maelezo yake. Kama kupewa posho sio CCM wanampa posho, kitendo ambacho hakiwezekani.


Kama ni marupurupu wanastahili wote bila kujali chama, maana wametumwa kuwakilisha wananchi wa majimbo yao.Bunge ni chombo cha wananchi kulingana na katiba cha kutunga sheria za nchi, si chombo cha serikali.(Ingawa maelezo mazuri zaidi yatapatikana tukiwa na katiba mpya yenye ufafanuzi wa kina maana ya bunge) Hayo marupurupu yanayo kutoa roho ni fedha za walipa kodi wa Tanzania, hazitoki kwenye mfuko wa Raisi, ni kodi zetu!

Jitahidi uelewe nini CHADEMA walielezea dunia kwa vitendo. Kazi kubwa ya upinzani wa chadema ni kupambana na umasikini wa Tanzania. Unaosababishwa na serikali ya kifisadi ya SISIEM inayo firisi taifa kwa sera mbovu za kiuchumi zenye mlengo wa kiwizi.

Umeelewa Ndg yangu, we are sailling in the same boat, do you have altenative source of income to overcome this demonic type of corrupt economic system?

We are fighting for the future of our country free from this corrupt type of leadership SISIEM. Funguka uelewe labda kama una maslahi na hawa jamaa. UBARIKIWE.
 
Selemani,

Facts please. Slaa was not in Dodoma. Are u sure Slaa na Mbowe pushed for it? Wabunge wana maamuzi katika mambo yanayohusu utendaji ndani ya Bunge kwa kufuata msimamo wa Chama. Nadhani kuna contradiction mahali,kama walipiga kura, walio wengi wakashinda, kuna swala la fulani ku "push".

Ni vema tukajadili kukiwa na facts lakini kwa kuzingatia misingi ya demokrasia yenyewe.
 
na bado mambo hayajanoga.

Dr wa kweli kashasema bado anajipanga na akija, basi atakuwa kamilikamili.

Atawaonyesha watu wa mataifa yote duniani jinsi wizi ulivyofanyika na sababu hasa ya wao kutoka nje.

Hapo ndiyo itakuwa ni kulia na kusaga meno. Watu watakuwa hawagusi ulaya maana huko sasa ni moto.

Waandishi wa habari huko si kama tanzania ndiyo hawa akina selemani.....

90cart01102006oo6.jpg

gado hiyo poa sana. Umeeleweka. Nadhani jamaa wamekusoma.
 
Selemani,

Facts please. Slaa was not in Dodoma. Are u sure Slaa na Mbowe pushed for it? Wabunge wana maamuzi katika mambo yanayohusu utendaji ndani ya Bunge kwa kufuata msimamo wa Chama. Nadhani kuna contradiction mahali,kama walipiga kura, walio wengi wakashinda, kuna swala la fulani ku "push".

Ni vema tukajadili kukiwa na facts lakini kwa kuzingatia misingi ya demokrasia yenyewe.
Thank you Dr. Huyu Selemani anapenda kukurupuka kuonyesha kuwa viongozi wa CHADEMA ni a joke, kama alivyowahi kusema elsewhere hapa JF.
 
Selemani is a joker, for starters nadhani mara kadhaa ameshatoa hints yeye ni nani.
 
"In short, it was a decision reached by consensus of all people who attended the planning meeting," noted Chadema leader. (Kwa hiyo Zitto muongo au?)
kama SELEMANI kasema uongo je ? Domonic Nkolimwa naye ni muongo Hoja ni kweli kuna baadhi ya wabunge waliotoka Bungeni wakati Rais anahutubia Bunge? basi tukae kimya Februari 8 /2011 si mbali adhabu yake ipo. Tutabishana tutatukanana ukweli upo palepale walitoka Bungeni na wengine hawakuhudhuria
kuanza kumtafuta mchawi au Zitto mbaya sasa yatajionyesha, hakuna mtu asiyetaka posho na mashangingi hata kama wewe ni tajiri UTUKUFU una raha zake. nilishasema wabunge wote wana-kuwa ndugu na posho watadai hata zaidi hata watakaopinga wakipewa hawatakataa tulioko pembeni tunyamaze au tukagombee kuingia Bungeni
 
Msipotoshe uma jamani CHADEMA haikatai kuwa Baba Jizi ONE ni rais wa NEC ila CDM inapinga wizi wa kura unaomfanya JK aendelee kukaa Ikulu
 
Mtu kama Selemani namwelewa na msimamo wake lakini Kiranga siyo tu kwamba simwelewi bali haeleweki. Kila mtu anajua kuwa Tanzania hivi sasa tunaye Raisi na hapa hakuna ubishi uwe Chadema, CCM, CUF au Kiranga. Kinachogomba ni namna Raisi huyo alivyopatikana na kwa kuwa hakuna namna ya kuhoji hilo, Chadema wanasema hawatambui alivyopatikana kwa vile wizi wa wazi ulimwingiza madarakani.

Hebu tuchukue mfano rahisi. Jambazi kaingia nyumbani kwangu na kwa kutumia vitisho kaniibia kila kitu na ushahidi upo wazi. Kwa bahati mbaya huyu mwizi ana kinga ya kikatiba inayomlinda asiweze kufunguliwa kesi. Kwa sababu anayo nguvu inayonifanya nisiweze kumchukulia sheria mkononi kama kibaka, naamua kupambana na sheria inayompa nguvu hizo. Chadema wameamua kuchukua msimamo huo.

Sasa anatokea Kiranga na kusema mimi ninayefanya hivyo ni mpuuzi akidai sina msimamo. Katika utetezi wa kipuuzi, huu wa Kiranga watia fora kwa sababu ama anataka nichukue bakora au niache sheria ichukue mkondo wake. Kwanza sote twafahamu kuwa siku za mwizi ni arobaini na bandu bandu humaliza gogo. Watu kama Selemani na mawazo yao mgando ni wa kupuuzwa kwani wameathirika zamani kimaadili.
 
Pole mleta mada!
the Guardian pia wamechakachua habari kidogo. nimejuaje? sikiliza
Ushabiki huu ndiyo alikuwa na chiligati hadi akatoa tamko bila kufikiria kwa mapana yake.
CDM tokea mwanzo wanasema rais akishatangazwa hakuna mtu wala chombo chochote chenye uwezo wa kuhoji matokeo hayo.
nimemsikia Mbowe radio WAPO FM asbh, ameeleza kwa makini sana kuwa tokea mwanzo wanamtambua rais ndo maana hata walkout walimfanyia yeye ili aone kuwa wanapinga mchakato uliomweka madarakani ambao kimsingi yeye ndiye Kiranja mkuu wa NEC na hata katiba ana uwezo wa kuanzisha mchakato na hatimaye kubadilishwa. wasingefanya hivyo kama hawamtambui au hawatambui madaraka yake.
kwa lugha nyingine ni sawa na rais aliyeingia madarakani kwa kupindua nchi..,mtamtambua kama rais ila aliyepatikana kwa mlango wa nyuma. akasisitiza ndo maana hawaombi uchaguzi urudiwe ila wanapambana tume huru iundwe kucunguza mchakato wa utangazaji matokeo na mwishowe tume huru ya uchaguzi iundwe na pia tuanze mchakato wa kuunda katiba mpya.

akafafanua pia azimio lao la kutoka bungeni kuwa wabunge zaidi ya robo tatu walikubaliana kutoka mara baada ya rais kuanza kuhutubia bunge na hii ndo demokrasia. haiwezekani katika watu zaidi ya 45 mkawa na mawazo yanayofanana kwa wakati mmoja ila baada ya kura ilibidi wote waafiki azimio hilo..kama ungeona 100% wameunga mkono basi hapo pana walakini...fuatilia uchaguzi wa SAdam husein kule iraq, alikuwa anapata kura very close to 100% je tuseme iraq ilikuwa democratic? kupingana kwa hoja inaruhusiwa kwenye chama cha demokrasia.
 
The backlash of Michezo ya kuigiza. We told you so. Mnataka kumfariji Dr. Slaa on expense of WaTanzania wote. Here is Mbowe.

Imeandikwa na: THE GUARDIAN

Dominic Nkolimwa

Chadema yesterday clarified that it recognised the elected president and blamed the public for misinterpreting its MPs walkout when the head of state was about to address the parliament.

"There is misinterpretation of facts regarding our stand...people did not understand what we meant when we staged a walkout as the President was delivering his speech in the Parliament," said Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, in an exclusive interview with The Guardian yesterday.


"The actions by Chadema MPs to walk out of the House did not mean we don't recognise the president and his government," added Mbowe.

The walkout that sparked off a public debate last week, according to the opposition leader, aimed to express their displeasures over presidential results announced by the National Electoral Commission (NEC).

He explained that the party has no intention of boycotting parliamentary proceedings, as MPs were elected by the people who expect a lot from them.


"We only wanted to express our dissatisfaction with the presidential results, which announced Kikwete as the winner. But we have no plans to snub subsequent parliamentary sessions. We continue attending sessions as per the procedures," said Mbowe.

He blamed the general public for misinterpreting their position, saying it was not true the party does not recognise the president and the present government.

"I am wondering where this myth came from. If we don't recognise the president and the government, we would have not participated in the election of the Speaker of the National Assembly and the endorsement of the Prime Minister, Mizengo Pinda," said Mbowe.

He said people confused Chadema's stance of not recognising the presidential results announced by NEC as not recognising the head of state.

"
We can't reject the president and his government while Tanzanians have accepted him to be their president. To show respect and recognition, Chadema legislators stood up when the president was entering the house, and later on walked out when he started reading his speech," said Mbowe, insisting: "the walkout did not violate any law."

He dismissed claims that Chadema legislators were pressed by their top leaders to walk out, insisting that it was a decision which was endorsed by the party and not an individual leader.


"MP Philemon Ndesamburo was not in Dodoma, Halima Mdee and John Mnyika
(Huu ni uongo) were sick when the party was discussing the walkout strategy. It's not true that Chadema MPs were pressed by top leaders to stage the walkout...it's not true that some MPs rejected the decision," said Mbowe.

"In short, it was a decision reached
by consensus of all people who attended the planning meeting," noted Chadema leader. (Kwa hiyo Zitto muongo au?)

Mbowe, reaffirmed the party's stand to continue pushing for constitutional reforms to allow the presidential results to be challenged in courts, establishment of an independent electoral body and the formation of a probe committee to investigate irregularities and related incidents that marred in the 2010 general election.

Recently, Chadema issued in a statement saying it does not recognize the presidential election results by NEC.

The party national chairman and official leader of Opposition in the parliament, Freeman Mbowe told journalists in Dodoma, that's the only way Chadema can react to the situation because of the bad laws instituted by the constitution.


"You will remember that before election results were officially announced, we told NEC to stop announcing the presidential results due to irregularities that had taken place during the whole process of election," local media quoted Mbowe.


MAONI YANGU:

I said it before, and I will say it again. Chadema hamko serious. Young bloods like Zitto and Mdee are feeling the incompetence of their leadership.

Naamini unapocomment hapa hutakiwi kudhani bali uwe na uhakika. Tambua kiini cha tatizo, ukitambua utapata jibu kwanini na ni nini CDM inahitaji katika ile walkout. Naamini hata Mr. President anaelew
 
Back
Top Bottom