kwa kweli chadema hawaeleweki, wanamtambua rais ila wanalaumu mbinu za kuingia kwake, sasa hapa wa kulaumiwa na kugomewa ni rais au NEC? Kwani ishu ya kwamba sheria ya nec ni mbovu si inajulikana?ishu ya katiba mbovu si inajulikana?ishu ya kwamba matokeo hayabadiliki si inajulikana?kwa nini wasingeshawishi wananchi wasusie kabisa uchaguzi? kama unaingia uwanjani huku unajua yule refa atapendelea wapinzani wako na atawaonea mchezoni ya nini uliingia kucheza?mkifungwa kwa nini upige kelele kuwa mmeonewa?
ni unafiki mtupu unatukabili watanzania
siku ya kwanza mliisusia NEC wakati wa Kutanzgaza matokeo, ok hilo laweza kueleweka lakini iweje mumsusie mtu ambae si mgomvi wenu?? kwani mgomvi wenu ni kikwete au NEC. Suala la mabadiliko ya katiba, linakuwa initiated na rais au ni nyinyi wabunge mnapeleka muswada bungeni?kama mnataka mabadiliko pelekeni muswa bungeni wakonvisini wabunge wa upinzani na CCM, ILI THELUTHI MBILI IPATIKANE na sheria ibadilike, otherwise, kumlaumu kikwete wakati yeye hatungi wala kurekebisha sheria bali wenye jukumu hilo ni ninyi, kwangu mimi sioni kama ni sahihi