Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
nilikuja na MADA MBOWE ANAJUA ANACHOKIFANYA? SIKU YA KU ENDORSE JINA LA PRIME MINISTER NA KUHOJI UMAKINI WA MWENYEKITI, ANAENDELEA KUJIDHIHIRISHA KWAMBA HAFAI MTASHANGAA SANA
Nadhani jukwaa hili kwa sasa linatupiana emotions baadaye tutasubiri hoja. To me, CHADEMA tried and they are trying. I congratulate them for daring. I am not interested in perfectionism. There is a great philosophy lies before us and yet it appears invisible to us, sad!
There is a difference between realizing nothing is perfect and embracing mediocrity.
Utaisusiaje NEC wakati NEC haijaenda bungeni kutoa hotuba ya ufunguzi? Kikwete ni product ya NEC na CHADEMA ilitaka kuonyesha kuwa things are not what they are supposed to be. Something is wrong somewhere. Na kwa hilo wamefanikiwa.Wajameni nimesoma hii habari bila kupata mantiki.
Assume rais kawekwa na NEC kwanini chadema walimsusia rais badala ya NEC? Na leo hii wanamtambuaje kama hawaitambui NEC assuming NEC ndio iliyomweka? CHADEMA MSITUKOROGE AKILI, semeni tu kwamba mlikosea na sasa mko tayari KUJIKAANGA KWA MAFUTA YENU WENYEWE.
Unamtambua mtoto lakini humtambui mzazi na kuonyesha humtambui mzazi unamkasirikia mtoto? Ukiulizwa kwa vipi unasema ati mtoto huyu ndio bosi wa mzazi. Sasa kama mtoto ni bosi wa mzazi kwanini umtambue mtoto na sio mzazi?
Wajameni nimesoma hii habari bila kupata mantiki.
Assume rais kawekwa na NEC kwanini chadema walimsusia rais badala ya NEC? Na leo hii wanamtambuaje kama hawaitambui NEC assuming NEC ndio iliyomweka? CHADEMA MSITUKOROGE AKILI, semeni tu kwamba mlikosea na sasa mko tayari KUJIKAANGA KWA MAFUTA YENU WENYEWE.
Unamtambua mtoto lakini humtambui mzazi na kuonyesha humtambui mzazi unamkasirikia mtoto? Ukiulizwa kwa vipi unasema ati mtoto huyu ndio bosi wa mzazi. Sasa kama mtoto ni bosi wa mzazi kwanini umtambue mtoto na sio mzazi?
Kikwete ni product ya NEC
Inabidi useme hivi: Kikwete ni Mzazi, kamzaa NEC na mtoto NEC kaja Kuchakachua ili baba yake awe tena RAIS.
"....If we don't recognise the president and the government, we would have not participated in the election of the Speaker of the National Assembly and the endorsement of the Prime Minister, Mizengo Pinda," said Mbowe.
Suala hili lilijadiliwa hapa na wana chadema (fanatics ambao ni wengi) bado kidogo watoke vipovu walipoelezwa kuwa kumhakiki Pinda ni sawa na kumtambua rais.
Labda sasa Bosi mkuu kasema wataelewa.
mahokahahahaha ahhahahaha hahaha teheteheheheheThe backlash of Michezo ya kuigiza. We told you so. Mnataka kumfariji Dr. Slaa on expense of WaTanzania wote. Here is Mbowe.
Imeandikwa na: THE GUARDIAN
The backlash of Michezo ya kuigiza. We told you so. Mnataka kumfariji Dr. Slaa on expense of WaTanzania wote. Here is Mbowe.
Imeandikwa na: THE GUARDIAN
Dominic Nkolimwa
Chadema yesterday clarified that it recognised the elected president and blamed the public for misinterpreting its MPs walkout when the head of state was about to address the parliament.
There is misinterpretation of facts regarding our stand people did not understand what we meant when we staged a walkout as the President was delivering his speech in the Parliament, said Chadema National Chairman, Freeman Mbowe, in an exclusive interview with The Guardian yesterday.
The actions by Chadema MPs to walk out of the House did not mean we dont recognise the president and his government, added Mbowe.
The walkout that sparked off a public debate last week, according to the opposition leader, aimed to express their displeasures over presidential results announced by the National Electoral Commission (NEC).
He explained that the party has no intention of boycotting parliamentary proceedings, as MPs were elected by the people who expect a lot from them.
We only wanted to express our dissatisfaction with the presidential results, which announced Kikwete as the winner. But we have no plans to snub subsequent parliamentary sessions. We continue attending sessions as per the procedures, said Mbowe.
He blamed the general public for misinterpreting their position, saying it was not true the party does not recognise the president and the present government.
I am wondering where this myth came from. If we dont recognise the president and the government, we would have not participated in the election of the Speaker of the National Assembly and the endorsement of the Prime Minister, Mizengo Pinda, said Mbowe.
He said people confused Chademas stance of not recognising the presidential results announced by NEC as not recognising the head of state.
We cant reject the president and his government while Tanzanians have accepted him to be their president. To show respect and recognition, Chadema legislators stood up when the president was entering the house, and later on walked out when he started reading his speech, said Mbowe, insisting: the walkout did not violate any law.
He dismissed claims that Chadema legislators were pressed by their top leaders to walk out, insisting that it was a decision which was endorsed by the party and not an individual leader.
MP Philemon Ndesamburo was not in Dodoma, Halima Mdee and John Mnyika (Huu ni uongo) were sick when the party was discussing the walkout strategy. Its not true that Chadema MPs were pressed by top leaders to stage the walkout its not true that some MPs rejected the decision, said Mbowe.
In short, it was a decision reached by consensus of all people who attended the planning meeting, noted Chadema leader. (Kwa hiyo Zitto muongo au?)
Mbowe, reaffirmed the partys stand to continue pushing for constitutional reforms to allow the presidential results to be challenged in courts, establishment of an independent electoral body and the formation of a probe committee to investigate irregularities and related incidents that marred in the 2010 general election.
Recently, Chadema issued in a statement saying it does not recognize the presidential election results by NEC.
The party national chairman and official leader of Opposition in the parliament, Freeman Mbowe told journalists in Dodoma, thats the only way Chadema can react to the situation because of the bad laws instituted by the constitution.
You will remember that before election results were officially announced, we told NEC to stop announcing the presidential results due to irregularities that had taken place during the whole process of election, local media quoted Mbowe.
MAONI YANGU:
I said it before, and I will say it again. Chadema hamko serious. Young bloods like Zitto and Mdee are feeling the incompetence of their leadership.
U said well, people had very hard minds to analyse issues, ulichokisema hapo juu was exactly msimamo wa CHADEMA tangu mwanzo, wanapinga matokeo yaliyomweka JK madarakani na wanataka katiba na NEC ijengwe upya iwe huru, people just rush into title na na hawajui gazeti gani au nani kaweka ile title, watu wengi nashindwa kuelewa hadi sasa hawajajua msimamo wa CDM, na hawa ni washabiki wa CCM wanakurupuka as usual kama viongozi wao wote, they never think....!!! & funny enough even they know the truth wanapindisha ukweli kwa kuongela Udini, au uongo tofauti yaani wana laana kuu CCM, na JK ndio mdini saaaana, na inawafaidi wajinga wengi, & wengi wao walio CCM na wanao support ni wajinga almost all 95% go & search a single day utajua.
U said well, people had very hard minds to analyse issues, ulichokisema hapo juu was exactly msimamo wa CHADEMA tangu mwanzo, wanapinga matokeo yaliyomweka JK madarakani na wanataka katiba na NEC ijengwe upya iwe huru, people just rush into title na na hawajui gazeti gani au nani kaweka ile title, watu wengi nashindwa kuelewa hadi sasa hawajajua msimamo wa CDM, na hawa ni washabiki wa CCM wanakurupuka as usual kama viongozi wao wote, they never think....!!! & funny enough even they know the truth wanapindisha ukweli kwa kuongela Udini, au uongo tofauti yaani wana laana kuu CCM, na JK ndio mdini saaaana, na inawafaidi wajinga wengi, & wengi wao walio CCM na wanao support ni wajinga almost all 95% go & search a single day utajua.
Madai ya CDM hayajawahi kubadilika tangu mwanzo, ila nadhani tunasumbuliwa na uelewa na Tafsiri za maneno. They said from the beginning kuwa:
Hawana mahali pa ku challenge matokeo ya Rais akishatangazwa na hiyo ni katiba ya nchi and therefore wanataka yafutayo
Tume huru ya uchungzu wa uchaguzi wa 2010
Katiba Mpya ya Nchi
Tume huru ya uchaguzi ili makosa haya yasijirudie 2015
Tangu mwanzo haya mambo wameyasimamia nami nawaunga mkono ila sisi tunahangaika na tafsiri za maneno kila siku na kuupotosha Umma
Kama hujui kinacholalamikiwa, ni bora hata usithubutu kuchangia. Kuna vielelezo lukuki vinavyoonyesha kuwa kulikuwa na Mpango Mkubwa wa Wizi wa Kura. Tafuta hata kimoja Usome harafu ndo uchangie hoja ukiwa mawazo yako yamefahamu hata Upande wa Pili wa Shilingi.
Nafikiri akina Mbowe watakapoanza kuvitoa utashangaa.