Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,303
"……..Kwa kuwa tulikwisha kukataa kutambua matokeo ya uchaguzi, na vile vile baada ya kukataa kutambua matokeo tulikataa vile vile kumtambua rais aliyepatikana kutokana na mchakato huo ambao hatuutambui……….." Dr.Slaa
Kisha Mbowe anatuuliza hii 'myth' kuwa chadema haimtambui rais imetoka wapi!
Kisha Mbowe anatuuliza hii 'myth' kuwa chadema haimtambui rais imetoka wapi!