Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,973
- 142,183
WamevurugwaLaana ya Dkt. Slaa itawaandama hawa CHADEMA hadi siku ya kiama.
Waliwahi kuwa (past tense)! What about now? Are they still maintaining the Status quo? What happened?Waliwahi kuwa rafiki wa ODM iliyomo NASA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huo utakua ushindi wa kwanza wa chadema kwenye nafasi ya Urais.
Ni jambo la kimantiki tu. CHADEMA wamekurupuka.
Zamani niliamini Ulaya na Marekani hakuna ' wambeya na vizabizabina' kumbe sikuwa sahihi mkuu unathibitisha hilo!Hahahaa....unajua hawa watu hawako sawa kabisa vichwani mwao.
Na kadri siku zinavyosonga mbele ndo zile sifa alizozielezea rais mstaafu Mkapa zinazidi kudhihirika.
Ushindi wa huyo Uhuru huko Kenya unahusiana nini nyie CHADEMA?
Badala ya kupambana na hali yenu hapa Tanzania mnahangaika na kushangilia mambo ya wengine huko tena ambayo hayawahusu.
Halafu pia kuna watu eti wanawashangaa hawa CHADEMA kuwa kwa nini kama wao ni chama cha upinzani hapa nchini wakiunge mkono chama tawala cha huko Kenya.
Kwa akili ya kawaida watu wangedhani labda upinzani wa Tanzania ungetaka upinzani wa Kenya ushinde.
Kama CHADEMA walibadili gia angani kuhusu babu Lowasa na kumtimua mtu aliyekijenga chama chao kwa hali na mali [Dkt. Slaa], sasa ni nini cha kushangaza kuhusu wao kukiunga mkono chama tawala cha Kenya?
Laana ya Dkt. Slaa itawaandama hawa CHADEMA hadi siku ya kiama. Na wataishia kufurahia ushindi wa wengine huko kwingine na kamwe hawatokuja kufurahia mafanikio yao hapa Tanzania kwa sababu wapo kama vile ambavyo rais Mkapa alivyowaita!!
Ndio ni ushindi kwa chadema maana Sizonje na mtu wake wamepigwa knockout.
mbona nawewe hueleweki mbona mtaani unafanya ujinga lini umeeleweka?Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.
Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.
Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?
Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!
Mkuu kwakweli umeonyesha haujui Siasa za kimataifa na diplomasia.....uliza uelekezwaMwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.
Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.
Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?
Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!
wewe ndiye huelewi.chadema wameunga mkono uhuru kwasababu mkuu wetu alimuunga mkono odinga.sasa ulitaka wote wawe wamoja?Na unajua mkuu wetu asivyowapenda chadema.Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.