Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
- Thread starter
- #61
Waliwahi kuwa rafiki wa ODM iliyomo NASA
Waliwahi kuwa rafiki wa ODM iliyomo NASA
Amempigiaje na wapi?Magu alimpigia raila odinga kampen kwan nayenyew haijakushangaza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.
Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.
Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?
Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!

Je! Mwaka 2015 ODM walimuunga Nani mkono? Unapaswa kulifahamu Hilo!Urafiki ulikuwa kati ya ODM na CDM, hata 2013 walienda kupiga kampeni kule. Ukiwauliza mioyoni mwao wwtakuambia wamemkomoa JPM, maana rafiki yake kashindwa. Kumbe hawajui kuwa kuna JPM na kuna CCM.
Mkuu,rekebisha ulichoandika. Hao ni mtu mmoja au mtu na mwanaye. Wanawezaje kuwa maswahiba?Ni wazi kuwa uswahiba wa kenyata na uhuru ndio umeinfluence hili..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka 2016,wakati wa uchaguzi wa kule nchini Ghana, nyinyi CHADEMA mlikuwa mkimuunga aliyekuwa mgombea wa Upinzani, Rais wa sasa wa Ghana Mhe. Nana Akufo-Addo aliyekuwa akichuana na Rais wa wakati huo, Mhe. John Dramani Mahama. Kwakuwa wote mlikuwa wapinzani, uungaji wenu mkono ulikuwa unaeleweka.
Mwaka huu, katika uchaguzi wa Kenya, CHADEMA mmemuunga mkono waziwazi Rais wa sasa wa Kenya na mgombea wa Jubilee Mhe. Uhuru Jomo Kenyatta. Ndiyo kusema, mmeunga mkono chama tawala ili kiendelee kutawala kule nchini Kenya. Mpinzani kuunga mkono chama tawala, ambacho nchini mwake anapambana kukiondoa madarakani, ni jambo la kustaajabisha.
Mwanachama wenu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Ndugu Edward Ngoyai Lowassa amejitokeza mubashara jukwaa la Jubilee kukipigania chama tawala Kenya ili kiendelee kutawala. Kama Rais Uhuru Kenyatta atashinda tena, naye atapanda jukwaa la CHADEMA mwaka 2020 kuwanadi? Imekuwaje hadi nyinyi wapinzani muunge mkono chama tawala?
Tuamini kuwa hata Tanzania nyinyi CHADEMA mnazuga tu kupambana na chama tawala CCM huku mkiwa mnapenda CCM iendelee kuongoza? Kwakweli, CHADEMA hamueleweki kirahisi katika hili!
Alisema chagua raila na watanzania tunakuombea ingia twita yake kaoneAmempigiaje na wapi?
Ni ujuha kudhani hivyo! Waliopoteza network ni wewe na Familia yako! Hivi mwaka 2015 Odinga alimuunga Mkono Nani? CCM au Chadema? Alisahau 2013? Alisahau kuwa yeye ni Mpinzani?Mkuu hawa walishapoteza NETWORK muda mrefu. Ni suala la kuwasamehe tu.
Sasa wameamua kuua DHANA ya upinzani wao wenyewe.
Kuna methali inasema kuwa "NDEGE WAFANANAO HURUKA PAMOJA". Kwa mantiki hiyo tulitarajia CDM kuunga mkono wapinzani wenzao kwa sababu wanafanana kwa namna mbalimbali.
Kwa namna nyingine ni kwamba, CDM sasa wamekubali rasimi kukiunga mkono CCM.(Wamekubali INDIRECTLY)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu issue ya mtoa mada iko sahihi. Kwenye uchaguzi wa Kenya mwaka 2012 chadema walimuunga mkono odinga, Chadema hawatueleza lini walitengua uhusiano wao na upinzani na wakaunga mkono watawala wa kenya...kwenye nchi za wenzetu ambako demokrasia zao zimekomaa kuna VYAMA VYA SIASA.
..wenzetu hawana siasa changa za chama tawala vs chama upinzani.
..Chama kilichoshinda uchaguzi Ghana kilikuwa madarakani wakati wa Raisi John Kuffour.
..Raisi wa Ghana wa sasa hivi Nana Ado alijaribu kumrithi John Kuffour lakini akashindwa.
..CDM wanapaswa kuwa na VYAMA RAFIKI bila kujali vyama hivyo viko madarakani au la.
.
So ukishakuwa na urafiki na Fulani huruhusiwi kabisa kubadilisha? Lengo la Urafiki wenu likibadilika wewe huwezi kubadilika? Nini yaliyokuwa malengo ya CHADEMA na ODM 2013? Je malengo hayo yalikuwepo 2015? Kwa nini yawepo 2017?Kama ni chama rafiki tangu mwanzo hakuna shida.
No, wapinzani waungane wenyewe dhidi ya vyama tawala ili nao wawe watawala.
So ukishakuwa na urafiki na Fulani huruhusiwi kabisa kubadilisha? Lengo la Urafiki wenu likibadilika wewe huwezi kubadilika? Nini yaliyokuwa malengo ya CHADEMA na ODM 2013? Je malengo hayo yalikuwepo 2015? Kwa nini yawepo 2017?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo la kimantiki tu. CHADEMA wamekurupuka.Hivi ni sheria ipi inayosema kwamba chama cha upinzani hakiruhusiwi kuwa na urafiki na chama tawala? Hii sheria ilitungwa wapi na lini!? Acha kujichanganya na kukurupuka.
mpiga dili anachojali maslahi haeleweki msimamo wakechadema ni wangu kama zilivo nguo zangu ila kwa hili sto waunga mkono ,tusiwe ni watu wa ajabu ajabu wenye siasa za kukomoana kiasi hikii ,kwa jambo lenye manufaa ya kiinchi isiwe shida kufanya ushindani ila c kukomoana,et kwa kua mkuluu ana sapoti upinzani wa sehemu fulani na sisi tuna sapoti mrengo wa kulia -izi si siasa !!!!!!huu ni kusto jielewa leo katka post zote za watu wa cdm a k a makamanda niliona post zao zenye kusherekea ushindi ambao wakenya wana tashwishi nao, tungesubiri watoe matokeo na tuone kiukweli hayana mtu yoyote kulalamika kama vile kwa kagame hapo tu seme hongera ila ,post zetu zilikua niza kufurahika kwa wale ambao wana umia haki haikutendeka, leo ndo naamini kua hata cc hatukuonewa katika chaguzi ,tungeonewa tusingepost na kufurahikia tukio la kenya lenye utata ,mzimu huu utakuja kuwasumbueni 2020,kwama ni wana demokrasia acheni kushabikia lawama -swali kwa wana chadema wote humu jamvini, africa vyama tawala toka lini vikawa na chaguzi za uhuru na haki
Mbona ilishaelezwa? Kwa nini kuwalisha watu maneno? Usipotoshe watu, Raila aliungwa mkono na cdm 2013, ila yeye 2015 akawasaliti CDM kwa kumuunga mkono JPM na CCM, ni mpumb.avu wa mwisho atakayeuliza maswali km haya au kusema haya maswali yako sahihi! Kama hujui it is wise to shut up!Mkuu issue ya mtoa mada iko sahihi. Kwenye uchaguzi wa Kenya mwaka 2012 chadema walimuunga mkono odinga, Chadema hawatueleza lini walitengua uhusiano wao na upinzani na wakaunga mkono watawala wa kenya.
Tatizo ninaloliona kwa sasa ndani ya chadema ni kuogopana, nadhani aliyeanzisha, uhusiano sio chadema kama chama, bali ni utashi wa EL ambaye kauli yake ndani ya chadema ni sera rasmi ya chama.
Mpinzani kuunga mkono chama tawala, haiingi akilini .
.
Hapana, unakosea, at least ungejua siasa za Kenya usingeandika hivyo.Mkuu, Jubilee ndiyo CCM ya Kenya.
Wewe ni Moja ya watu mizigo kwa hili Taifa! Kwa akili yako unadhani anakomolewa JPM! Unasahau 2013 CDM walimuunga mkono Odinga na ODM yake, Kisha 2015, yeye Odinga akawageuka Cdm na kuunga mkono JPM na CCM! Leo unataka CDM wafanyeje? It is wise to shut up if you don't know!chadema ni wangu kama zilivo nguo zangu ila kwa hili sto waunga mkono ,tusiwe ni watu wa ajabu ajabu wenye siasa za kukomoana kiasi hikii ,kwa jambo lenye manufaa ya kiinchi isiwe shida kufanya ushindani ila c kukomoana,et kwa kua mkuluu ana sapoti upinzani wa sehemu fulani na sisi tuna sapoti mrengo wa kulia -izi si siasa !!!!!!huu ni kusto jielewa leo katka post zote za watu wa cdm a k a makamanda niliona post zao zenye kusherekea ushindi ambao wakenya wana tashwishi nao, tungesubiri watoe matokeo na tuone kiukweli hayana mtu yoyote kulalamika kama vile kwa kagame hapo tu seme hongera ila ,post zetu zilikua niza kufurahika kwa wale ambao wana umia haki haikutendeka, leo ndo naamini kua hata cc hatukuonewa katika chaguzi ,tungeonewa tusingepost na kufurahikia tukio la kenya lenye utata ,mzimu huu utakuja kuwasumbueni 2020,kwama ni wana demokrasia acheni kushabikia lawama -swali kwa wana chadema wote humu jamvini, africa vyama tawala toka lini vikawa na chaguzi za uhuru na haki