Riadha jr
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 567
- 334
Wewe ni Moja ya watu mizigo kwa hili Taifa! Kwa akili yako unadhani anakomolewa JPM! Unasahau 2013 CDM walimuunga mkono Odinga na ODM yake, Kisha 2015, yeye Odinga akawageuka Cdm na kuunga mkono JPM na CCM! Leo unataka CDM wafanyeje? It is wise to shut up if you don't know!
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu cjawa mzigo ila nimekua mtaka haki-so sisi tunashindana na mkulu kwa kile anacho takaa-leo mkulu kumsapot odinga kumekua uvunjifu wa katba na kuanza vichuki ,odinga alituunga mkono ila kuna ubaya gani cc tukaonesha msimamo kuliko kuonesha vichuki,ninavo fahamu mm cc chadema tumekua watu wa kukomoa cku izii,msimamo wetu ni muhmu ili kuepuka kusto jifahamu-ukipenda ukweli hata awe mzee wako!! kosa utaliona tuu!!! au ndo tunaona kauli ya chama awezi kukosolewa basi neno demokrasia tuliondoshe,chama ni msimamo