Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
Kuna kila dalili ya lugumi kuunguza nyumba , tena wala si muda mrefu .
Ukimtumbua Lugumi nchi tatikisika.
Pinda alisema ukiwagusa mafisadi nchi itatikisika.
Kuna kila dalili ya lugumi kuunguza nyumba , tena wala si muda mrefu .
Noma sana !Ukimtumbua Lugumi nchi tatikisika.
Pinda alisema ukiwagusa mafisadi nchi itatikisika.
Halmashauri tatu zilizo chini ya CHADEMA zimekutwa na hati chafu, mojawapo ni ya Hai anapotoka mwenyewe aliyetengeneza fedha wakati ule wa kampeni maarufu kama FM. Sasa mkipewa nchi hamuwezi kufanya madudu haya haya ya CCM?. Ni rahisi sana kupinga kila kitu ukiwa nje ya uongozi, ukipewa uongozi unafanya madudu yale yale kama ya yule uliyekuwa ukimnyooshea kidole wakati ule ukiitwa mpinzani.
Nyinyi ndio wale idiot wenyewe. Mtu mliyemtukana kwamba ni fisadi kwa miaka minane mkaanza kazi ngumu ya kumsafisha kwa muda wa miezi minne. Mliyemuita fisadi kiasi cha kusema anayemuunga mkono anafaa kupimwa akili ndiye huyo huyo mliyekuja kumdekia barabara. Hiyo maana ya neno idiot inafanana sana na upeo wenu mdogo mlioudhihirisha pasipo shaka katika muda wote wa kampeni.Kupinga ufisadi ni wajibu wa kila raia mwema, unless you are idiot.
Tatizo mnashindwa kutambua kwamba nchi hii inatuunganisha hata nyinyi magugu na ambao mpo kufifisha maendeleo ya nchi hii. Hamuiungi mkono mipango mizuri ya ccm mpo kushabikia juhudi za kufifisha maendeleo. Mipango mingi iliyoitia hasara serikali kizembe mliishabikia kumbe unafiki mtupu. Lowasa fisadi sasa mnaye nyie wakosa akili serikali inalipa bilioni 120 za kuvunja mkataba.Wewe Msororo69 wewe....eti unasemaje?
Kichaa na mwendawazimu siku zote hujiona yeye ndiye yuko mentally perfect na wazima ndiyo vichaa. Ndiyo wewe!!
Unataka nijibu hoja gani kutoka kwako? Niimbe nyimbo mnazoimba ninyi na kushangilia yaleyale ya miaka 50+ ya watu hawahawa kwa staili ileile nitegemee matokeo tofauti??
I am not stupid to the extent of your level dude!!
Wengine tulishatoka kuamini ktk hadaa za kipuuzi kutoka ktk watu wa chama kilichochoka na kuzeeka, Chama cha Majipu a.k.a CCM hata wakija na rangi gani.......tutawatambua tu!!
Yale yale ya ujuaji, si imeundwa kamati maalum ya bunge kushughulikia suala hili?. Wapo watu wanalishughulikia suala hilo ndio maana hata Lema aliambiwa usiongelee suala ambalo bunge limeliundia kamati. Sasa haraka za nini?. Huyo mwanahabari hushindwa kujenga hoja ndio maana nikatumia neno cheap politics. Punguza ujuaji.
Ikiwa Rais ataendeshwa kwa hoja za kutengenezwa na watu wenye upeo mdogo kama lema, mbowe na lissu unadhani hili linaitwa taifa kweli??
Yaani mbowe na Ma DJs wenzake wakae waseme Flan ni fisadi then Rais amuwajibishe on the spot unadhani tutafka kwel mkuu
We did kw lowassa bahat nzuri uongo haunaga maisha marefu wakaja geuka kwamba Lowassa was innocent kwa hyo mkuu Rais ataendelea kusimamia kile kilicho na mashiko na sio kwa mizukA ya ma DJs
Nyinyi ndio wale idiot wenyewe. Mtu mliyemtukana kwamba ni fisadi kwa miaka minane mkaanza kazi ngumu ya kumsafisha kwa muda wa miezi minne. Mliyemuita fisadi kiasi cha kusema anayemuunga mkono anafaa kupimwa akili ndiye huyo huyo mliyekuja kumdekia barabara. Hiyo maana ya neno idiot inafanana sana na upeo wenu mdogo mlioudhihirisha pasipo shaka katika muda wote wa kampeni.
Mimi naongea na wewe unaongea, hakuna wa kumlazimisha mwenzake aamini kile anachokiamini, ndio maana ya jamii forum. Bunge limeshaunda kamati ya kushughulika na suala la lugumi, na huyo mbunge Lema anayo taarifa. Hapo hakuna suala la mtu kutaka mawazo yake yawe ndio alpha na omega.Mkuu, kapumzike. Umeishiwa hoja. Kwa hiyo unataka kila mtu akubaliane na wewe hata kama unasema upupu.
You are trying to be sarcastic, hilo la Lugumi tulia tu utakuja kujua mhusika mkuu ni nani, ila this time akija huko kwenu msije mkasafisha na kusema ni msafi sana kama huyo mzee EL. Maana nyinyi ni wapiga dili wazuri sana.Sasa unarudi kwenye hoja yangu ya awali Mkuu. Kwa hiyo haya ya Lugumi yametoka wapi tena? nayo yanamhusi yule fisadi wenu EL au hii mtampa mtu mwingine?
Tatizo mnashindwa kutambua kwamba nchi hii inatuunganisha hata nyinyi magugu na ambao mpo kufifisha maendeleo ya nchi hii. Hamuiungi mkono mipango mizuri ya ccm mpo kushabikia juhudi za kufifisha maendeleo. Mipango mingi iliyoitia hasara serikali kizembe mliishabikia kumbe unafiki mtupu. Lowasa fisadi sasa mnaye nyie wakosa akili serikali inalipa bilioni 120 za kuvunja mkataba.
Tatizo tu huna akili, laiti ungelikuwa na akili ningekupa mifano mingi ambayo ingekufanya ukatambuwa kweli wewe na wanachadema wenzako ni magugu yanayoathiri maendeleo ya Tanzania.
Mungu tulidhani tumepata kumbe bado tupo kifungoni!! tumepatikana Huyu Magu naye ni kuwadi wa mafisadi kama waliopita!?? Mungu tusaidie tunakuachia wewe kila kitu. Uchaguzi wanaiba, polisi wanaiba, nyara wanaiba!! wanatumbuliwa marafiki za JK tu eti ndio mafisadi. Mtandao mwingine mchafu na mbaya kuliko yote kwa vile umejivika USAFI na UDIKTETAnafikiri hii issue lugumi haitawatoa mafichoni baada ya kukumbatia mafisadi sijui mtaeleza nini mueleweke sasa hivi
Bado uchunguzi unaendelea chief!!Magufuri kahubiri kila kashfa na ufisadi lakini kwa nini hajawahi hata siku moja kutaja neno LUGUMI, na kashfa yake dhidi ya POLISI wakati ni sakata lililoiburiwa ndani ya uongozi wake.
hivi ni kweli kuwa hajawahi kusikia wala kuambiwa kuhusu hii kitu??
mbona tuliambiwa ile kamati ya uchunguzi ilishakabidhi report mkuu, lakinin pia mbona hii ya milioni saba kwa dakika iko mahakamani lakini anaizungumzia, iweje lugumiBado uchunguzi unaendelea chief!!